Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .

Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.

Maazimio yalikuwa.
-Vyama vyote vya siasa viruhusiwe kushiriki uchaguzi.

- Kiongozi wa upinzani aliye jera ,mashataka yafutwe na aachiliwe mara moja.

-Uchaguzi uwe transparent,free and fair.

Hatua ambazo marekani imelenga kuzichukua.

-Travel ban Kwa viongozi wa serikali (hii iliwapanikisha sana 😁, Hadi Samia akajisahau akasema anaombwa list ya passport za watu wake)
-marekani kusitisha Kila aina ya msaada, mfano mafunzo ya kijeshi, Scholarship,Chanjo,dawa, na misaada mwingine.

-Kupiga marufuku airlines kutoka Tanzania kutua kwenye viwanja vya America (ATCL walikuwa kwenye negotiations)

-Viongozi waandamizi wa serikali kunyimwa visa, ya kuingia marekani ata kwenye vikao muhimu kama UN.

-Kuzui wamarekani kuingia Tanzania kama watalii maana Kuna kutekwa,watu kufirwa,rekodiwa video za uchi, na kubakwa.

Reaction ya serikali ya Tanzania.

- Kuomba mazungumzo na marekani ( refers kauli ya Msigwa)

-Kupiga U-turn kuwa Chadema bado Wana nafasi ya kushiriki uchaguzi.(Refer kauli ya mwanzo ya Kailima wa NEC

-kuhaidi kumwachia Lissu.

-Kufanya minimum reforms kabla ya uchaguzi.(Refer bunge kuhairishwa)

Sitazungumza mengi ila maazimio ya Marekani ilikuwa ni kilio na kusaga meno kwa CCM.

Kuanzia July mtajionea wenyewe changes za serikali kuhusu political space.

N.B mie si mwandishi mzuri.

Moto wa Mbu,
Illinois -USA
Kama kweli basi ni habari njema.
 
ARV, net za mbu, malaria programs, condoms, chanjo za watoto everything is from them. Wakisitisha hivyo tu, watu waanza kufa mmoja mmoja hasa wenye HIV. Unajua tunao wangapi wanao kunywa dawa za kufubaza virus vya ukimwi? Open up your eyes nigger
Kwa taarifa yako hawawezi kusitisha kwa sababu hata wao wana benefit kutokana na utengenezaji wa hayo makorokocho.
 
Kwanini wasiruhusiwe si wao ni watu wa haki na wanalinda katiba
Ng'ombe kilichotokea Los Angeles ni waandamanaji kuchoma Mali za watu,hapo Trump ndo aliingiza National Guard bila ombi la Governor wa California
 
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .

Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.

Maazimio yalikuwa.
-Vyama vyote vya siasa viruhusiwe kushiriki uchaguzi.

- Kiongozi wa upinzani aliye jera ,mashataka yafutwe na aachiliwe mara moja.

-Uchaguzi uwe transparent,free and fair.

Hatua ambazo marekani imelenga kuzichukua.

-Travel ban Kwa viongozi wa serikali (hii iliwapanikisha sana 😁, Hadi Samia akajisahau akasema anaombwa list ya passport za watu wake)
-marekani kusitisha Kila aina ya msaada, mfano mafunzo ya kijeshi, Scholarship,Chanjo,dawa, na misaada mwingine.

-Kupiga marufuku airlines kutoka Tanzania kutua kwenye viwanja vya America (ATCL walikuwa kwenye negotiations)

-Viongozi waandamizi wa serikali kunyimwa visa, ya kuingia marekani ata kwenye vikao muhimu kama UN.

-Kuzui wamarekani kuingia Tanzania kama watalii maana Kuna kutekwa,watu kufirwa,rekodiwa video za uchi, na kubakwa.

Reaction ya serikali ya Tanzania.

- Kuomba mazungumzo na marekani ( refers kauli ya Msigwa)

-Kupiga U-turn kuwa Chadema bado Wana nafasi ya kushiriki uchaguzi.(Refer kauli ya mwanzo ya Kailima wa NEC

-kuhaidi kumwachia Lissu.

-Kufanya minimum reforms kabla ya uchaguzi.(Refer bunge kuhairishwa)

Sitazungumza mengi ila maazimio ya Marekani ilikuwa ni kilio na kusaga meno kwa CCM.

Kuanzia July mtajionea wenyewe changes za serikali kuhusu political space.

N.B mie si mwandishi mzuri.

Moto wa Mbu,
Illinois -USA
Mimi nilipata Taarifa na nikaawaambia, Marekani na Ulaya hawatoutambua uchaguzi Mkuu 2025.

Siku chache mbele MTU wenu akaanza habari za ,Tunazidi Marekan Uchumi, mashariti yameongezeka na blaa blaa
 
Ila unatumia android, Master card,Iphone, Facebook, Instagram, Whatsapp, Boeing,ARV, Radar, Gmail, zao
Ni sawa huende kwa Mangi kununua Soda halafu Mangi akwambie mbona unakunywa soda za duka langu as if hakuna biashara kati yenu.
 
Hakuna chochote ambacho Marekani amewapangia waIran. By the way kwanini hamjiamini badala yake mnaona fahari kuwa second class human beings ?
Nyie mnajiamini nchi ina dajeti ya $22b what a shame
 
Back
Top Bottom