Sanjiv Rai is a first-generation Indian innovator and serial entrepreneur. He is the founder, chairperson and chief solver of multiple startups under Billion Innovators and Chairperson at ARE Technologies and his venture initiatives AceWP Innovation Labs and Billion Innovators intend to promote innovation in India and abroad. As a serial entrepreneur or innovator he has worked on AI based convergence and design algorithms, on a variety of products and solutions such as network convergence enabling D5 chip, AceWP, PlasmaPHI, innovate2learn, agniie devices, ChazeMe, SmartSAPS (Smart Secured Automated Payment Solutions), coolATM and Rosenbridges Future Cities/Smart Buildings and CHANDRA project for NASA towards permanent human inhabitancy on outer planets.
Rais Donald Trump ametumia wiki za mwisho kabla ya uchaguzi wa katikati ya muhula kufanya mikutano ya kampeni kote nchini, na baadhi ya matukio yake ya kukumbukwa zaidi hayakuwa na uhusiano wowote na sera. Siku ya Jumapili, aliongeza tukio jingine.
Wakati akizungumza kwenye mkutano wa kampeni...
Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa.
Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
Donald Trump ametangaza kupiga marufuku CNN, MSNOW (zamani MSNBC), na Politico kutoka Ikulu ya White House, akinukuu "kuripoti kwao mara kwa mara HABARI FEKI." Aliishutumu Politico kwa ufisadi, akidai walipokea usajili wa "dola milioni 8" kutoka kwa utawala wa Biden ili kuwaweka "hai."
Trump...
Wanaukumbi.
JD Vance anawaita moja kwa moja wajumbe wa baraza la mawaziri la Israeli kwa mashambulizi yao binafsi dhidi ya Rais Trump
"Donald J. Trump ndiye mkuu PEKEE wa nchi katika DUNIA NZIMA anayeunga mkono taifa la Israeli kwa wakati huu, na yeye ndiye mkuu wa nchi yenye nguvu duniani...
Salaam
Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui.
Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika
Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani.
Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza.
Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
Wakati wa mahojiano, Rais wa Marekani Donald Trump alionekana kuidhinisha sharti la Iran katika kusitisha mapigano jana usiku linalowaruhusu kutoza ushuru kwa meli zinazopitia Mlango-Bahari wa Hormuz, akisema kwamba ada hizo zinaweza kutolewa kwa ubia kati ya Iran na Marekani:
"Tunafikiria...
Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya uhamiaji, aliwakemea wale ambao hawakusimama akisema, “Mnapaswa kuwa na aibu.”
Tukio hilo la mvutano...
Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja.
=============
President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House...
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
Wakati Donald Trump alipoiondoa Colombia kwenye orodha ya washirika wa Marekani katika ushirikiano wa kudhibiti biashara ya dawa za kulevya tarehe 15 Septemba 2025, ilidhihirika haraka kuwa hatua hiyo ilikuwa ikimlenga zaidi Rais wa Colombia, Gustavo Petro. Hatua hiyo ilitafsiriwa na wachambuzi...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amejiweka katikati ya mazungumzo kuhusu amani ya Gaza, akionyesha juhudi binafsi za kuhakikisha makubaliano yanafikiwa haraka. Tofauti kubwa katika mazungumzo haya ni jinsi Trump mwenyewe anavyoshiriki moja kwa moja, akiwashinikiza pande zote mbili – Israel na...
Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook, ameanzisha mvutano na Rais Donald Trump kwa kukataa kuondoka kwenye wadhifa wake baada ya rais huyo kutangaza kumfukuza kazi.
Mvutano huo umetokea baada ya jana Jumatatu Agosti 25, 2025 Rais Trump kutangaza amemfukuza kazi Cook kwa sababu maalumu...
Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.
Lakini hoja yangu ni hii :
Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani ...
Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla, kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.