Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

Siyo kweli. Wanyaturu ni Wabantu. Siyo Wakushi.

Pia hakuna Wambulu. Mbulu ni jina la eneo kama ilivyo Bukoba. Ila Kuna Wairaqw ambao ni Wakushi (Cushites).
Usiwe mbishi basi uwe unasoma vitabu usibishe kama uko kwenye kijiwe cha kahwa.
Wanyiramba ndio wabantu.
Utabisha nikikueleza kuhusu sisi watutsi pia kwamba ni kushi lakini DNA yetu 75% inasoma bantu kwa sasa.

Kuhusu neno Mbulu najua hayo uliyoyaeleza. Ni sawa na Songea wengi ukiwaambia Ruvuma watauliza ni wapi. Hivyo near word (famous word) Songea kufunika neno Ruvuma japokua Songea ni wilaya.
 
Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara

Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.

Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.

Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.

Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:

*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh

Na mengine mengi.

NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Pia kuna Mourjandah,Moulbadow,Kidagamound,Gawal
 
Ata majina ya watu ni balaa,

Tlatla
Axweso
Girigwan'gwaay
Kwendoo.
Garan
Tluway
Bura
Amsii
Nsiii
Libambay
Utamkwajiwake ni tofauti na uandishi kuna vikonyo na kumezea maneno sna .


Kwa walio wakristo kuna majina kama


Mathayo
Paulo
Martha
Monica
Paski
Romana
Donatila
Paskali
Rafael
 
Ata majina ya watu ni balaa,

Tlatla
Axweso
Girigwan'gwaay
Kwendoo.
Garan
Tluway
Bura
Amsii
Nsiii
Libambay
Utamkwajiwake ni tofauti na uandishi kuna vikonyo na kumezea maneno sna .


Kwa walio wakristo kuna majina kama


Mathayo
Paulo
Martha
Monica
Paski
Romana
Donatila
Paskali
Rafael
tsii,tsere
 
endakiso,endagwe,endanachan ,Dabil,endamaqhay naon mkiwasema sana ndugu zangu hawa kuwa maji mara moja ooh sijui ukimpa buku 5 anashukuru kiukweli hiyo ni asili huwezi kuibadili ni kama vile wangoni asili yao ni kupenda kufanya mapenzi sanaa
Huko mzee kisonono ni kugusa tu, ila HIV rate yao ni ndogo sana ,ila kisonono ni hatari
 
Hirbadaw
Basotu
Basodesh
Gisyali
Haydom
Getanyamba
Maghang
Gidmadoy
Haydarer
Simhha
Gurawe
Maretadu
Endaharghdat
Ng'wandakw
Gwandumehhi
Mama isara
Etc etc
 
Wazawa wa Arusha na manyara si wabantu; wairaqw(wambulu), wamaasai, wahadzabe, wote sio wabantu, lugha zao ni za tofauti sana ndo maana unaona wana maneno ya ajabu

Wameru tu ndo wabantu
Ni kweli hawa wamasai, wahadzabe, wambulu, na hawa wairaqw huwa tunawaita waitiks sio jamii ya wabantu hata ongea yao ni tofauti kabisa
 
Aisee nilipiga mmoja mtoto wa kiraqwi akakolea mpk kafukuzwa kwao.
Ni litoto la kiarabu kabisa,laini km yai.
Wakamrudisha kijijini maana nilikua na mke nae alikua mchimvi balaa.
Waliona ndugu yao atadhurika.
Wakasafirisha utamu wangu kwenda katesh.
Ni Qatesh siyo Katesh. Katesh imekuja baada ya wakuja kushindwa kutamka ipasavyo.
 
Back
Top Bottom