Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .

Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.

Maazimio yalikuwa.
-Vyama vyote vya siasa viruhusiwe kushiriki uchaguzi.

- Kiongozi wa upinzani aliye jera ,mashataka yafutwe na aachiliwe mara moja.

-Uchaguzi uwe transparent,free and fair.

Hatua ambazo marekani imelenga kuzichukua.

-Travel ban Kwa viongozi wa serikali (hii iliwapanikisha sana 😁, Hadi Samia akajisahau akasema anaombwa list ya passport za watu wake)
-marekani kusitisha Kila aina ya msaada, mfano mafunzo ya kijeshi, Scholarship,Chanjo,dawa, na misaada mwingine.

-Kupiga marufuku airlines kutoka Tanzania kutua kwenye viwanja vya America (ATCL walikuwa kwenye negotiations)

-Viongozi waandamizi wa serikali kunyimwa visa, ya kuingia marekani ata kwenye vikao muhimu kama UN.

-Kuzui wamarekani kuingia Tanzania kama watalii maana Kuna kutekwa,watu kufirwa,rekodiwa video za uchi, na kubakwa.

Reaction ya serikali ya Tanzania.

- Kuomba mazungumzo na marekani ( refers kauli ya Msigwa)

-Kupiga U-turn kuwa Chadema bado Wana nafasi ya kushiriki uchaguzi.(Refer kauli ya mwanzo ya Kailima wa NEC

-kuhaidi kumwachia Lissu.

-Kufanya minimum reforms kabla ya uchaguzi.(Refer bunge kuhairishwa)

Sitazungumza mengi ila maazimio ya Marekani ilikuwa ni kilio na kusaga meno kwa CCM.

Kuanzia July mtajionea wenyewe changes za serikali kuhusu political space.

N.B mie si mwandishi mzuri.

Moto wa Mbu,
Illinois -USA
Kahaba anatuchafuria nchi
 
Hilo la kusema wanadaiwa passport za kusafili ni kweli nilimsikia mama analiongelea kwenye mkutano wa azala Simiyu ila sikuwa nimeelewa mantiki,kwa bandiko lako hili naanza kupata mwanga aiseee
Muulize Msigwa wanajadiliana Nini na Marekani?
 
Hata Rwanda Kagame ameufyata. Amekubali kusaini mkataba wa kusitisha mapigano na DRC
Marekani jau tu mimi namkubali mchina yeye marekani juzi watu wameaandmana kaitisha jeshi liwadhibit
 
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .

Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.

Maazimio yalikuwa.
-Vyama vyote vya siasa viruhusiwe kushiriki uchaguzi.

- Kiongozi wa upinzani aliye jera ,mashataka yafutwe na aachiliwe mara moja.

-Uchaguzi uwe transparent,free and fair.

Hatua ambazo marekani imelenga kuzichukua.

-Travel ban Kwa viongozi wa serikali (hii iliwapanikisha sana 😁, Hadi Samia akajisahau akasema anaombwa list ya passport za watu wake)
-marekani kusitisha Kila aina ya msaada, mfano mafunzo ya kijeshi, Scholarship,Chanjo,dawa, na misaada mwingine.

-Kupiga marufuku airlines kutoka Tanzania kutua kwenye viwanja vya America (ATCL walikuwa kwenye negotiations)

-Viongozi waandamizi wa serikali kunyimwa visa, ya kuingia marekani ata kwenye vikao muhimu kama UN.

-Kuzui wamarekani kuingia Tanzania kama watalii maana Kuna kutekwa,watu kufirwa,rekodiwa video za uchi, na kubakwa.

Reaction ya serikali ya Tanzania.

- Kuomba mazungumzo na marekani ( refers kauli ya Msigwa)

-Kupiga U-turn kuwa Chadema bado Wana nafasi ya kushiriki uchaguzi.(Refer kauli ya mwanzo ya Kailima wa NEC

-kuhaidi kumwachia Lissu.

-Kufanya minimum reforms kabla ya uchaguzi.(Refer bunge kuhairishwa)

Sitazungumza mengi ila maazimio ya Marekani ilikuwa ni kilio na kusaga meno kwa CCM.

Kuanzia July mtajionea wenyewe changes za serikali kuhusu political space.

N.B mie si mwandishi mzuri.

Moto wa Mbu,
Illinois -USA
Mara JWTZ wamekamatia penyewe. Ghafla vuuu wanakuja watu wale watoa misaada yao aka kwa hisanj ya watu wa marekani. Sisi watanganyika tunaanza kububujikwa na machozi ya furaha
 
Marekani hawa uwezo wa kutupangia sisi mambo yetu.
ARV, net za mbu, malaria programs, condoms, chanjo za watoto everything is from them. Wakisitisha hivyo tu, watu waanza kufa mmoja mmoja hasa wenye HIV. Unajua tunao wangapi wanao kunywa dawa za kufubaza virus vya ukimwi? Open up your eyes nigger
 
Back
Top Bottom