Askari afariki kwa ajali Siha

Askari afariki kwa ajali Siha

Ningefurahi kama wangekufa Defender nzima, pumbafu kabisa, Asanteni wazee wa Siha kwa kufanya mambo yetu yale, na wakileta wengine wamalizeni juu kwa juu. Hapa sitoi cha RIP wala nini, narudia tena ndio vizuri tena huyo mkuu wa Kikosi natamani Bilogy yake isifanye kazi tena....Polisi wetu wamekuwa watu wa ajabu sana. Wenzenu wanafia Vitani wakiitangaza nchi, nyie mnafia Siha mkienda kudhulumu haki za Wananchi, safi sana

CC: MANI zumbemkuu
Poleni wafiwa

Frankly. Your comment leave me speechless! Ha ha ha ha Pinda.
 
Last edited by a moderator:
ghamba nee ukwei wenyewe mghoshi, hivi ukisikia mtu anasema wapigwe tu, what comes to your mind? It is painful, huna kosa unakuja unapigwa, wanakuibia, hivi huyu anayekuopiga akipata tatizo utampa Pole? ukifanya hivyo utakua ni Unafiki....
Frankly. Your comment leave me speechless! Ha ha ha ha Pinda.
 
Huwa wananikera sana kwa sababu wanasafiri kwa mbwembwe as if they have the best jobs in town! Mambio na overtake zisizo za maana! Sijui watajifunza nini.
Poleni wanafamilia
 
ASKARI wa kikosi cha kuzuia Fujo (FFU) mkoani Kilimanjaro, Fidelis Mwaliyatabu amefariki papo hapa huku wengine tisa akiwemo mkuu wa kikosi cha polisi cha kuzuia fujo kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuelekea Wilayani Siha kuongeza nguvu kwenye vurugu zilizotoke Wilayani kutona na wananchi zaidi ya 1000 kuandamana

Source: Kili FM Radio 87.5
Wafe tuu maana tumechoka..
 
watakufa sana hao!
 
kichwa cha habari umekosea kidogo sio (asakari ni askari) jambo ujumbe umeeleweka
 
askari wa kikosi cha kuzuia fujo (ffu) mkoani kilimanjaro, fidelis mwaliyatabu amefariki papo hapa huku wengine tisa akiwemo mkuu wa kikosi cha polisi cha kuzuia fujo kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuelekea wilayani siha kuongeza nguvu kwenye vurugu zilizotoke wilayani kutona na wananchi zaidi ya 1000 kuandamana

source: Kili fm radio 87.5

nasikitika sana kwa hizi taarifa,kwani namfahamu vizuri sana.tumepiga nae depo moja la jkt,baada ya hapo akachagua kwenda ccp na kuwa polisi(ffu).nimehuzunishwa sana kwa kifo chake,(fidelis maliyatabu na siyo mwaliyatabu).may the creator put your soul to rest in peace bro.
 
katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema.
suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama huna elimu ya kutosha kuchanganua mambo iruhusu akili yako kujifunza kwa wengine!
kusema polisi wafe... wanashughulika na CHADEMA tu ni ukosefu wa fikira pevu na ambazo hazitakiwi hata kuandikwa kwenye jukwaa hili. Unalopoka haya leo kwa sababu tu unaishi kwa amani, hujavamia na majambazi! Polisi hao unaowaona kama mbwa ndio wanaokufanya uropoke kuwa ni mbwa wafe, wanakulinda unaishi kwa amani na usalama, unatembea usiku na mchana bila hofu. Hakika nakuambieni, wenye maneno ya namna hii huhitaji msaada mkubwa sana wa polisi huko mbele..... Hata kama ni siasa usifanye siasa na vyombo vya dola, fanya siasa na vyama! kunasiku utavamiwa, utabakwa, utazumiwa utawakimbilia viongozi wako wa siasa wakusaidie,,... Jambo hili, raia kugombana au kukashifu Polisi litakuja liwaponze sana tu.... Mtavamiwa hamtapata msaada....!
Ufahamu kuhusu jambo lolote ni silaha tosha sana ya kuongoza maisha yako... Mkiendekeza vyama kulumbana na Polisi itawaghalimu sana. Jiulize kitu, mtaa ukivamiwa na majambazi utamkimbilia mwenyekiti wa chama chako kuja kupambana na majambazi hao au utawaita polisi ambao leo unawaombea wafe gari zima! maneno mengine myachuje wakati wa kutoa, Mungu atawalaani mtapata matatizo makubwa na Polisi wasiwasaidie. Acheni ushabiki wa kilimbukeni na uzuzu wa namana hiyo. Kamwe huwezi kulinganisha kiongozi wa chama chako na kazi za Polisi.... Jengeni huo ukuta kati yenu na Polisi, mtakuja kuuboa nyinyi wenyewe maana Polisi hawatawafikia... ASANTE

