Arusha yawaka moto.

Arusha yawaka moto.

endeleeni kutupasha. Watu wapo viwanjani maana sasa ni saa 9
 
Ndugu wana jf niko katikati ya jiji la Arusha,hali ya hapa si shwari magari ya polisi yakiwa yamejaa FFU yakiwa na bendera nyekundu huku yakipiga ving'ora yakiwa sambamba na lile la kumwaga maji ya kuwasha yanazunguka kila kona ya mji wa Arusha.

Kwani kuna tatizo gani?
 
Polisi wa Tanzania hawana lolote. Wakitumwa kwa kazi ya kukabiliana na raia wapo watiifu na wakali sana lakini kukiwa na ujambazi mahali na wakiitwa hawaendi. Polisi hawa wa TZ ni walinzi wa raia au wa majambazi?
 
Arusha 'kosa' lao ni kumchagua mbunge mgombea wa CHADEMA na madiwani kibao!
Na kwa mwendo huu mwaka 2015 madiwani wote upinzani maana watu wana laani sani vitendo wanavyofanyiwa CHADEMA...image mkutano ulikuwa ufanyike saa 9 lakini watu wamekuja saa tatu na mpka sasa watu bado wako pembezoni wa uwanja wa NMC wakisubilia tamko la CDM....
 
heri sisi mara hatuogopi kwanza tuliwapasiku saba polisi sasa anawaonea wa arusha sasa kwani ukiwapa uhuru wa mkutano na wakamaliza kuna nini hawajui law or use and disuse
 
acha wakutane wakimaliza kesho hawana kipya cha kukutana hata akizuia ndo anazidi kuichafua serikali yao sisi tunaboarder two country tunaweza kuwa na duo citizenship kwanza njoo mara kama utaona bidhaa za tz tunatumia za uganda kenya na za ng'ambo kwani tz wameshindwa kabisha kushindana na hizi acha changamoto zije watu waonyeshe compitence yao hata ktk siasa hamsikii raila alivyo waambia pindi kaja mwanza kuzindua moja ya ndege zake
 
God knows how I like your patriotism!!!! May God bless you abundantly for that TUNALAZIMIKA....

inauma sana kuona rasimali zote alizotupa mungu zinawanufaisha watu wachache leaving 42m tzanians in very hardship_ni wao wanaomiliki rasilimal zote , lack of comitted leadership_mahakama na serikali vikawashindwa(dowans deal) watz tuwafungie kaz watu hawa
 
heri sisi mara hatuogopi kwanza tuliwapasiku saba polisi sasa anawaonea wa arusha sasa kwani ukiwapa uhuru wa mkutano na wakamaliza kuna nini hawajui law or use and disuse
Lakini ndugu kama unaijua arusha utakubalia na mimi kuwa ni hatua kubwa sana tuliyo piga kwanza watu wa Arusha hujifanya wako busy sana lakini leo hii lipokuja swala la chama cha upinzania hasa CHADEMA watu wako radhi waache shughuli zao kwenda kuwa sikiliza wana siasa mfano ni leo mkutano saa 9 watu wanaenda saa 3..hii inamaanisha nini, watu wamepigwa mabomu lakini wengine mpaka sasa wapo tu,kuna walio kamatwa lakini watu bado hawaogopi, tulikuwa tuna pewa amri tusambaee lakini watu bado wapo tu.. huu ni mwanzo mzuri kuikomboa nchi yetu nakumbuka mwaka 1998 Lyatonga Mrema aliitisha maandamano kuelekea kituo cha polisi tulipo fika mnara wa mwenge ilikuja gari ya polisi ikituamrisha tusambaee ndani ya takika tatu sikuona mtu lakini hii siyo hivyo tena habari imebadilika...
 
Tupo mkuu,mimi nashangaa sana mnavyotuponda wakati mnajua kabisa ya kuwa sisi tunatumwa na wakuu wetu,ambao pia hupokea amri ya wana siasa wa CCM.Jamani msituponde kiasi hicho na sisi shule tumekwanda kama nyinyi .kwa mfano mimi nina degree moja(LLB) kutoka Tumaini University,je mnanihesabu kama msomi au ?

Tutakuheshimu ukileta mabadiliko ndani ya jeshi letu la police na sio kwa digrii yako. Unaweza kuwa na digrii hata tatu lakini ukashindwa kumshauri vizuri kamanda wako ambaye elimu yake ni ndogo na amepitwa na wakati katika kufanya maamuzi. Kwa mfano Andengenye nasikia ana digrii lakini anayoyafanya hayaendani na elimu yake. Kwanza alipewa sana rushwa na majambazi pale morogoro, wakati ukifika tutamlipua ili ajue hii nchi sio ya ccm peke yake.
 
