Hongera zake sana ila kwa tanzania ilivyo atasahaulika sana wanakumbukwa waliotoa pesa kuchapisha tshirt kuvaa uwanjani na kwneye majukwaa wanapesa tuzo
hongera zake, lkn nahisi si dini yake ndo inayosababisha asitambulike lkn sera mbovu za chama cha magamba kutowaenzi wananchi wake. mbona akina kawawa, akina sykes na wengine wengi wameandikwa ktk historia ya nchi hii, km ingekuwa ni dini hilo jina lingekataliwa toka enzi hizo. km ni kweli basi huyu mtu hajatendewa haki kabisa hajaandikwa ktk kitabu chochote cha historia wala sijawahi soma sehemu yeyote ile inaelezea kulikuwa na shindano la kubuni jina la Tanzania. wanasema tu kuwa Tanzania ni muunganiko wa majina mawili tanganyika na zanzibar. lkn ndo mfumo wa kijamaa huo historia hupendelea watawala tu
Nina wasiwasi na ubunifu wa hizo herufi mbili za mwisho yaan ...IA.., kuhusiana na dini yake....... ALAFU MBONA MWENZENU NASHINDWA KUELEWA KWANINI SUALA HILI LIMECHELEWA KUFAHAMIKA NAMNA HII?????? Bado nina wasiwasi na suala hili.....labda mnisaidie jamani!!!!!!!!
Kazi nzuri...Nakupongeza kwa kuweza kutuelewesha historia nzuri ya jina la Tanzania...kwa wasomi hilo ni swala la mjadala ili kuongezeana elimu katika hili hasa sisi wa vizazi baada ya uhuru tusio na elimu kubwa ya historia ya mwanzo wa Muungano. Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.