Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,873
Umesahau WasandawiMakabila ya huko
Wairaq, wagorowa/wafyomi, wahadzabe, mang'ati/bargaig, Masai, wambugwe, warangi, waasi ko usitegemee majina yawe ya kawaida
Umesahau WasandawiMakabila ya huko
Wairaq, wagorowa/wafyomi, wahadzabe, mang'ati/bargaig, Masai, wambugwe, warangi, waasi ko usitegemee majina yawe ya kawaida
Nini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mi
Nini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mingine
Hawa siyo Wabantu ni Nilotic na habeshi. Matamshi ya Wabantu kuna Maneno yanafanana na unaweza kuandika Kwa Alphabet. Muiraqw( Mmbulu) au Msandawi akiongea huwezi kuandika.Nini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mingine
Jorodom Kwa Mary Nagu.Kuna Gedemara
Orngadida
Galapo hiyoo
Nlikaa hukoo enzi hizoo najitafuta
mashine mbovu ajabu, wengi hamna antena, Dareda, Endasaki, Katesh, Bassotu huko hupati antenna kabisaHahahah wale maji mara 1, hawajui kukataa, haswa wambulu, na wabakuaga wazuri sana
jorojikJorodom Kwa Mary Nagu.
Wanasiasa na Watu Maarufu WA Pande hiyo ni: Sumaye Fredrik, Wilbroad Slaa, Wilbroad Mastai, Pauline Gekul, Paulina Nahato, Lupaa, Filbert Bayi, na Yule mwanariadha Mwingine na Wengineo. Wakulima WA Ngano na Shayiri Tanzaniajorojik
Qaleda! 😄Kuna jina la eneo moja linaanza na Q nadhani kabla hujafika Measkron ukitoka Katesh kwenda Dareda
Majina kama Wa ThailandHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Karatu kuna kijiji kinaitwa Qaru. Usiombe sasa kukuta wanaongea hicho ki Iraqw, ni kisomali tupuKuna jina la eneo moja linaanza na Q nadhani kabla hujafika Measkron ukitoka Katesh kwenda Dareda
[emoji23] achaga hizo kilambimkwiduJamaa jumamosi kaoa mbulu. Nilimhurumia sana
Hahaha nipo hapa Manyasini complex nawazuum tuKaratu kuna kijiji kinaitwa Qaru. Usiombe sasa kukuta wanaongea hicho ki Iraqw, ni kisomali tupu
mkuu nadhani haiitwi Hanang, inaitwa Hanang’Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
GIDAGWAJEDAWanasiasa na Watu Maarufu WA Pande hiyo ni: Sumaye Fredrik, Wilbroad Slaa, Wilbroad Mastai, Pauline Gekul, Paulina Nahato, Lupaa, Filbert Bayi, na Yule mwanariadha Mwingine na Wengineo. Wakulima WA Ngano na Shayiri Tan
Halafu hizo pisi zao zimejaaliwa kuwa na roho nzuri ya utoajiHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Kwasababu hayana asili ya kibantu, yanaishia na Alphabet badala ya irabuHivi na Gekul si WA kulekule? Nilichogungua majina Yao yanakua kama ya kingereza hayamalizii herufi za mwsho
Wapo mbona![emoji1787] huku dar hawapatikan nataka niwafuate, ile wale ukimpa tu buku5 anashukuru balaa