Hahaha Hilo swali ni relevant sana maana nilikuwa na girlfriend wangu kaniuliza "huko manyara wanaishi wachina!?"nikauliza kwa Nini si naona "hanang"
Dirim (Dirma), simbayBalangdalalu, dumbeta, girma, wareta, masakta
Hahaha Hilo swali ni relevant sana maana nilikuwa na girlfriend wangu kaniuliza "huko manyara wanaishi wachina!?"nikauliza kwa Nini si naona "hanang"
Dirim (Dirma), simbayBalangdalalu, dumbeta, girma, wareta, masakta
Gidagamond, murjanda, gewal, sechetGehadu,murbadau,basuto,bashnet
Umesahau na wameru.Nashindwaga kuzitofautisha pisi za Kimasai, Kimbulu, Kiethiopia na Kinyarandwa. Zinafanana kwelikweli
Ukifuatilia historia ya Wairaqw utawaona Warangi wanaingia na wenzao wa Uganda. Siku moja nikipata muda nitaeleza hii historia yao vizuri.Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
[emoji23][emoji23][emoji23] umefikiria nini jamaa .!?Tukichunguzana sana,mtanzania halisi ni job ndugai peke yake
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kuna Wanyarwanda na Wasomali. Wote hawa ni jamii ya KimbuluUmesahau na wameru.
wanasema mgogo ndo mtanzania wa asili,hapo kawakilisha wagogo wenzie[emoji23][emoji23][emoji23] umefikiria nini jamaa .!?
kwa hiyo wakiwa wengi huitwa Vimbulu sio?Kuna Wanyarwanda na Wasomali. Wote hawa ni jamii ya Kimbulu
Hata mm nasisimka Sana nikipakumbuka eneo Hilo kuazia mlima ule mrefu Kama umetoka singidaDongobesh,
Hata lugha yao ngumu sana, pole kwa janga lililowapata kila nikivuta picha ya katesh mlima hanang nasisimka na haya nayosoma humu ni km nakumbuka pote nilipopita katika harakati za kimaisha ni juzi tu nilikuwa huko laiti tungejua haya tungehamisha watu wote, ila yote kwa yote wapumzike mahali pema,[emoji24][emoji24][emoji24]
Walutheri na wakatoliki ndio wengi huko,Hata mm nasisimka Sana nikipakumbuka eneo Hilo kuazia mlima ule mrefu Kama umetoka singida
Hao jamaaa tumefanya nao biashara ya kuuziana nguruweee Ni watu POA mno
Wanapenda Sana kusafiri kwenda Arusha
Wenyeji was mjii huo Ni wakatoliki karibia wote
Twende Dirma mkuu😜Qatesh, Gidahababieg
Bora sirop kabisa, kuna watoto wa kichasi na kirangi kuleTwende Dirma mkuu😜
Kuna fursa gani tujeBora sirop kabisa, kuna watoto wa kichasi na kirangi kule
HapanaMbona kama waarabu hao?
Kule wafyomi ndo wengi mkuu, hasa pale Matangarimo…..Bora sirop kabisa, kuna watoto wa kichasi na kirangi kule
Hailotoh...Murray...Endanyawish...Endamilay...Masieda..Endagichan....Yaeda Ampa..DIRIM...Gehadu,murbadau,basuto,bashnet