Umetusha kifaru, unapajua Hadi matangarimo na Gisambala?!Kule wafyomi ndo wengi mkuu, hasa pale Matangarimo…..
Kidogo hapo Waranga na Gisambalang ndo warangi wamo wamo mkuu đŸ˜‚đŸ«¢
Umetusha kifaru, unapajua Hadi matangarimo na Gisambala?!Kule wafyomi ndo wengi mkuu, hasa pale Matangarimo…..
Kidogo hapo Waranga na Gisambalang ndo warangi wamo wamo mkuu đŸ˜‚đŸ«¢
Mwanzoni Sumaye na Mkapa walikuwa waaminifu sana sema kuna mtu anaitwa Basil Pesambili Mramba ndiye alikuja kuwaharibu ukubwani na wao wakawa majizi. Ila kwa asili Sumaye na Mkapa walikuwa siyo wezi. MRAMBA NI MTU HATARI SANA! đŸ˜€ đŸ˜€Hata sumaye Frederick ni muaminifu?
Ulitaka akuoe wewe acha wivu.?!! Vuta subira utapata wakoJamaa jumamosi kaoa mbulu. Nilimhurumia sana
Oromo & Afar tribesKuna jamii ya watu kama wairaq huko Ethiopia/Eritrea. That explains something.
80% ya majina ya maeneo sio kiiraqw ni kimang'ati bwana Jorojik atusaidie maana zakeMajina ya maeneo wanapo toka Wairaqw
Wilaya ya Mbulu
Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Bashay | Dongobesh | Endagikot | Endamilay | Eshkesh | Gehandu | Geterer | Gidihim | Gunyoda | Hayderer | Haydom | Imboru | Kainam | Maghang | Marang | Maretadu | Masieda| Masqaroda | Murray (Mbulu) | Nahasey| Nambisi | Sanu Baray | Tlawi | Tumati | Yaeda Ampa | Yaeda Chini
Wilaya ya Hanang
Balangdalalu | Bassodesh | Bassotu | Dirima | Endasaki | Endasiwold | Ganana| Gehandu | Gendabi | Getanuwas | Gidahababieg | Gisambalang | Gitting | Hidet | Hirbadaw | Katesh | Laghanga | Lalaji | Masakta | Masqaroda | Measkron| Mogitu | Nangwa | Simbay | Sirop
Wilaya ya Karatu
Baray | Buger | Daa | Endabash | Endamaghang | Endamarariek | Ganako | Kansay | Karatu | Mang'ola | Mbulumbulu| Oldeani | Qurus | Rhotia
Wilaya ya Babati
Arri | Ayasanda | Baoy | Bashnet | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qash | Riroda | Ufana
Wairaqw ndio jamii ya watu waaminifu sana Tanzania na kuhusu urembo au sura zao hawa ni Waethiopia au Wasomali wa Tanzania kwa asili, ni karne kama 5 zilizopita ndio asili yao ilitoka huko, hata na majina na sura zao ni Ethiopia na Somali, ni warembo sana na katika kazi za kuajiriwa au biashara au serikalini ukimpata mwiraqw basi ni waaminifu sana, kweli atasema kweli, uongo atasema hii ni uongo, pia wapole ila majasiri sana sana..
Wanawake wa Kiiraqw ni warembo sana sana naturally na wanaume ma handsome kwelikweli, kama waethiopia au halfcast wa kiarabu. I love my home land Arusha & Manyara.
Hii Orkesumet unaitamka 'ogasmet'.đŸ˜‚đŸ˜‚Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Nliwahi ishi Galapo
Kitongoji cha kuitwa Orngadida
Burudani saaana hukoo
Nakumbuka vitongoji kama
Gedemara
Qash
Hatar sana, Mimi nlifundisha shule ya sekondari Gallapo huko Gedamara pia nlikua naendaga mpka Ayatsea.mara ya kwanza kufika wenyeji wananipa usia
Kuwa makini huku mpaka vitasa vya milango va mimi nilifundisha shule ya sekondari Gallapo ipo karibu Orngadida na Qash Gedamara A na C pia nlikua naendaga.
Majina ya kawaida na yasio ya kawaida yapoje?Makabila ya huko
Wairaq, wagorowa/wafyomi, wahadzabe, mang'ati/bargaig, Masai, wambugwe, warangi, waasi ko usitegemee majina yawe ya kawaida
Enda maanake mtoDareda, mang'ola, endamararieki, haidom, endebash, Niendelee ama nisiendelee.
Enda zote maanake ni mtoto -kibarbaigENDAROFTA
HayatamkikiMajina ya kawaida na yasio ya kawaida yapoje?
Hv wabarbaig ni tofauti na wamang'ati?Enda zote maanake ni mtoto -kibarbaig
Mang'ati ni neno la kimasai ikimaanisha adui,,Hv wabarbaig ni tofauti na wamang'ati?
Nasisi pia hatutamki maneno mengi ya wabantu kwa ndimi zetu mfano hatuna Z wala VHayatamkiki
Hv ukiwaskiliza waarabu Kuna namna unawaelewa? Nliwahi skia Kuna ufanano wa baadhi ya maneno ya wairaq/wagorowa na waarabu đŸ¤”Nasisi pia hatutamki maneno mengi ya wabantu kwa ndimi zetu mfano hatuna Z wala V
Hivi Wadatodga ni watu wa wapi? Ni kabila au group la makabila?Mang'ati ni neno la kimasai ikimaanisha adui,,
So ni jina ambalo walipewa na wamasai kuzingatia uadui wao wa kuibiana mifugo.
Barbaig ni kundi moja wapo kati makundi 7 au 8 ya wadatoga
Proper name ya mang'ati na barbaig ndio wadatogaHivi Wadatodga ni watu wa wapi? Ni kabila au group la makabila?
Mwamba umenipa elimu hapa, shukran saaanaProper name ya mang'ati na barbaig ndio wadatoga