Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

Wala hajanichokoza kwa sababu hajaniongelea mimi binafsi. Ila sidhani kabisa kama kafanya utafiti wowote ule.

Kama yeye kaolewa kwa sababu ya ugumu wa maisha basi na ajiongelee mwenyewe lakini siyo kuja na asilimia za ajabu ajabu kama 85. Asilimia 85 ya wabeba maboksi wangapi? Lini aliwafanyia sensa? Jinga tu hilo. Na Leo Tena siyo kipindi cha kujadili masuala mazito mazito. Ni udaku daku, heka heka, na ujinga ujinga tu.
Labda anaongelea wanaolelewa na wake zao.Hata hapa USA gay community ni asilimia 4 .Sijawahi kusikia mtanzania gay hapa USA .well sijichanganyi na wabongo probably wapo may be 0.01percent
 
Labda anaongelea wanaolelewa na wake zao.Hata hapa USA gay community ni asilimia 4 .Sijawahi kusikia mtanzania gay hapa USA .well sijichanganyi na wabongo probably wapo may be 0.01percent

Dr. Rutherford hajambo? :becky:

Gays hata Tanzania wapo. But then again who cares if someone is gay?

People should just handle theirs and stop worrying about trifling things in other people's lives.
 
Off course wapo wajinga kama Noor Elly ambao walishindwa kujitambuwa na kudhani Wanawake wa Marekani ni sawa na wale wa Sinza Corner bar kwamba unaweza kumshika mattako na kumpa dole la kati, unarudishwa Bongo kizembe namna hiyo halafu unakuja kujenga chuki.

Nilikwenda Cape Town mwaka jana na nikakuta masiha yamechange sana na kazi zimekuwa ngumu lakini wale vijana wa Kibongo pale wanaishi powa kuliko waliopo nyumbani ambao mpaka leo watu wanapigania pesa ya kula, sasa sembuse Mamtoni?

Mamtoni patabakia kuwa Mamtoni na Bongo ni Bongo huu ndio ukweli, ila Bongo wapo vijana ambao wamechanga karata zao vizuri na maisha yao yapo Super.
Wanaume wa kitanzania walioko bongo ni much better kuliko Wanaume wa kibongo walio USA nawaombea sala zote kwa wake zao maana kiama
 
Bado hujasema kitu, tabia za kishenzi shenzi ndo zikoje?

Mkuu, tabia za kishenzi kshenzi ni kama ya huu jamaa aliyekwenda studio na kutapika habari za udaku zaidi ya udaku na wale waliokuwa wanamhoji kuonekana nao ni watu wa hovyo hovyo katika fani zao (profession) kwa kushindwa hata kumuuliza maswali ya msingi katika matapishi yake.
 
Kongosho na mie juzi kati nilisikia kitu kama hii Leo Tena...walikuwa wanasema kuna vijana wengi wa Tz wanaenda Belgium na kuomba hifadhi kama wakimbizi wa unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwa wao ni gay (mashoga)...sasa Belgium wanawapa hifadhi kwenye makambi afu wakifika huko inabidi wa practice u gay ili kuonyesha kuwa hawakuwa wahongo...Alondika hiyo sms Clouds alikuwa tayari kutoa more news akitafutwa kwani yuko huko huko Belgium

Kilichoniudhi ni kutoa taswira kuwa Tanzania tumefikia kiasi cha kuhatarisha maisha ya gay kitu ambacho ni uhongo...well kila mtu ana njia za kutafuta maisah
 
Dr. Rutherford hajambo? :becky:

Gays hata Tanzania wapo. But then again who cares if someone is gay?

People should just handle theirs and stop worrying about trifling things in other people's lives.

85 percent .That is pure propaganda
 
Mkuu, tabia za kishenzi kshenzi ni kama ya huu jamaa aliyekwenda studio na kutapika habari za udaku zaidi ya udaku na wale waliokuwa wanamhoji kuonekana nao ni watu wa hovyo hovyo katika fani zao (profession) kwa kushindwa hata kumuuliza maswali ya msingi katika matapishi yake.

Na familia za kishenzi nazo ndo hufanyaje?

Mmoja anasema ni familia zinazoishi chini ya dola moja kwa siku, jee tabia Kama ya huyo mhusika inahusiana na kipato cha familia yake?
 
Wanaume wa kitanzania walioko bongo ni much better kuliko Wanaume wa kibongo walio USA nawaombea sala zote kwa wake zao maana kiama
Umesema wewe unaishi na Wazungu America, na haujichanganyi na Wabongo sasa takwimu hizi unazipataje au ni kampuni gani ulioajili kukufanyia sample hizi?

Taifa letu linakabiliwa na tatizo la watu kufikiri na kutenda, nchi ikiendelea kuzalisha watu wa kuhisi hisi namna hii ni hatari sana.

Unawaongelea Wabongo wa USA na usikute tangu umefika USA hujawahi kutembelea State zaidi ya unayoishi, Tabia za Umalaya walizonazo wasichana wa kibongo waliopo USA ni halali kuwa generalize wote kwamba ni Malaya?
 
Huyo ni wa kumchukulia kimasikhara sikhara tu. Ku-reason naye ni vigumu sana.
 
Back
Top Bottom