Asha Migiro hatulii NY?

Huwa na wasi wasi sana na kazi huyu mama anayofanya huko UN isije ikawa ni katibu muhtasi tu halafu tunapigwa fix eti ni Naibu Katibu Mkuu wa UN. Mbona hatumwoni hata siku moja huko kwenye mikutano ya UN inayofanyika Europe? Yeye anapigana vikumbo na kina Paul Biya na madikteta wengine wa Africa tu...Au ni Naibu Katibu Mkuu wa UN kwa Africa tu?
 
no research n right to speak.Kaolewa na mkristo, lakini asili yake ni muislam.Alipoapa kuwa waziri aliapa na kuruani.

Mkuu, huwezi kujua kila kitu vitu vingine kama ujui ni bora ukae kimya..

Huyu mama ni Mpare, lakini kazaliwa Songea mume wake ni Prof. Clophans Migiro na wana watoto wawili wa kike..wote ni wakiristo

Hivi nikulize swali Muislam anafunga ndoa Kanisani? nijibu ili niendelee kukujuza zaidi bahati nzuri namjua huyu mama vizuri
 
Waziri Sofia Simba alisema hi majuzi kuwa safari hii wanataka rais mwanamke.
 
Ila Migiro na ndugu zake ni vichwa kiukweli.. Anaongea mpaka French na Arabic! Ana ndugu yake Mama Mwantumu Malale naye ni kichwa kama ndugu yake.
 
Mkuu, huwezi kujua kila kitu vitu vingine kama ujui ni bora ukae kimya..

Huyu mama ni Mpare, lakini kazaliwa Songea mume wake ni Prof. Clophans Migiro na wana watoto wawili wa kike..wote ni wakiristo

Hivi nikulize swali Muislam anafunga ndoa Kanisani? nijibu ili niendelee kukujuza zaidi bahati nzuri namjua huyu mama vizuri

na ile korani aliyoapa nayo siku anakuwa waziri ni nini mkuu? Nitakuwekea muda si mrefu picha yake aliyoapa nayo siku anakabidhiwa uwaziri.Mkuu mbona siku hizi ndoa mseto zinafungwa kanisani? Mbona mume wake Fatuma Kimario mkuu wa wilaya ya Igunga ni kiongozi wa kanisa katoliki huko Tegeta?
 
Haya ni Muislam mkuu!
 
karibu sana Nyumbani... ila 2015 ni Chadema tu....

ila tunakushauri ugombee ili tupite kirahisi zaidi...
 
Viatu.jpg

Hapa mkulu apiga kama viatu vyangu vya mchina. Wachina Woooye, endeleeni kutuletea bidhaa cheap cheap!
 
Muungwana
kwenye mambo ya ndege kuna aina mbali mbali za matengenezo chka,b,c,na d
hii a,b,c lazima ufanye nje ya nchi lakini hii d lazima iwe nyumbani sasa ukiwa una akili
umelewa lazima mama yetu arudi bongo hata iweje for general chk
 
Back
Top Bottom