Arusha yawaka moto.

wako waandishi wa cnn waliokuwa wanatengeneza documentary huenda wakaripoti tukio hili kwani wapo maeneo wanasubiri kama afghanistan vile. ila mm nawaaminia aljazeera.
 
Polisi hawajui kazi yao
Polisi hawana elimu (zaidi ya ile form four failure)
Polisi wanapenda sifa za kijinga
Waliowatuma hawajui pia kazi yao na wapo kwa kulinda maslahi yao
Kweli tutategemea jema hapa?
Ya nini wazunguke na magari yao ya ajabuajabu, na mavazi ya kiroboti mitaani?
Ande ameletwa kufanya kazi maalum, na ndio hiyo anayo ifanya.

Hivi polisi wanaridhika na ufisadi unaofanywa na CCM, au vp maana nawaona saingine hata nauli hawana lakini wanatusumbua kwenye daladala halafu wanawapiga raia ambao wamechoshwa na ufisadi na manyanyaso ya siku zote.

Peoples power
 
Polisi hawajui kazi yao
Polisi hawana elimu (zaidi ya ile form four failure)
Polisi wanapenda sifa za kijinga
Waliowatuma hawajui pia kazi yao na wapo kwa kulinda maslahi yao
Kweli tutategemea jema hapa?
Ya nini wazunguke na magari yao ya ajabuajabu, na mavazi ya kiroboti mitaani?
Ande ameletwa kufanya kazi maalum, na ndio hiyo anayo ifanya.

hilo ndio tatizo kubwa, kuanzia wakubwa wao huko juu mpaka chini ni mbuzi tu....
 
Cha ajabu kuna gari zaidi ya 6 uwanjani na zingine huku karibu na soko kuu na zingine zikizunguka zunguka na polisi wetu sasa kama hawakuwa na polisi hawa wakutuzuia wametoka wapi.....

ndo nakaribia same_nipo kwenye basi, cdhan kama nitawah_guys keep us informed_mapinduz ndo kwanza yanaanza, tunahitaj mtu wa kutuunganisha tuingie barabarani_other mzee wa wikileaks hatutakuwa tumemtendea haki_familia za mafisad zikae sawa_haiwezekan tupandishiwe umeme na maji kwa ajili yao
 
Lawama hapa si kwa polisi, awe kasoma au la yeye anatekeleza amri ya mkuu wake ambaye ni RPC, cha kujiuliza huyu RPC ana nia njema kweli? Na kwa nini walimhamisha yule RPC wa awali bw Basilio?
 
Malaria sugu, Dar es salaam na Yaya

watatuambia kuwa vurugu za Arusha ni udini. Kamanda wa polisi wa mkoa ni Thobias Andengenye (mkristo) dhidi ya Dr Slaaa (mkristo) na chama chake lakini kumbe kwa upande wa jeshi la polisi ni suala la kutuliza ghasia tu. Kumbuka Mkuu wa jeshi la Polisi ni mwislamu.

Watasema kwa nini vurugu hizo hazikufanyika enzi za Mkapa wakati ukweli zilifanyika na kutulizwa ili tu kuumba maneno ya kutugawa watanzania kwa makundi ya kidini.

Kila jamba wanalitazama kwa malengo ya kidini sio taifa
 
Huyo RPC anautaka uIGP apewe but wisho wa siku itafahamika tu Watanzania wengi sasa wameanza kujua upi mchele yapi mapumba
 
Wito wangu kwa wanaCDM wa A Town, kila mtu anunue mafuta mazito ajipake mwili wote na pia awe na chupa kubwa ya maji angalau 1.5 Litres na kitambaa cha mkononi ikibidi na vile vitaulo vidogo. Bomu la machozi likipigwa tu jifunge kitambaa cha mkononi kuziba pua na mdomo na pia uoshe uso kwa macho. Halafu mjaribu kuangalia uelekeo wa upepo, fujo ikitokea msikae kule upepo unakoelekea, mjitahidi kuwachanganya Askari kwa kukimbilia the opposite way ili ninyi muwe kule upepo unakotoka na askari wawe kule upepo unakoelekea. Mkiweza hilo hao askari hawataweza kuwapiga kwa mabomu maana hata wao yatawazuru maana sio wote wenye hizo gas masks. Wakati mnapopambana na hao askari kila mtu awe na manati na muwe mnawalenga usoni wenyewe watakimbia. Mungu awe nanyi, NGUVU YA WANANCHI ITASHINDA DAIMA:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Hivi polisi wanakuwemo humu jamvini?
Tupo mkuu,mimi nashangaa sana mnavyotuponda wakati mnajua kabisa ya kuwa sisi tunatumwa na wakuu wetu,ambao pia hupokea amri ya wana siasa wa CCM.Jamani msituponde kiasi hicho na sisi shule tumekwanda kama nyinyi .kwa mfano mimi nina degree moja(LLB) kutoka Tumaini University,je mnanihesabu kama msomi au ?
 
ndo nakaribia same_nipo kwenye basi, cdhan kama nitawah_guys keep us informed_mapinduz ndo kwanza yanaanza, tunahitaj mtu wa kutuunganisha tuingie barabarani_other mzee wa wikileaks hatutakuwa tumemtendea haki_familia za mafisad zikae sawa_haiwezekan tupandishiwe umeme na maji kwa ajili yao

God knows how I like your patriotism!!!! May God bless you abundantly for that TUNALAZIMIKA....
 
Sauti ya Wengi ni sauti ya Mungu, Wao wan apesa sisi tuna Mungu. Mungu ibariki Arusha, Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CHADEMA,Mungu mbariki Godbless Lema. PEOPLES' POWER!!!!
 
Niko maeneo ya tukio kuna watu wamezunguka maeneo ya karibu na uwanja na ni kama hawaogopi tena polisi na barabara ya kwenda unga ltd. Friends coner imefungwa mpaka sasa
 
Tupo mkuu,mimi nashangaa sana mnavyotuponda wakati mnajua kabisa ya kuwa sisi tunatumwa na wakuu wetu,ambao pia hupokea amri ya wana siasa wa CCM.Jamani msituponde kiasi hicho na sisi shule tumekwanda kama nyinyi .kwa mfano mimi nina degree moja(LLB) kutoka Tumaini University,je mnanihesabu kama msomi au ?
mimi nakuhesabu kama msomi lakini MSOMI MTUMWA
 
Sasa wanaharibu, hii ni season ya utalii, wageni wengi wamekuja kutalii, haya makampuni ya utalii arusha yasipokuwa na ushirikiano na kupinga huu ubabe wa polisi wataingia 2011 wakiwa hoi, maana wageni watahairisha safari kwa kuogopa usalama wao, au wamesahau arusha ndio kitovu cha utalii . Ingoje bbc na cnn itangaze ndio utaona watalii wakavyo cancel booking zao.

Soo bad kuwa na viongozi wasiofikiri kwa upana. Wao ni kuangalia matumbo yao tu.

thnx 4 critical thinking! Waache mabwege hao_unadhan wanaumizwa na uchumi na maisha duni ya watanzania? Wanafikiria namna ya kudumu madarakan wasiwajibishwe kwa yale waliyotufanyia sambamba na kuendelea kujineemesha kwa kutuongea kodi za maji, umeme
 
Back
Top Bottom