Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
taarifa rasmi ni kuwa CDM Wamekubali kuahirisha mkutano baada ya IGP,MSAJILI WA VYAMA NA PM YAANI PINDA kuzungumza na uongozi wa CDM Taifa na kuomba wapewe mpaka tarehe 4 january wawe wamemaliza mgogoro wa umeya . pili polisi wao ndio wanatangaza kuahirishwa kwa mkutano huo na wanatangaza tarehe ya mkutano ni 5 january. yapo pia makubaliano mengine ya kuangalia utendaji kazi wa polisi ARUSHA.Thats all i can share it for now.
Source??