ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,974
MasqarodMasqaroda
MasqarodMasqaroda
Tlawi (ziwa) la maji ila sio titiMaskaroda
Tlawi ( sema ghawi)
Wamburu ndio wairaki kaka.Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Hai make sense hii hojaHuko mzee kisonono ni kugusa tu, ila HIV rate yao ni ndogo sana ,ila kisonono ni hatari
Hizi ni chuki tu kwa kua nia wazuri basi watu wanasema ni malaya je ww ulishawahi kulala nao wangapi? Mbona mm naishi uchaggani lkn wanawake ni malaya balaa hta mke wa mtu analiwa kirahisi tu umalaya ni tabia ya mtu acheni chuki zenu kwa kua nyie mna sura za sokweWanagawa chini
Ukiona HIV iko low basi ni wazi umalaya pia ni kidogo the rest is misconceptionHizi ni chuki tu kwa kua nia wazuri basi watu wanasema ni malaya je ww ulishawahi kulala nao wangapi? Mbona mm naishi uchaggani lkn wanawake ni malaya balaa hta mke wa mtu analiwa kirahisi tu umalaya ni tabia ya mtu acheni chuki zenu kwa kua nyie mna sura za sokwe
Kwa hio hao wambulu wa huko uchagani wanapigwa sana miti?Hizi ni chuki tu kwa kua nia wazuri basi watu wanasema ni malaya je ww ulishawahi kulala nao wangapi? Mbona mm naishi uchaggani lkn wanawake ni malaya balaa hta mke wa mtu analiwa kirahisi tu umalaya ni tabia ya mtu acheni chuki zenu kwa kua nyie mna sura za sokwe
Hata mie nashangaa.Hizi ni chuki tu kwa kua nia wazuri basi watu wanasema ni malaya je ww ulishawahi kulala nao wangapi? Mbona mm naishi uchaggani lkn wanawake ni malaya balaa hta mke wa mtu analiwa kirahisi tu umalaya ni tabia ya mtu acheni chuki zenu kwa kua nyie mna sura za sokwe