Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Source clouds fm now katika kipindi cha heka heka
Hebu nyani ngabu njoo utueleze vizuri
Inasemekana wengi wanaolewa na wanaume wenzao ili waweze kupata uraia na makaratasi nchi ambazo ni mstari wa mbele ni belgium
 
Hiyo 85% imepatika kwa kufanya utafiti au ni hisia za mtu tu. Ni kweli wapo wanaofanya vitendo hivyo, lakini ndo hiyo 85%? Wataalam wanasema 'Kama jambo hujalifanyia utafiti, hutakiwi kulithibitisha' No research, no....... Na mimi nimesikiliza kipindi hicho cha clouds, lakini nilichogundua hiyo 85% ni hisia zao tu pamoja na kwamba wapo vijana wenzetu wanafanya vitendo hivyo. Ni vema jambo hili likafanyiwa utafiti ili kuepusha kulikuza na watu kuogopa hata kwenda huko.
 
nimeipata hii kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds.

Kuna mbeba box mmoja kasema vijana wa kiume kutoka Afrika hasa Tanzania, wamaolewa (mashoga) kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Natamani kusikia kutoka kwa wabeba box wenyewe tetesi hizi, maana nina vijana naotamani waende huko kusoma umri utakapotimia.

Hebu naombeni ufafanuzi.

Mzazi mfurukutwa.

cc Rais wa wabeba box Nyani Ngabu
 
Bomu hili mwanangu, duh!

Kule ndoa za jinsia moja ni ruksa,sasa huko Brussels pamekuwa kimbilio la vijana wetu wakimbizi wa kiuchumi..
Kwa mujibu wa taarifa unapelekwa kwa daktari anapima kama we ni shoga kweli au la na kama umewahi kufanyiwa kitendo hicho kwa bahati mbaya pia anasema we si shoga,ni mkimbizi!
 
Kuolewa kulikozungumziwa ni kwa mwanaume kuoa ili apate karatasi.....sioni kama kuna tatizo,maana jamaa ataweza kuishi kihalali na kufanya kazi yeyote bila kupata kashkash za uhamiaji....tatizo liko wapi?
 
Wa magharibi bado hawajaamka vizuri subiri ndani ya couple of hours watakuja huku;
sasa hayo makaratasi unayapata tu kwa kuolewa na mwanaume mwenzako?????
 
Back
Top Bottom