Asanteni kwa ushauri wenu, naomba pia mnipokee

alieniambia below20 inatusaidia nn, majibu yako: ni katika kujitambulisha2 binafsi cjaona ubaya bt kama nmekukwaza nsamehe bure
 
hao wote uwaonao wanamaswali ya kijinga ni vizee na vibibi me ntakupa maelekezo kwa vijana wenzio kama mimi
 
we mama wee ishi hapa utakavyo sio wapendavyo ! Ukisshi ivo maisha yako hapa jukwaani yatakuwa magumu mno
 
hao wote uwaonao wanamaswali ya kijinga ni vizee na vibibi me ntakupa maelekezo kwa vijana wenzio kama mimi

mmh asante kijana mwenzangu, mana hcho kibabu cjui kibibi kmentisha yan kimeniulza ka kmetoka ucngzn or kinanidai lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom