Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Mango g are you serious we ni under 20?i have my doubts(my apologies for having doubts)
hahahahahah Blessed why una doubt jamani
kadada kako so open jamani
Last edited by a moderator:
Mango g are you serious we ni under 20?i have my doubts(my apologies for having doubts)
habari za jpili! wana jamvi asanteni sana kwa ushauri mlionipa jana niliomba ushauri kuhusu rafiki 2liepotezana baada ya kumtafuta akawa ka hanijui, ushauri wenu umenisaidia sana na nmejifunza vi2 vingi. kingine mm ni mgeni hapa jf! naombeni mnipokee, naamini ntajifunza vingi. mm ni msichana wadau niko below 20! nawapenda saaaana asanteni!
nimeona watu wanakuita mpenzi na mimi cjawahi sema hilo neno,ngoja ni test zali.
karibu sana mpenzi jisikie upo nyumbani dia.
nimependa jina lako la mango
hii below20 imegusa wengi hadi co vzuri yan! cjajua y au cstahili kua hapa?
eh nafurahi kuckia, na mm naomba niwe mkaguzi mwenza/ msaidizi. plzzz
Hapa tunachafuliana majina tu. Ebu ona tunavyoflow vizuri hapo juu...
mmh nshakua m mama! haya m mama mwenzangu