Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
kama ye habebi huo uraisi kautoa wapi jamani
Heheheheeee boksi nation oyeeeeee:majani7:
kama ye habebi huo uraisi kautoa wapi jamani
Heheheheeee boksi nation oyeeeeee:majani7:
Kafanya utafiti lini? Na wapi? Na katumia njia gani kuufanya huo utafiti hadi kufikia hiyo asilimia ya 85? Sample yake ikoje?
I mean, sitaki ku-brag lakini wengine hapa hatuijui shida tokea tumezaliwa. Huo ndiyo ukweli wenyewe ingawa ni mchungu kidogo. Sasa sijui ni shida gani anazozungumzia huyo mtu.
Labda ni kwa hao waliotoka kwenye familia za kishenzi kishenzi. But not for the likes of me.
Kweli kakuchokoza......siye walala hoi twaangalia tu mnavyoji'mwambafy'......
Oh yeah maamuzi binafsi yanahusika sana tu. Ila, kipindi cha Leo Tena siyo kipindi cha serious news analysis.
It is geared towards a lowbrow audience.
Kwa hiyo sishangai sana mtu kama huyo kwenda kusema hivyo kwenye kipindi kama hicho.
Ila ningependa kujua zaidi kuhusu hiyo risechi yake (kama hata aliifanya)
hivi kwa nini tunaruhusu upotoshwaji wa aina hii?
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia hizi habari za redio zetu?
Kuna tukio lilitokea Australia siku za karibuni, niliona mtangazaji anahangaishwa na media za kule sana.
Hata kama leo tena wana mzaha, wasitoe accusations kama hizi kwa % kubwa hivi kirahisi namna hii.
Kuna kitu hakiko sawa hapa
Pamoja na kuwa mtu anaweza kuwa katoka familia za kishenzi, ila maamuzi na mtu binafsi yanahusika.
Tatizo bado hamjagunduwa hasira, chuki, na wivu walionao waliotoswa Viza zaidi ya mara 3 na sasa wao mamtoni kwao ni ndoto, ndio wanaokuja na takwimu za kijinga kama hizi.Wala hajanichokoza kwa sababu hajaniongelea mimi binafsi. Ila sidhani kabisa kama kafanya utafiti wowote ule.
Kama yeye kaolewa kwa sababu ya ugumu wa maisha basi na ajiongelee mwenyewe lakini siyo kuja na asilimia za ajabu ajabu kama 85. Asilimia 85 ya wabeba maboksi wangapi? Lini aliwafanyia sensa? Jinga tu hilo. Na Leo Tena siyo kipindi cha kujadili masuala mazito mazito. Ni udaku daku, heka heka, na ujinga ujinga tu.
Maana yake ni kama wewe ulivyo, unataka ufafanuliwe lipi sasa, au ujioni kama una tabia za kishenzi shenzi.Kongosho, unaweza kunisaidia maana ya familia za kishenzi?
Maana yake ni kama wewe ulivyo, unataka ufafanuliwe lipi sasa, au ujioni kama una tabia za kishenzi shenzi.
Tatizo bado hamjagunduwa hasira, chuki, na wivu walionao waliotoswa Viza zaidi ya mara 3 na sasa wao mamtoni kwao ni ndoto, ndio wanaokuja na takwimu za kijinga kama hizi.
Off course wapo wajinga kama Noor Elly ambao walishindwa kujitambuwa na kudhani Wanawake wa Marekani ni sawa na wale wa Sinza Corner bar kwamba unaweza kumshika mattako na kumpa dole la kati, unarudishwa Bongo kizembe namna hiyo halafu unakuja kujenga chuki.Na kuna wale waliorudishwa (deported). Wa hivyo kadhaa ninaowafahamu mimi wako salty sana. Hawaachi kukandia majuu. Halafu na siyo kwamba bongo wana maisha mazuri kihivyo. Nope.
Sasa ndiyo huyu wa Leo Tena anakuja na takwimu zake za kubuni. Kama yeye kaolewa basi na ajiongelee yeye na siyo kudhani kama yeye kaolewa basi na wengine wameolewa.
Kongosho, unaweza kunisaidia maana ya familia za kishenzi?