Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

Uchochez, uwongo,umbea,unafki..hakuna ukwel wowote katika hilo.eti source leo tena? Kipind cha mipasho cha kina mama?tarabu na umbea ndo asil au content y kipind,85% ni gay? Data ziko wap? Fatilia ubaloz wa bongo belgium utapata details za maana sio blaa blaaa
 
Kongosho ndugu yangu sio kila aliyeko huku kutoka Africa au Tanzania anabeba box. Kwa suala la ndoa ya jinsia moja hayo ni mapenzi ya mtu. Kama anataka kujiusisha na mambo hayo hata kama anamaisha mazuri bado atafanya tu. kwani walioko Tanzania wameanzia wapi au nao ni kwa ajili ya maisha magumu?? Alafu usizalau kazi kama kubeba box kunampa mtu kipato kizuri kwa nini asifanye? Wewe hujui kuna watu wanazibua vyoo.
 
Not true kuwa na amani Have been in Uk wala sijaona wanaofanya kazi hizo wameolewa labda sehemu zingine sina habari zake
 
tena bomu la nyuklia.

Huyo kijana kakonfesi almanusura na yeye aolewe
akatimka Ulaya haraka

akawa anaponda kuwa 'vijana wanakuja kutesa home kwa starehe kwa pesa za wamme zao wa huko ulaya'

wengine wanajisema mashoga ili wapate makaratasi.

Bomu hili mwanangu, duh!
 
Source clouds fm now katika kipindi cha heka heka
Hebu nyani ngabu njoo utueleze vizuri
Inasemekana wengi wanaolewa na wanaume wenzao ili waweze kupata uraia na makaratasi nchi ambazo ni mstari wa mbele ni belgium

Ni balaa!
 
iyo ya ulaya inatakiwa isemwe na wanaoishi ulaya kama sio uzushi.
Hapo clouds radio na clouds tv madogo wengi wanapewa kazi kwa kugeuzwa lakini hawajadili iyo habari kwenye iyo radio yao.
 
Haswaaa..mtoa habari mwenyewe wa kiume ni Mzenji!amekiri kuwa na yeye kidogo wamuingilie akamua kwenda U.S.A!Na anasema vijana wengi wa "nyumbani",(ye ni Mzenji,hivo atakuwa anamaanisha Zenji)wameolewa sana huko Belgium!!kama umewajua lafudhi zao ni wale Wazenji ndo wamejazana huko wanapumuliwa,mana huwezi mwanaume ukawa unaongea na simu halafu unajibu "halo haloooo"!
Wengi waliokuwa wanatoa ushuhuda wana rafudhi ya Kizanzibar, sijui kama wengine mmeligundua hilo
 
mmh, ni wapi nimedharau kazi ya kubeba box?

Mie nimewakilisha nilichosikia nataka kupata ukweli from the 'devil's mouth'

mengine naona unaniwekea maneno mdomoni.

Kongosho ndugu yangu sio kila aliyeko huku kutoka Africa au Tanzania anabeba box. Kwa suala la ndoa ya jinsia moja hayo ni mapenzi ya mtu. Kama anataka kujiusisha na mambo hayo hata kama anamaisha mazuri bado atafanya tu. kwani walioko Tanzania wameanzia wapi au nao ni kwa ajili ya maisha magumu?? Alafu usizalau kazi kama kubeba box kunampa mtu kipato kizuri kwa nini asifanye? Wewe hujui kuna watu wanazibua vyoo.
 
nimeipata hii kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds.

Kuna mbeba box mmoja kasema vijana wa kiume kutoka Afrika hasa Tanzania, wamaolewa (mashoga) kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Natamani kusikia kutoka kwa wabeba box wenyewe tetesi hizi, maana nina vijana naotamani waende huko kusoma umri utakapotimia.

Hebu naombeni ufafanuzi.

Mzazi mfurukutwa.

cc Rais wa wabeba box Nyani Ngabu
Kongosho happy new year ,hivi mbona nilikumiss?
wako si anaenda kusoma ,hatapata madhara mzazi si utakuwepo kumpatia full support.
 
tena bomu la nyuklia.

