Wale sio Wabantu, wana asili ya Ethiopia, Sudan na SomaliaNini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mingine
Ndio Wamang'atiHIVI nawale wanaitwa wa barabeig nao ni watu WA Manyara?
Ulivyowasilisha hii mada bila shaka wewe ni mmbulu [emoji817] sasa utusaidie tujue asili ya hayo majina ya huko kwenu.Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Sio wabantu kwa hivyo hata majina yake sio ya kibantu kama tulivyozoea.Nini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mingine
Kuna jina la eneo moja linaanza na Q nadhani kabla hujafika Measkron ukitoka Katesh kwenda DaredaHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Lini mwishoPisi-warembo...?
Ok.
Ngoja nikatembelee kabla dunia haijafika mwisho.
Ndio wambulu ASILI Yao ni mbuli, ila wapo wengneo makabila mengne kuacha wambuluMimi naishi nao ndugu, ni jirani zangu!!
Alafu hawapendi kabisa uwaite "wambulu" (mbulu ni wilaya ya manyara)
Medicine au sioJina jingine la pisi kali moja niliyosoma nayo inaitwa DAWA
Matui
Ushajipata ausioKuna Gedemara
Orngadida
Galapo hiyoo
Nlikaa hukoo enzi hizoo najitafuta
HatariEndasaboghechan
Qedang'onyi
Endamudayga