Ah si wameona chadema wanaleta uhai.sasa wanataka kudidimiza moto wao. Ila ule moto hauzimwi kwa mitutu, wao wajipange na sera za kueleweka. Siyo miguvu
 
tupo mkuu,mimi nashangaa sana mnavyotuponda wakati mnajua kabisa ya kuwa sisi tunatumwa na wakuu wetu,ambao pia hupokea amri ya wana siasa wa ccm.jamani msituponde kiasi hicho na sisi shule tumekwanda kama nyinyi .kwa mfano mimi nina degree moja(llb) kutoka tumaini university,je mnanihesabu kama msomi au ?

tukutuku umenifurahisha sana, wewe umesoma, ila ukweli ni kwamba polisi wengi ndivyo hivyo tena kielimu, wengi wenu mnatumwa bila kujua madhara yake, kwa kweli inabidi na nyinyi pia mbadilike kwani nyinyi ndiyo naongoza kwa masiha magumu, kwa sababu ya kuishabikia ccm na vibaraka wake, nyinyi na sisi wana nchi tukiungana lazima hawa nyan'gau ccm waondoke madarakani tuweze badilisha maisha ya watanzania wengi. Kiwango cha umasikini kinazidi kuongezeka, pengo kati ya masikini na tajiri ndiyo usiseme yote kwa sababu ya ccm. Umefika wakati wa mabadiliko na kuna haja ya kurudisha utawala wa majimbo ili kuleta maendeleo kwa jimbo husika bila hivyo hatufiki, lazima rasilimali za sehemu husika ziwanufaifishe wananchi wa sehemu hiyo. Na wala siyo kuachiwa mashimo....
 
Ogopa mtu aliyechoka kudhulumiwa., hata ulete mabomu "cluster bomb" hataziogopa.
 
Tutakuheshimu ukileta mabadiliko ndani ya jeshi letu la police na sio kwa digrii yako. Unaweza kuwa na digrii hata tatu lakini ukashindwa kumshauri vizuri kamanda wako ambaye elimu yake ni ndogo na amepitwa na wakati katika kufanya maamuzi. Kwa mfano Andengenye nasikia ana digrii lakini anayoyafanya hayaendani na elimu yake. Kwanza alipewa sana rushwa na majambazi pale morogoro, wakati ukifika tutamlipua ili ajue hii nchi sio ya ccm peke yake.

tukutuku umenifurahisha sana, wewe umesoma, ila ukweli ni kwamba polisi wengi ndivyo hivyo tena kielimu, wengi wenu mnatumwa bila kujua madhara yake, kwa kweli inabidi na nyinyi pia mbadilike kwani nyinyi ndiyo naongoza kwa masiha magumu, kwa sababu ya kuishabikia ccm na vibaraka wake, nyinyi na sisi wana nchi tukiungana lazima hawa nyan'gau ccm waondoke madarakani tuweze badilisha maisha ya watanzania wengi. Kiwango cha umasikini kinazidi kuongezeka, pengo kati ya masikini na tajiri ndiyo usiseme yote kwa sababu ya ccm. Umefika wakati wa mabadiliko na kuna haja ya kurudisha utawala wa majimbo ili kuleta maendeleo kwa jimbo husika bila hivyo hatufiki, lazima rasilimali za sehemu husika ziwanufaifishe wananchi wa sehemu hiyo. Na wala siyo kuachiwa mashimo....

wakuu hachana na habari za TUKUTUKU police walio wengi hawawezi kutumia hata keyboard

TUKUTUKU na kama WA 16(member wa JF aliyepotosha watu issue ya tunduma) Lengo ni kupotosha mada

Just ignore TUKUTUKU

taarifa rasmi ni kuwa CDM Wamekubali kuahirisha mkutano baada ya IGP,MSAJILI WA VYAMA NA PM YAANI PINDA kuzungumza na uongozi wa CDM Taifa na kuomba wapewe mpaka tarehe 4 january wawe wamemaliza mgogoro wa umeya . pili polisi wao ndio wanatangaza kuahirishwa kwa mkutano huo na wanatangaza tarehe ya mkutano ni 5 january. yapo pia makubaliano mengine ya kuangalia utendaji kazi wa polisi ARUSHA.Thats all i can share it for now.
 
Wito wangu kwa wanaCDM wa A Town, kila mtu anunue mafuta mazito ajipake mwili wote na pia awe na chupa kubwa ya maji angalau 1.5 Litres na kitambaa cha mkononi ikibidi na vile vitaulo vidogo. Bomu la machozi likipigwa tu jifunge kitambaa cha mkononi kuziba pua na mdomo na pia uoshe uso kwa macho. Halafu mjaribu kuangalia uelekeo wa upepo, fujo ikitokea msikae kule upepo unakoelekea, mjitahidi kuwachanganya Askari kwa kukimbilia the opposite way ili ninyi muwe kule upepo unakotoka na askari wawe kule upepo unakoelekea. Mkiweza hilo hao askari hawataweza kuwapiga kwa mabomu maana hata wao yatawazuru maana sio wote wenye hizo gas masks. Wakati mnapopambana na hao askari kila mtu awe na manati na muwe mnawalenga usoni wenyewe watakimbia. Mungu awe nanyi, NGUVU YA WANANCHI ITASHINDA DAIMA:redfaces::redfaces::redfaces:

Moderator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.

Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom