Asikudanganye nitaishia mapajani

jAPO SIKUMBUKI NILIISOMA WAPI LAKINI KUMBUKUMBU ZANGU ZINADAI HIYO KITU NI KINGA YA KANSA YA KIZAZI KWA WANAWAKE. HAIKUONGELEWA KWA WANAUME KAMA INA MADHARA AU LAH

Nami ndivo nlivosoma kwenye kitabu cha dk Nelson wa mwanza. Kinaitwa SAYARI YA MAPENZI kama sikosei.
 
siku nyingi dada; ulikuwa wapi rafiki? tuendelee na mjadala.

Mkuu huyu anapatikana MMU daily, sema hii makitu inamuhusu montly that's whay she's on front line
 
Nami ndivo nlivosoma kwenye kitabu cha dk Nelson wa mwanza. Kinaitwa SAYARI YA MAPENZI kama sikosei.

Umeona eti!!!!! nashukuru kwa kuwa shahidi wa kweli; swali ni je! ni kweli inakinga? na kama inakinga basi kipindi madem wakiwa apollo wasidemand chochote badala yake walipie hiyo kinga ya kansa ya kizazi.
 

Hii nini tena jamani, post chafu kabisa.
 

thank.....I never knew this..............
 
halafu wewe inaelekea hujui unachokisema
nani alikwambia kwamba hedhi ni kitu cha kumfanya mtu asibiduke??
nani alikwambia kwamba kiafya lina madhara makubwa ama ndivyo ulivyodanganywa?
je unaamini kwamba wapo wengine huambiwa wabiduke wakati wa hedhi ili binti apate mimba?
binafsi sikumbuki siku hedhi imewah kunifanya nishindwe kubiduka kama ninahamu..............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…