mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,882
- 136,798
Wilaya Kiteto hiyoMatui
Nakweera
Engusero
Partimbo
Pori kwa Pori
Mbeli
Mbigiri
Sikumbuki vizuri ila hakiko mbali na NangwaQaleda! 😄
Gidamis ShahangaGIDAGWAJEDA
Upo makiniWilaya kiteto hiyo
Wakaka wavivu na mmelegea kama tembele lililoivaWairaq tunaenjoy sana pisi kali zetu, Hata sisi wanaume ni mahandsome balaa
Nipe mmoja nioeWairaq tunaenjoy sana pisi kali zetu, Hata sisi wanaume ni mahandsome balaa
Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Hiyo ndio ilikuwa israel kabla kwenda kuwavamia wapelestina!Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
HahahaPisi-warembo...?
Ok.
Ngoja nikatembelee kabla dunia haijafika mwisho.
Mkuu inaitwa Orng’adida…..Kuna Gedemara
Orngadida
Galapo hiyoo
Nlikaa hukoo enzi hizoo najitafuta