Asha Migiro hatulii NY?

Naona wanashindana bei maAna najuaa wanamuomba sana aje kuomba ridhaa ila najuaa yeye anaogopa hasa hali ilivyo na ushindani wa cdm pamoja na media!
 
Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.

Mkristo,alafu anatoka zanzibar? Mh! Hivi Znz kuna wanasiasa wakristo kweli?
 
pakua+%2820%29.jpg


Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.

mshenzi tu yule, anaandaa mazingira ya kugombea urais 2015. atashangaa atakavyopigwa chini
 
Kuna mambo ya hovyo sana huyu mama amekuwa anafanya. Amekuwa anasuka tuzo za ajabu kwa Tanzania. Mara tuzo ya utoaji bora wa huduma za jamii, mara afya ya mama na mtoto. Na sasa kamsukia rafiki yake Kikwete nafasi kwenye kamati ya UN inayoshugulika na afya mama na mtoto. Hivi Tanzania yenye matatizo lukuki inakuwaje rais bado anatafuta kazi za nje?

Time will tell kwa nini Dr Migiro kila kukicha yuko Dar. hatulii ofisini lakini angekuwa na akili timamu angekaa angeshikilia hicho kibarua alichopewa huko UN. Hapa ataumbuka.
 
pakua+%252820%2529.jpg


Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.

Anataka Uraisi kwa nguvu.
 
Mwache atalii kama Rais wake wana fanana kwa tabia kwani aliipate nafasi ya Ukatibu mkuu ? Wote mnakumbuka ilivyokuwa au mmesha sahau haraka hivi? Hakuwa amefaa ila ilitolewa asante na Ban Ki Moon .Kutalii ni aina yao ya uongozi .Watu wana mwangalia n itakuwa mwisho kwa mtanzania kuukwaa ukuu UN wa aina hii maana hatulii kila siku yuko Dar .Pia kaja kujua zimeingia ngapi kwenye account si mmesikia juzi kuna mjeshi alidai mama ana mradi huko Sudan ?
 
Huyu Asha Migiro kazi ya pale UN ni kuangalia mambo ya Malaria na Ukimwi hakuna cha ziada

Kwa ujumla pale UN hakuna kitu kipya cha kujifunza. Kazi zao nyingi ni za kupangiwa na Hilary Clinton na hawana changamoto nyingi kama za wizarani. Mtu kama Ngeleja anaweza kuwa na majukumu mengi kuliko huyo Asha Migiro na unaibu wake wa UN.
 
mshenzi tu yule, anaandaa mazingira ya kugombea urais 2015. atashangaa atakavyopigwa chini

Duh..huyu mama kawakosea nini jamani? Leave the woman to do her job. Kama mwajiri wake yuko confortable na hizo safari kwa nini wengine muone kama anatafuta uraisi? Halafu ultimately wapiga kura ni wananchi..kwa hiyo hata kama akitaka kugombea si kosa maana naamini ni haki yake na wewe mpiga kura ndo utaamua kama anafaa kukuwakilisha au hakufai.

Lets learn not to hate. Lets be proud na achievements za watanzania wenzetu.

Big up mwalimu!
 
huyu mama ameshaingia free mason? ona walivyoshikana mikono...aina hii ya kushikana mikono inatumiwa sana na iluminati
 
Hilo la dini ndo kubwa zaidi hana la maana la kuwa rais kwakuwa agenda yao ya udini hapo ndo turufu yao. Nashukuru sana mkuu kwakuliona hilo na nadhani kunahitajika kazi yakufanya kulidhibiti hilo la udini kwani hadi sasa nchi imeshaoza.

Imefika mahala watu wanadai uhuru walileta wao sio nyerere na wengine sasa wanaandika na kuwafundisha wadogo na ndugu zetu kwenye vyuo mbalimbali kuwa nyerere hakuleta uhuru bali dini yao. Waziri Kawambwa fuatilia vyuo vyako uone
 
Back
Top Bottom