Huyo kija kakonfesi almanusura na yeye aolewe
akatimka Ulaya haraka

akawa anaponda kuwa 'vijana wanakuja kutesa home kwa starehe kwa pesa za wamme zao wa huko ulaya'

wengine wanajisema mashoga ili wapate makaratasi.

Nafikiri hii ndio sababu kubwa duh!
Aise pesa ni kitu powerful sana no wonder shetani anatumia sana.
 
hebu muulize wewe, mie nimemshangaa

mtu aolewe sababu hayuko straight, lakini sidhani kama aolewe sababu ya makaratasi.

Afu naskia mtu anakuwa kaolewa, afu na yeye anaomba kutafutiwa mchumba huku home.

Can U imagine unaolewa na muke ya mutu?

Wa magharibi bado hawajaamka vizuri subiri ndani ya couple of hours watakuja huku;
sasa hayo makaratasi unayapata tu kwa kuolewa na mwanaume mwenzako?????
 
Njaaa hizi jamani! Ndiyo maana watu wengi hawataki kurudi hapa nyumbani kumbe wanao.....

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nimeipata hii kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds.

Kuna mbeba box mmoja kasema vijana wa kiume kutoka Afrika hasa Tanzania, wamaolewa (mashoga) kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Natamani kusikia kutoka kwa wabeba box wenyewe tetesi hizi, maana nina vijana naotamani waende huko kusoma umri utakapotimia.

Hebu naombeni ufafanuzi.

Mzazi mfurukutwa.

cc Rais wa wabeba box Nyani Ngabu
Uwiiii nipo airport alfajiri nimechekaje na hii topic. Wengi wa wanaume wameolewa na wake zao ndio watenda kazi. Kazi yao kula, kunywa kulala na kutafuta wake extra Facebook .

Nina marafiki kama wanne hivi duh wanapata shida mnoooo. Mimi sielewi watu wanamna hii, Well life is about choices. Swala la kuwa gay sijasikia ila mwanamke akikubwaga kachoka kukulisha lazima wataliwa viboga .watalipaje bills ?Pole sana kwa wanaotunza Waume and it's sad mwanaume analalaaa wee kutwa .Nawashauri marafiki zangu achaneni nao
 
iyo ya ulaya inatakiwa isemwe na wanaoishi ulaya kama sio uzushi.
Hapo clouds radio na clouds tv madogo wengi wanapewa kazi kwa kugeuzwa lakini hawajadili iyo habari kwenye iyo radio yao.

Kweli yaweza kuwa radio ya wafu,ila mkuu,hiki kipindi wamehojiwa waTZ wanaoishi huko.. Mmoja amedai kumpa kijana mkazi wa kinondoni nauli ya kurudi bongo..
 
Uchochez, uwongo,umbea,unafki..hakuna ukwel wowote katika hilo.eti source leo tena? Kipind cha mipasho cha kina mama?tarabu na umbea ndo asil au content y kipind,85% ni gay? Data ziko wap? Fatilia ubaloz wa bongo belgium utapata details za maana sio blaa blaaa

"Even a mad man can talk true things''

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hebu muulize wewe, mie nimemshangaa

mtu aolewe sababu hayuko straight, lakini sidhani kama aolewe sababu ya makaratasi.

Afu naskia mtu anakuwa kaolewa, afu na yeye anaomba kutafutiwa mchumba huku home.

Can U imagine unaolewa na muke ya mutu?

Na ukute mwanamke anaona sawa tu, si mradi kutoka. Kuna mdada mmoja, rafiki yangu (mtu wa North) aliolewa na Muha; kwa ajili ya pesa alikuwa anamshawishi mumewe awe anawafariji wabibi wa kizungu (watalii) ili watoke kimaisha. So kwa mdada kama huyo (pesa mbele) nafikiri mumewe kutobolewa kwa ajili ya pesa sio issuee saaana. Tutabaki nyuma sisi wa kizamani. LOL
 
Back
Top Bottom