Nashukuru umenena vyema lakini kwa matukio ya hivi karibuni wananchi wamechoka na kukata tamaa. Hatujasikia polisi wakikanusha kauli ya Mh Pinda kwamba watafanya kazi kwa mujibu wa kiapo chao. Hii inamaanisha hizo pilika pilika zilikuwa za kutekeleza amri ya waziri mkuu; na kwa ajali waliyopata mimi nahisi ni Mungu alikuwa ananusuru vifo zaidi ambavyo vingeweza kutokea huko walikokuwa wanaenda. Nawapa pole lakini watende haki kwa raia. Hata kama ni kipigo kuna kiwango cha kupiga!
 
katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema.
suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama huna elimu ya kutosha kuchanganua mambo iruhusu akili yako kujifunza kwa wengine!
kusema polisi wafe... wanashughulika na CHADEMA tu ni ukosefu wa fikira pevu na ambazo hazitakiwi hata kuandikwa kwenye jukwaa hili. Unalopoka haya leo kwa sababu tu unaishi kwa amani, hujavamia na majambazi! Polisi hao unaowaona kama mbwa ndio wanaokufanya uropoke kuwa ni mbwa wafe, wanakulinda unaishi kwa amani na usalama, unatembea usiku na mchana bila hofu. Hakika nakuambieni, wenye maneno ya namna hii huhitaji msaada mkubwa sana wa polisi huko mbele..... Hata kama ni siasa usifanye siasa na vyombo vya dola, fanya siasa na vyama! kunasiku utavamiwa, utabakwa, utazumiwa utawakimbilia viongozi wako wa siasa wakusaidie,,... Jambo hili, raia kugombana au kukashifu Polisi litakuja liwaponze sana tu.... Mtavamiwa hamtapata msaada....!
Ufahamu kuhusu jambo lolote ni silaha tosha sana ya kuongoza maisha yako... Mkiendekeza vyama kulumbana na Polisi itawaghalimu sana. Jiulize kitu, mtaa ukivamiwa na majambazi utamkimbilia mwenyekiti wa chama chako kuja kupambana na majambazi hao au utawaita polisi ambao leo unawaombea wafe gari zima! maneno mengine myachuje wakati wa kutoa, Mungu atawalaani mtapata matatizo makubwa na Polisi wasiwasaidie. Acheni ushabiki wa kilimbukeni na uzuzu wa namana hiyo. Kamwe huwezi kulinganisha kiongozi wa chama chako na kazi za Polisi.... Jengeni huo ukuta kati yenu na Polisi, mtakuja kuuboa nyinyi wenyewe maana Polisi hawatawafikia... ASANTE

ntogwa, kwa kweli mimi huwa nawashangaa hawa cdm yaani wanafikiri kazi ya police ni maandamano tu, well umewaambia yote wanayo paswa kujua pia wakumbuke police ni kama hospital au mahakamani, usipoenda mwenyewe basi utapelekwa! ila ngoja wachukue nchi tuone nchi isiyo na jeshi, police au usalama wa taifa inaendeshwaje.
 
Ningefurahi kama wangekufa Defender nzima, pumbafu kabisa, Asanteni wazee wa Siha kwa kufanya mambo yetu yale, na wakileta wengine wamalizeni juu kwa juu. Hapa sitoi cha RIP wala nini, narudia tena ndio vizuri tena huyo mkuu wa Kikosi natamani Bilogy yake isifanye kazi tena....Polisi wetu wamekuwa watu wa ajabu sana. Wenzenu wanafia Vitani wakiitangaza nchi, nyie mnafia Siha mkienda kudhulumu haki za Wananchi, safi sana

CC: MANI [MENTION=26264]zumbemkuu[/MENT
aisee umenena mkuu.!!
 
Last edited by a moderator:
Kufa sana nyie *****, hata kama ingekuwa defender nzima.
 
nasikitika sana kwa hizi taarifa,kwani namfahamu vizuri sana.tumepiga nae depo moja la jkt,baada ya hapo akachagua kwenda ccp na kuwa polisi(ffu).nimehuzunishwa sana kwa kifo chake,(fidelis maliyatabu na siyo mwaliyatabu).may the creator put your soul to rest in peace bro.

mwenzio alienda ffu na wewe uko wapi??
Rest to Hell (RTH) Maliyatau umekufa kwa kujitakia.
 
This was yesterday man...!!!

Mpwa Elli, u've disappointed me!

Am out.
 
Last edited by a moderator:
This was yesterday man...!!!

Mpwa Elli, u've disappointed me!

