Asanteni kwa ushauri wenu, naomba pia mnipokee

habari za jpili! wana jamvi asanteni sana kwa ushauri mlionipa jana niliomba ushauri kuhusu rafiki 2liepotezana baada ya kumtafuta akawa ka hanijui, ushauri wenu umenisaidia sana na nmejifunza vi2 vingi. kingine mm ni mgeni hapa jf! naombeni mnipokee, naamini ntajifunza vingi. mm ni msichana wadau niko below 20! nawapenda saaaana asanteni!

Karibu. Vipi, mko likizo, au umepata gaet pass?
 
Akili yako iwe na chujio mdogo wangu, humu ni vurugu mechi, usishangae kukuta watu wakihamasisha ngono kinyume na maumbile, mahusiano ya jinsia moja, kuwekwa kimada, ...
Siku zote "za kupewa na mbayuwayu, changanya na zako", "shake well before use".
 
Karibu' mada za hapa zitakukomaza ujihisi ur above 20'
 
Akili yako iwe na chujio mdogo wangu, humu ni vurugu mechi, usishangae kukuta watu wakihamasisha ngono kinyume na maumbile, mahusiano ya jinsia moja, kuwekwa kimada, ...
Siku zote "za kupewa na mbayuwayu, changanya na zako", "shake well before use".

oooh asante kwa kunijuza asnte sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom