Eddy da Rose Jr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 244
- 250
Ndo ujue hivyoAseeh nchi hii ni kubwa bana hayo majina ety ni sehemu ipo Tz !?
Ndo ujue hivyoAseeh nchi hii ni kubwa bana hayo majina ety ni sehemu ipo Tz !?
Umepakana na mikoa ya tanga,arusha kilimanjaro,singida,dodomaHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Amekaribisha mlango wa 7 kwakeJamaa jumamosi kaoa mbulu. Nilimhurumia sana
Karibu nikufundishe kipolpole lugha yetu.Dongobesh,
Hata lugha yao ngumu sana, pole kwa janga lililowapata kila nikivuta picha ya katesh mlima hanang nasisimka na haya nayosoma humu ni km nakumbuka pote nilipopita katika harakati za kimaisha ni juzi tu nilikuwa huko laiti tungejua haya tungehamisha watu wote, ila yote kwa yote wapumzike mahali pema,😭😭😭
Hata sumaye Frederick ni muaminifu?Majina ya maeneo wanapo toka Wairaqw
Wilaya ya Mbulu
Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Bashay | Dongobesh | Endagikot | Endamilay | Eshkesh | Gehandu | Geterer | Gidihim | Gunyoda | Hayderer | Haydom | Imboru | Kainam | Maghang | Marang | Maretadu | Masieda| Masqaroda | Murray (Mbulu) | Nahasey| Nambisi | Sanu Baray | Tlawi | Tumati | Yaeda Ampa | Yaeda Chini
Wilaya ya Hanang
Balangdalalu | Bassodesh | Bassotu | Dirima | Endasaki | Endasiwold | Ganana| Gehandu | Gendabi | Getanuwas | Gidahababieg | Gisambalang | Gitting | Hidet | Hirbadaw | Katesh | Laghanga | Lalaji | Masakta | Masqaroda | Measkron| Mogitu | Nangwa | Simbay | Sirop
Wilaya ya Karatu
Baray | Buger | Daa | Endabash | Endamaghang | Endamarariek | Ganako | Kansay | Karatu | Mang'ola | Mbulumbulu| Oldeani | Qurus | Rhotia
Wilaya ya Babati
Arri | Ayasanda | Baoy | Bashnet | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qash | Riroda | Ufana
Wairaqw ndio jamii ya watu waaminifu sana Tanzania na kuhusu urembo au sura zao hawa ni Waethiopia au Wasomali wa Tanzania kwa asili, ni karne kama 5 zilizopita ndio asili yao ilitoka huko, hata na majina na sura zao ni Ethiopia na Somali, ni warembo sana na katika kazi za kuajiriwa au biashara au serikalini ukimpata mwiraqw basi ni waaminifu sana, kweli atasema kweli, uongo atasema hii ni uongo, pia wapole ila majasiri sana sana..
Wanawake wa Kiiraqw ni warembo sana sana naturally na wanaume ma handsome kwelikweli, kama waethiopia au halfcast wa kiarabu. I love my home land Arusha & Manyara.
Asante ila sina kazi nayoKaribu nikufundishe kipolpole lugha yetu.
Gehadu,murbadau,basuto,bashnetMasqaroda
Uko sawa 100%, watu uwa wanasema eti watutsi ni nilotic wakati ni wabantu tu. hawa uliowataja ndo wanilotic haswaa kutokana na lugha yao na muonekano wao.Wazawa wa Arusha na manyara si wabantu; wairaqw(wambulu), wamaasai, wahadzabe, wote sio wabantu, lugha zao ni za tofauti sana ndo maana unaona wana maneno ya ajabu
Wameru tu ndo wabantu
Ni kweli ni jamii moja hawatofautiani sana kwenye matamshi yaoIraqw ndo haohao wambulu mbona?!
😡😡😡😡😡........Barabojigjorojik
Qatesh, Gidahababiegmkuu nadhani haiitwi Hanang, inaitwa Hanang’
Pia Hanang’ na huko Katesh hawakai Wairaq/Wambulu. Huko wanakaa Wabarbaig.
Wambulu wanaishia ishia hapo Dareda Centre na kidogo hapo Gitting ukija huku Endasak, Nangwa, Gidababia nk wengi ni Wabarbaig
QalodaSikumbuki vizuri ila hakiko mbali na Nangwa
MasqarodaQaloda
Lakini inabidi ujue kuwa dodoma ina jirani na jirani na ana jirani.....Tukichunguzana sana,mtanzania halisi ni job ndugai peke yake
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
🙏Qaloda