Am out.
Mpwa wangu Mentor naomba msamaha wa dhati kabisa, samahani sana kutokana na comment zangu, nilipandwa na hasira nilipojulimsha mambo mengi. Naomba msamaha sana nafuta comment hizo sasa hivi. Asante
 
katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema.
suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama huna elimu ya kutosha kuchanganua mambo iruhusu akili yako kujifunza kwa wengine!
kusema polisi wafe... wanashughulika na CHADEMA tu ni ukosefu wa fikira pevu na ambazo hazitakiwi hata kuandikwa kwenye jukwaa hili. Unalopoka haya leo kwa sababu tu unaishi kwa amani, hujavamia na majambazi! Polisi hao unaowaona kama mbwa ndio wanaokufanya uropoke kuwa ni mbwa wafe, wanakulinda unaishi kwa amani na usalama, unatembea usiku na mchana bila hofu. Hakika nakuambieni, wenye maneno ya namna hii huhitaji msaada mkubwa sana wa polisi huko mbele..... Hata kama ni siasa usifanye siasa na vyombo vya dola, fanya siasa na vyama! kunasiku utavamiwa, utabakwa, utazumiwa utawakimbilia viongozi wako wa siasa wakusaidie,,... Jambo hili, raia kugombana au kukashifu Polisi litakuja liwaponze sana tu.... Mtavamiwa hamtapata msaada....!
Ufahamu kuhusu jambo lolote ni silaha tosha sana ya kuongoza maisha yako... Mkiendekeza vyama kulumbana na Polisi itawaghalimu sana. Jiulize kitu, mtaa ukivamiwa na majambazi utamkimbilia mwenyekiti wa chama chako kuja kupambana na majambazi hao au utawaita polisi ambao leo unawaombea wafe gari zima! maneno mengine myachuje wakati wa kutoa, Mungu atawalaani mtapata matatizo makubwa na Polisi wasiwasaidie. Acheni ushabiki wa kilimbukeni na uzuzu wa namana hiyo. Kamwe huwezi kulinganisha kiongozi wa chama chako na kazi za Polisi.... Jengeni huo ukuta kati yenu na Polisi, mtakuja kuuboa nyinyi wenyewe maana Polisi hawatawafikia... ASANTE

Wewe busara unazo?..walipouwa watu Arusha,Morogoro na mwandishi Mwangosi Iringa ulukwa wapi?mbona hukukemea?Yule mjomba wako aloposema "wapigwe tu na nasema wapigwe"..ulikemea au ulionyeshwa kwa namana yoyote ile kukerwa?Hao polisi unaowatetea ni mara ngapi wameshikwa na bangi tena magunia kwa magunia,wameiba fedha walizozishika wenyewe,webambikia mtu fuvu la mtu(case in point..Morogoro) na kufanya uchafu mwingine kama kubaka mahabusu?Infact hata huku walikokuwa wanakwenda walikuwa wanakwenda kuua!Hayo huyaoni?Unahubiri usichokijua ndugu!
 
Serikali hii legelege na isiyo na ladha imefaulu kikamilifu kuwachonganisha Polisi na wananchi.
Maoni yaliyotolewa katika mtungo (thread) huu yanawakisha maoni ya watanzania wengi tu, wana CCM wakiwemo. Haiingii akilini kumwona mtu mwenye wadhifa Mkuu kabisa katika nchi - wadhifa wa kusimamia haki, Amani na Ustawi; Waziri Mkuu akisimama sehemu nyeti kama Bunge na kuropoka maneno ya kuhamasisha uvunjifu wa Amani na akaachwa na pengine kupongezwa!
Polisi wa Tanzania sasa wamekuwa kero na nadhani wamekamilisha uhai wa umuhimu wao katika jamii. Kwa maana nyingine tunaweza kuishi kwa amani na utulivu zaidi tukiwa na migambo na sungusungu kuliko kulindwa nao.
Wamekuwa kero katika kila idara, ngazi, mahali na hali kwa kudai na kuchukua rushwa, kushirikiana na majambazi, kujichukulia sheria mikononi na sasa mbaya kabisa kushirikiana na wahalifu waliomo ndani ya chama tawala CCM!
Kwa jinsi wanavyotenda ni vigumu kutoamini kama hawavutishwi bange au kupewa rushwa ya aina fulani na wahalifu hao ndani ya CCM ambao kwa bahati mbaya sana ni viongozi waandamizi!
Polisi wetu wamepoteza kabisa jina mbele ya wananchi na jumuia ya kimataifa kwa kutuhumiwa; na mara kadhaa kuonekana wakivunja sheria hadharani kwa ajili ya kuwafurahisha wana siasa wa chama kilichopoteza mwelekeo cha CCM.
Hakuna suluhu ya kurekebisha uharibifu uliokwishafanywa na genge hili zaidi ya kulivunjilia mbali na kuliunda Jeshi upya baada ya kuwaweka kando hawa waliooza.
 
Wanaogoma kulinda raia ni sawa na wahaini kwa hiyo wapumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom