Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,077
1,728
Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara

Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.

Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.

Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.

Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:

*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh

Na mengine mengi.

NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
 
Back
Top Bottom