Askari afariki kwa ajali Siha

Askari afariki kwa ajali Siha

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
ASKARI wa kikosi cha kuzuia Fujo (FFU) mkoani Kilimanjaro, Fidelis Mwaliyatabu amefariki papo hapa huku wengine tisa akiwemo mkuu wa kikosi cha polisi cha kuzuia fujo kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuelekea Wilayani Siha kuongeza nguvu kwenye vurugu zilizotoke Wilayani kutona na wananchi zaidi ya 1000 kuandamana.

Source: Kili FM Radio 87.5
 
walikuwa wanaenda kupiga pengine kuna maafa zaidi yangetokea. bora wamekwamishwa.
RIP afande
 
Ningefurahi kama wangekufa Defender nzima, pumbafu kabisa, Asanteni wazee wa Siha kwa kufanya mambo yetu yale, na wakileta wengine wamalizeni juu kwa juu. Hapa sitoi cha RIP wala nini, narudia tena ndio vizuri tena huyo mkuu wa Kikosi natamani Bilogy yake isifanye kazi tena....Polisi wetu wamekuwa watu wa ajabu sana. Wenzenu wanafia Vitani wakiitangaza nchi, nyie mnafia Siha mkienda kudhulumu haki za Wananchi, safi sana

CC: MANI zumbemkuu
Poleni wafiwa

like.....
 
Last edited by a moderator:
katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema.
suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama huna elimu ya kutosha kuchanganua mambo iruhusu akili yako kujifunza kwa wengine!
kusema polisi wafe... wanashughulika na CHADEMA tu ni ukosefu wa fikira pevu na ambazo hazitakiwi hata kuandikwa kwenye jukwaa hili. Unalopoka haya leo kwa sababu tu unaishi kwa amani, hujavamia na majambazi! Polisi hao unaowaona kama mbwa ndio wanaokufanya uropoke kuwa ni mbwa wafe, wanakulinda unaishi kwa amani na usalama, unatembea usiku na mchana bila hofu. Hakika nakuambieni, wenye maneno ya namna hii huhitaji msaada mkubwa sana wa polisi huko mbele..... Hata kama ni siasa usifanye siasa na vyombo vya dola, fanya siasa na vyama! kunasiku utavamiwa, utabakwa, utazumiwa utawakimbilia viongozi wako wa siasa wakusaidie,,... Jambo hili, raia kugombana au kukashifu Polisi litakuja liwaponze sana tu.... Mtavamiwa hamtapata msaada....!
Ufahamu kuhusu jambo lolote ni silaha tosha sana ya kuongoza maisha yako... Mkiendekeza vyama kulumbana na Polisi itawaghalimu sana. Jiulize kitu, mtaa ukivamiwa na majambazi utamkimbilia mwenyekiti wa chama chako kuja kupambana na majambazi hao au utawaita polisi ambao leo unawaombea wafe gari zima! maneno mengine myachuje wakati wa kutoa, Mungu atawalaani mtapata matatizo makubwa na Polisi wasiwasaidie. Acheni ushabiki wa kilimbukeni na uzuzu wa namana hiyo. Kamwe huwezi kulinganisha kiongozi wa chama chako na kazi za Polisi.... Jengeni huo ukuta kati yenu na Polisi, mtakuja kuuboa nyinyi wenyewe maana Polisi hawatawafikia... ASANTE
 
Kama unaishi kwa amani ni wewe, mm na walio wengi hali zetu za kiusalama ni tete mno, Tuliowahi kuvamiwa tunafahamu Polisi na majambazi wanashirikiana bega kwa bega. ntogwa acha kutokwa povu ilhali hujui hali halisi, mm nasema wafe tu, maana tumeshachoka!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo tulilonalo siyo Askari Polisi bali ni Serikali kiujumla... hao Askari walikuwa wanaenda kutimiza wajibu wao tu.... R.i.p Askari Polisi
 
Askari kuweni macho na hii serikali mtakufa sana msipoangalia..tz aliyekufa kafa huna lako....
 
hawa maaskari wanaamdamwa na damu za watu wanazomwaga kila siku,wasipoangalia yatawakuta sana,wangekufa wote ningefurahi kwelikweli.
 
Mungu ana namna lukuki za kuwashughulikia waovu!...unawahi kuwapiga wenzako, unapigwa wewe !...Mungu hanywi chai bana!

jk junior atahudhuria huo msiba na kumpa pole mjane na mtoto/watoto kama wapo cuz kamanda kafia kazini.
 
Kivyake tu maana hapo mungu katuepusha na Bomu jingine labda leo.

Spidi ya kuwahi kurusha mabomu kwa wananchi.
 
Wanaorusha mabomu na kusema eti ilikuwa bahati mbaya ni akina nani?? Siwezi kuwashangilia watu wa aina hii. Ndio maana wanakomaa wapewe ushahidi wa mabomu bila hata tume ya kuthibitisha kwa uchunguzi ni akina nani walirusha bomu soweto-

waanguke tu, nami nasema waanguke tu na magari yao ikibidi w***fe maa na yaweza kuwa ndio adhabu yao kwa damu walizomwaga.
 
katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema.
suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama huna elimu ya kutosha kuchanganua mambo iruhusu akili yako kujifunza kwa wengine!
kusema polisi wafe... wanashughulika na CHADEMA tu ni ukosefu wa fikira pevu na ambazo hazitakiwi hata kuandikwa kwenye jukwaa hili. Unalopoka haya leo kwa sababu tu unaishi kwa amani, hujavamia na majambazi! Polisi hao unaowaona kama mbwa ndio wanaokufanya uropoke kuwa ni mbwa wafe, wanakulinda unaishi kwa amani na usalama, unatembea usiku na mchana bila hofu. Hakika nakuambieni, wenye maneno ya namna hii huhitaji msaada mkubwa sana wa polisi huko mbele..... Hata kama ni siasa usifanye siasa na vyombo vya dola, fanya siasa na vyama! kunasiku utavamiwa, utabakwa, utazumiwa utawakimbilia viongozi wako wa siasa wakusaidie,,... Jambo hili, raia kugombana au kukashifu Polisi litakuja liwaponze sana tu.... Mtavamiwa hamtapata msaada....!
Ufahamu kuhusu jambo lolote ni silaha tosha sana ya kuongoza maisha yako... Mkiendekeza vyama kulumbana na Polisi itawaghalimu sana. Jiulize kitu, mtaa ukivamiwa na majambazi utamkimbilia mwenyekiti wa chama chako kuja kupambana na majambazi hao au utawaita polisi ambao leo unawaombea wafe gari zima! maneno mengine myachuje wakati wa kutoa, Mungu atawalaani mtapata matatizo makubwa na Polisi wasiwasaidie. Acheni ushabiki wa kilimbukeni na uzuzu wa namana hiyo. Kamwe huwezi kulinganisha kiongozi wa chama chako na kazi za Polisi.... Jengeni huo ukuta kati yenu na Polisi, mtakuja kuuboa nyinyi wenyewe maana Polisi hawatawafikia... ASANTE
Inaonekana mwenzetu unaishi masaki ambako doria ya polisi haipungui. Sisi wenzako kuvamiwa ni kawaida na polisi hata uweke vocha ya buku kumi wanakuja baada ya tukio. RIP
 
Back
Top Bottom