Askari wa Ulinzi aokota Milioni 10. Apewa zawadi ya Laki 5

Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe😁😁😁
Wenye bahati huwa awabahatishi,kuna aliyewahi okota sanduku la almasi akalirudisha kwenye kampuni.
 
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe
Kuna mmoja ilikuwa ni Padre wakizungu yeye alipo mpelekea alimpa kuku mweusi basi akaachana naye tena yeye lilikuwa fuko na ilikuwa ni barabarani jiulize kalidondosha vipi ikiwa yupo kwenye ? Huyo hawezi okota tena hata shilling katika maisha yake yote .
 
Askari wa kampuni ya ulinzi ya NG'e anaelinda JKCI.. Aisha twalibu..

Aliokota begi la mgonjwa aliedondosha eneo Hilo la hospitali lenye kiasi Cha pesa shilingi milioni kumi(10m)

Lakini mlinzi huyu alirudisha kiasi Hilo Cha pesa na mhusika hakumpa hata shilingi kumi.

Mkurugenzi mtendaji wa JKCL alimpatia shilingi laki Tano Kama zawadi ya uaminifu...

Je ungekuwa wewe ungerudisha hiyo pesa ili upewe zawadi ya uaminifu kwenye kazi yako ya laki tatu???? View attachment 2040303

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kati ya mgonjwa na huyu askari nani alikua anahitaji hiyo million kumi? doing the right thing ni hulka ya Kiungu ambayo haihitaji malipo
 
Back
Top Bottom