Asha Migiro hatulii NY?

Asha Migiro hatulii NY?

Duh..huyu mama kawakosea nini jamani? Leave the woman to do her job. Kama mwajiri wake yuko confortable na hizo safari kwa nini wengine muone kama anatafuta uraisi? Halafu ultimately wapiga kura ni wananchi..kwa hiyo hata kama akitaka kugombea si kosa maana naamini ni haki yake na wewe mpiga kura ndo utaamua kama anafaa kukuwakilisha au hakufai.

Lets learn not to hate. Lets be proud na achievements za watanzania wenzetu.

Big up mwalimu!

ametukosea kwa kuwa kwake kwenye chama cha magamba!
 
Hawezi kupewa rejea kikao cha UVCCM Bagamoyo
 
SAMMOSSES:BAKWATA nawashauri wamfunze mama bado mapema kuvaa hijabu,siyo siku ya kampeni zikifika wanaanza oh uislam umedhalilishwa
 
Nilidhani wapinzani wangefurahia uteuzi wa huyu mama ili waje wachukue nchi kiulaini.au?
 
Tanzani ni nyumbani kwake, anastahili kuja wakati wote
 
Haka kamama ni kaislam. Hizi trips nyingi ni za mawindo ya urais. Magamba wakimteua huyu njia ni nyeuuupeeeeeee kwa wapiganaji.
 
huyu mama ameshaingia free mason? ona walivyoshikana mikono...aina hii ya kushikana mikono inatumiwa sana na iluminati
It seems habari za Illuminati (The baptized) na Freemason zinawachanganya sana kiasi cha kutojua nani ni nani.....na mipaka yao ni ipi?
 
Hatuna muda wa kumpa urais mwislamu tena. Hawa marais waislamu ndiyo wanaotuletea ugumu wa maisha.
 
Aisee umeshaanza kudodosa dini..

Mdini mkubwa wewe kwa hiyo akiwa muislam kuna ubaya gani?
Hapana. Nilikuwa namjibu jamaa aliyesema kuwa she is Christian. She is not. Udini unao mwenyewe. Angalia majority ya mabandiko yako humu.
 
Inabidi tuanze kuweka kumbukumbu za safari zake huyu mama hapa Bongo. Pia tuweke record ni mara ngapi wamekutana yeye na rais Kikwete. Tanzania tulishakumbwa na kashfa kwenye ulingo wa kimataifa - Getrudi Mongella, sasa huyu Asha Migiro anatupeleka huko huko! Mwaka huu pekee nadhani ameshakuja Tanzania walau mara 3 (na ndio bado October). Na tukumbuke kwa nafasi yake hasafiri yeye peke yake, kuna utitiri wa watu - wasaidizi wake.

Ni kitu gani cha muhimu kinamfanya ajihusishe na domestic issues kiasi hicho? Nani analipia safari zake? Na zina manufaa gani kwa UN? Why Tanzania? Kwa mfano alikuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa Tanganyika Law Society (TLS) uliofadhiliwa na African Barrick uliofanyika huko Dodoma mapema mwaka huu.TLS ni UN wapi na wapi? Hizi porojo za afya ya mama na mtoto ni usanii wa kupindukia. Kwa indicators za Mkukuta Tanzania tume-slow down kwenye maternity health. Na tukirudi kwenye malaria, hivi UN hawajui nchi nyingine yenye malaria? Marekani wanatusaidia kwenye malaria, UN ya Migiro nayo inapiga upatu kupitia malaria. Ina maana Tanzania ndio tunaongoza kwa kuwa na malaria au?
 
hivi watu wanadhani new york na dar ni mbali sana kwa mtu mwenye uwezo wake?
huko un mtu anawezachukua likizo wakati wowote mradi tu siku zake za likizo
zinamruhusu na sio lazima achukue likizo ya mwezi kama hapa bongo.

huwezi jua katika majukumu yake alikuwa maeneo karibu na bongo hivyo ni rahisi kwake
kuja bongo bila gharama kubwa.

sasa hilo la uraisi kama kweli anautaka ni haki yake pia ila inabidi awe tayari kukabiliana
na siasa za maji taka na madongo toka pande mbali mbali. akiingia huko ajitayarishe
kusikilizia maumivu tuu na namtangulizia pole zangu.
 
hivi watu wanadhani new york na dar ni mbali sana kwa mtu mwenye uwezo wake?
huko un mtu anawezachukua likizo wakati wowote mradi tu siku zake za likizo
zinamruhusu na sio lazima achukue likizo ya mwezi kama hapa bongo.

huwezi jua katika majukumu yake alikuwa maeneo karibu na bongo hivyo ni rahisi kwake
kuja bongo bila gharama kubwa.

sasa hilo la uraisi kama kweli anautaka ni haki yake pia ila inabidi awe tayari kukabiliana
na siasa za maji taka na madongo toka pande mbali mbali. akiingia huko ajitayarishe
kusikilizia maumivu tuu na namtangulizia pole zangu.

NY na Tanzania ni mbali zaidi kuliko Dar na Bagamoyo. Yeye si mwakilishi wa Tanzania kwenye UN bali ni mtumishi wa mataifa yote duniani. Kwa anavyofanya sasa kipa umbele chake ni Tanzania badala ya mission ya UN. Mambo haya yanahitaji pia mhusika kutanguliza ubongo badala ya moyo.
 
Kuna mambo ya hovyo sana huyu mama amekuwa anafanya. Amekuwa anasuka tuzo za ajabu kwa Tanzania. Mara tuzo ya utoaji bora wa huduma za jamii, mara afya ya mama na mtoto. Na sasa kamsukia rafiki yake Kikwete nafasi kwenye kamati ya UN inayoshugulika na afya mama na mtoto. Hivi Tanzania yenye matatizo lukuki inakuwaje rais bado anatafuta kazi za nje?

Time will tell kwa nini Dr Migiro kila kukicha yuko Dar. hatulii ofisini lakini angekuwa na akili timamu angekaa angeshikilia hicho kibarua alichopewa huko UN. Hapa ataumbuka.

Hivi sisi watanzania tuna tatizo gani na roho zetu mbaya? Alipokuwepo Koffi Annan alijaza ndugu zake Waghana katika nafasi tele za UN lakini sisi tumelala, Asha Rose akianza kufanya kitu basi tunalalamika kwa roho mbaya zetu. Mbona Mama T alipojaza ndugu zake wa kwao kwenye UN habitat mulinyamaza?

Na hizo tuzo munafikiri anakurupuka nazo kwakuwa kama maraisi wa kiafrika? Maana raisi wa kiafrika hujijaza matuzo. Munadhania kule UN watamchekea tu kwa vile ni Deputy SG. Jamani tukuwe tupanue mawazo na kuchukua nafasi hii wakati yeye bado yupo siyo kujadili mambo yasiyokuwa na tija.

Angekwenda Europe au kutoa tuzo kwa wazungu ndiyo mungefurahi na kusubiri muletewe misaada.

By the way, kuna Rose mwislamu?
 
Back
Top Bottom