Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.
Mwnykiti wa bunge mabuba anafaa!
Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.
Nini hasa cha kujivunia alichokifanya pale UN? Naona anapigwa promo ya nguvu kweli!
Kumbukeni kuwa mwendo wetu ni MKristu Mwislamu Mkristo Muislam.................................next mkristu
Vijana wa CDM wameanza kupaka matope
Hicho kidole cha Migiro kinaonyeshea nini...?
Mkristo,alafu anatoka zanzibar? Mh! Hivi Znz kuna wanasiasa wakristo kweli?
Hatuna muda wa kumpa urais mwislamu tena. Hawa marais waislamu ndiyo wanaotuletea ugumu wa maisha.