Asanteni kwa ushauri wenu, naomba pia mnipokee

Humu ndani vichwa vibovu ukihitaji kuwafamu lete mada zenye kuwachoma ..hawana ushaur bali matus kwa sana ,na ubish kama Kawaida yao. usisifie mvua kabla haijakunyea . .................

Humu ndan inahitaj uvumiliv kama sio hivyo bas tafufa mchumba.
 
habari za jpili! wana jamvi asanteni sana kwa ushauri mlionipa jana niliomba ushauri kuhusu rafiki 2liepotezana baada ya kumtafuta akawa ka hanijui, ushauri wenu umenisaidia sana na nmejifunza vi2 vingi. kingine mm ni mgeni hapa jf! naombeni mnipokee, naamini ntajifunza vingi. mm ni msichana wadau niko below 20! nawapenda saaaana asanteni!

Unamjua boss wako Humu ..... Ni mimi hapa Nipm unipe namba yako nikupe utaratibu wa humu....
 
Si unacheki na baaaaaadooooooo. Usihofu hata namba za gest zinapatikana humu....
.......
.Karibu sana hapa ndio JF
 
Humu ndani vichwa vibovu ukihitaji kuwafamu lete mada zenye kuwachoma ..hawana ushaur bali matus kwa sana ,na ubish kama Kawaida yao. usisifie mvua kabla haijakunyea . .................

Humu ndan inahitaj uvumiliv kama sio hivyo bas tafufa mchumba.

mmh! lol
 
habari za jpili! wana jamvi asanteni sana kwa ushauri mlionipa jana niliomba ushauri kuhusu rafiki 2liepotezana baada ya kumtafuta akawa ka hanijui, ushauri wenu umenisaidia sana na nmejifunza vi2 vingi. kingine mm ni mgeni hapa jf! naombeni mnipokee, naamini ntajifunza vingi. mm ni msichana wadau niko below 20! nawapenda saaaana asanteni!

Mh below 20! Please call any time when you feel bored!
 
Welcome sister.leeeeeete lete mada kuwakuna vichwaa siyo siiiiiifaaaaa hukku sifa utachokaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom