Asanteni kwa ushauri wenu, naomba pia mnipokee

so sory...! Hta mm naongea kwa logic tena saaana tu, af cjawahi kutumia x kwenye s dia! Nioneshe labda. Naomba utengue kauli yako kwmba hujapenda uandishi wng eti nibadilike...! Lolest

cjadanganya umri budie! cna 7bu ya kufanya ivo.

sasa mtoto mzuri, usiwe unawanyooshea kidole watu wazima unapokuwa unaongea, sawa?

unapoambiwa, badilika, tafuta kosa lilipo ulifanyie kazi ili uendane na jamii inayoongea na wewe! umenielewa?

ila kama umeamua kuishi utakavyo, basi nimerudisha mikono mfukoni mwangu, nimenawa!
 
asante nmekuelewa
 
Aisee ...hii sredi ilinipita na fursa zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom