Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

Kweli yaweza kuwa radio ya wafu,ila mkuu,hiki kipindi wamehojiwa waTZ wanaoishi huko.. Mmoja amedai kumpa kijana mkazi wa kinondoni nauli ya kurudi bongo..

mahojiano na hao watz wanoishi huko ugaibuni yanatosha kureport kuwa ni asilimia 85 wanafanywa mchezo huo??
 
Happy New Year!

nataka akasome
ila sapoti iwe half half

nilidhani kazi za kuosha sahani ziko nje nje
so awe anajisapoti kwa mambo kadhaa

kama kazi za kuosha hata vyombo nazo ngumu basi bora aende hapa hapa UD.

Kongosho happy new year ,hivi mbona nilikumiss?
wako si anaenda kusoma ,hatapata madhara mzazi si utakuwepo kumpatia full support.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo 85% imepatika kwa kufanya utafiti au ni hisia za mtu tu. Ni kweli wapo wanaofanya vitendo hivyo, lakini ndo hiyo 85%? Wataalam wanasema 'Kama jambo hujalifanyia utafiti, hutakiwi kulithibitisha' No research, no....... Na mimi nimesikiliza kipindi hicho cha clouds, lakini nilichogundua hiyo 85% ni hisia zao tu pamoja na kwamba wapo vijana wenzetu wanafanya vitendo hivyo. Ni vema jambo hili likafanyiwa utafiti ili kuepusha kulikuza na watu kuogopa hata kwenda huko.

Mkuu mangapi tunasikia kuwa kuna watu ambao hawana makaratasi walioko ulaya jibu ni wengi
Ni wangapi walienda ulaya kwa njia ya kuzamia ikiwa mimi na wewe tunawajua.. jibu ni tunaaajua na wengi
Wanafanya nini?
Jibu ni mimi na wewe hatujui kwanini wasirudi huku wakiwa hawana makaratasi?
Nikiambiwa wameolewa sitashtuk huna karatasi, huna elimu kazi huwezi kupata sasa wewe unafanya nini kwenye nchi ya watu?
 
unadhani nitashangaa mwanamme kuoa mwanamke?

Jinsia moja ng'hana!

Nilitaka ufunguke zaidi maana huku mtaani hata sisi tunaowapenda wake zetu kiasi cha kufua, kubeba, watoto, kupika, na kuwasaidia kazi zinazoaminika za kike tunaitwa tumeolewa. Na wale vijana wanaoitwa ving'asti pia wanaitwa wameolewa.
 
nataka akasome
ila sapoti iwe half half

nilidhani kazi za kuosha sahani ziko nje nje
so awe anajisapoti kwa mambo kadhaa

kama kazi za kuosha hata vyombo nazo ngumu basi bora aende hapa hapa UD.
we cant protect our sons milele , wakati mwingine wanatakiwa waachwe waaingie duniani baada ya kupata mafunzo yetu ya kutosha ili nao wajifunze kujilinda daima
 
mh vyombo vyetu vina hakika na ataarifa wanazotangaza? maana kwa wenzetu haya yanaweza kusababisha kufungwa kwa kituo ikiwa si kweli.
 

mahojiano na hao watz wanoishi huko ugaibuni yanatosha kureport kuwa ni asilimia 85 wanafanywa mchezo huo??

Asilimia ni vigumu kuipata.. maana weusi wengi na hasa WaTZ kuzidi weusi wengine ni wakimbizi wa kiuchumi huko, wanaokimbilia na kudai nchi yao ikimkamata itamtesa kwa kuwa yeye ni shoga..
 
Kule ndoa za jinsia moja ni ruksa,sasa huko Brussels pamekuwa kimbilio la vijana wetu wakimbizi wa kiuchumi..
Kwa mujibu wa taarifa unapelekwa kwa daktari anapima kama we ni shoga kweli au la na kama umewahi kufanyiwa kitendo hicho kwa bahati mbaya pia anasema we si shoga,ni mkimbizi!
kwa hiyo kama si shoga mtu anatafuta mtaalam wa kumfanya awe shoga
 
Na ukute mwanamke anaona sawa tu, si mradi kutoka. Kuna mdada mmoja, rafiki yangu (mtu wa North) aliolewa na Muha; kwa ajili ya pesa alikuwa anamshawishi mumewe awe anawafariji wabibi wa kizungu (watalii) ili watoke kimaisha. So kwa mdada kama huyo (pesa mbele) nafikiri mumewe kutobolewa kwa ajili ya pesa sio issuee saaana. Tutabaki nyuma sisi wa kizamani. LOL
duh! hii ni hatari ,yaani hata wivu wa kimapenzi hakuna...........ila kwa wazungu wao hupenda kwa kichwa ndiyo maana siyo htari kwa mtu kumuoa pornsta.r na akawa poa tu na kazi ya mwenzke
 
cc Rais wa wabeba box Nyani Ngabu

Kafanya utafiti lini? Na wapi? Na katumia njia gani kuufanya huo utafiti hadi kufikia hiyo asilimia ya 85? Sample yake ikoje?

I mean, sitaki ku-brag lakini wengine hapa hatuijui shida tokea tumezaliwa. Huo ndiyo ukweli wenyewe ingawa ni mchungu kidogo. Sasa sijui ni shida gani anazozungumzia huyo mtu.

Labda ni kwa hao waliotoka kwenye familia za kishenzi kishenzi. But not for the likes of me.
 
hapa walipo huko mbefele wanakuja juu sijui kwanini mara usidharau kazi ya box mara ni mawazo na maamuzi ya mtu duu..

kumbe ukameruni ni hatare haya ngoja tuone..
 
Kongosho ndugu yangu sio kila aliyeko huku kutoka Africa au Tanzania anabeba box. Kwa suala la ndoa ya jinsia moja hayo ni mapenzi ya mtu. Kama anataka kujiusisha na mambo hayo hata kama anamaisha mazuri bado atafanya tu. kwani walioko Tanzania wameanzia wapi au nao ni kwa ajili ya maisha magumu?? Alafu usizalau kazi kama kubeba box kunampa mtu kipato kizuri kwa nini asifanye? Wewe hujui kuna watu wanazibua vyoo.

taratibu mkuu..humu jf wanaposema mbeba boksi uwa wanamaanisha wabongo/waafrika wote wanaofanya kazi au kutafuta maisha ughaibuni.kwahyo hakuwa na maana mbaya kwa kutumia neno "wabeba box"
 
mh vyombo vyetu vina hakika na ataarifa wanazotangaza? maana kwa wenzetu haya yanaweza kusababisha kufungwa kwa kituo ikiwa si kweli.

Na ndio kitakachofatia b'se hiyo redio haina watu proffesional kutoa habar..mahojiano ya watu wawil yanahalalisha 85% ya wabongo walioko belgium ni gays? Hizo statistics wamezitoa wap? Na ikumbukwe kuwa kwa percent kubwa hvyo ingekuwa ni alarming rate ingekuwa ni janga la kitaifa tayari..nadhan kuna watu wamekosa opportunity ya kuvuka border ndo mana wamekalia blaa blaa..source fake hyo tujaribu kupata info kwenye reliable source sio makanjanja
 
heh? Anawafariji wanawake wengine tena?

Kazi kweli kweli.

Na ukute mwanamke anaona sawa tu, si mradi kutoka. Kuna mdada mmoja, rafiki yangu (mtu wa North) aliolewa na Muha; kwa ajili ya pesa alikuwa anamshawishi mumewe awe anawafariji wabibi wa kizungu (watalii) ili watoke kimaisha. So kwa mdada kama huyo (pesa mbele) nafikiri mumewe kutobolewa kwa ajili ya pesa sio issuee saaana. Tutabaki nyuma sisi wa kizamani. LOL
 
kwa hiyo kama si shoga mtu anatafuta mtaalam wa kumfanya awe shoga

Hapana ila hutapata dokumenti za kukufanya uishi bila shida..
Kuna dogo wa kiTZ alikuwa baa,na kisha akafanyiwa kitendo na watu wawili wa kizungu. Akaona tayari kakidhi vigezo.. Kufika hospitali akaambiwa we utakuwa ulibakwa ila si shoga.. kwa hiyo wanaamua kubaki hadi "watakapokidhi vigezo"
 
Back
Top Bottom