habari za jpili! Wana jamvi asanteni sana kwa ushauri mlionipa jana niliomba ushauri kuhusu rafiki 2liepotezana baada ya kumtafuta akawa ka hanijui, ushauri wenu umenisaidia sana na nmejifunza vi2 vingi. Kingine mm ni mgeni hapa jf! Naombeni mnipokee, naamini ntajifunza vingi. Mm ni msichana wadau niko below 20! Nawapenda saaaana asanteni!
ndo wapi huko
Tunakupenda pia, Under twenty wanahitajika sana.
VP kuhusu 0713
VP kuhusu 0713
Mmhhhhh bellow 20 husomi!!!!??? Unafanya nini?
haya maana nmeshtuka nkajua tigo ya kimjini maana misamiati mingi siku hizi
unamuomba namba ya simu mwambie aku pm
asante sana
hiiiiii cna eti