Arusha yawaka moto.

Arusha yawaka moto.

hii vita sasa[QUOTE=babayah67;1400869]Wito wangu kwa wanaCDM wa A Town, kila mtu anunue mafuta mazito ajipake mwili wote na pia awe na chupa kubwa ya maji angalau 1.5 Litres na kitambaa cha mkononi ikibidi na vile vitaulo vidogo. Bomu la machozi likipigwa tu jifunge kitambaa cha mkononi kuziba pua na mdomo na pia uoshe uso kwa macho. Halafu mjaribu kuangalia uelekeo wa upepo, fujo ikitokea msikae kule upepo unakoelekea, mjitahidi kuwachanganya Askari kwa kukimbilia the opposite way ili ninyi muwe kule upepo unakotoka na askari wawe kule upepo unakoelekea. Mkiweza hilo hao askari hawataweza kuwapiga kwa mabomu maana hata wao yatawazuru maana sio wote wenye hizo gas masks. Wakati mnapopambana na hao askari kila mtu awe na manati na muwe mnawalenga usoni wenyewe watakimbia. Mungu awe nanyi, NGUVU YA WANANCHI ITASHINDA DAIMA:redfaces::redfaces::redfaces:[/QUOTE]
 
yaelekea chaguzi ya Umeya imthibitiwa na vitimbi vya kulinda maovu ndani ya manispaa hii...kwa nini CCM wanaing'ang'ania hivyo?
 
Jeshi letu la polisi limejaa form four za kuchakachua. Wengi wao walifeli ndiyo wakafoji na kukimbilia unjagu. Hao ni mabichwa ngumu. Hawaangalii mantiki wanapotenda kazi. Jambo la msingi kwa viongozi wa cdm ni kuwasihi wanachama, mashabiki na wanachi kwa ujumla kutulia. Wasifanye fujo yoyote ili tuone hivyo virungu na maji yao vitatumika wapi.
 
Andengenye anacheza na jukwaa ka Kova. Bahati mbaya wapinzani wake ni wajanja na uwanja ni una makorongo na madimbwi,kiasi kwamba anashindwa kuwavutia watazamaji.
 
Kwani huu uongozi wa kutafuta kwa marungu na bunduki,mara maji ya kuwasha ni kwaajili ya kuongoza nyati ama watu hao hao ambayo wa akili zao za kupiga kura?KWANINI hamtaki kuachia wananchi wajiamulie viongozi wanowataka wao?jamani watu wamechoka eti?mbona mwanao akikukana kuwa ww si mzazi wangu humng'ang'anizi kinyume chake utamuacha aje kujua mwenyewe.jamani achieni wananchi wajichagulie viongozi wanowataka wenyewe kwa manufaa ya maendeleo ya nchi yao.
 
Amani unayo wewe na mafisadi lakini walala hoi na wananchi wa kawaida hatuna amani.....amani inatunzwa na wananchi wenyewe nyang'au wewe

True to your name CW...Thank you!
 
Huo ni wasiwasi tu dhidi ya pipooooooz...... Yote yana mwisho na mwishe wake ni mbaya. Tusubiri 2015 ambapo hata uchakachuaji utakaposhindwa kufua dafu mbele ya 'nguvu ya umma'.
 
Nyie mlio Ar, mkutano umefanyikaa? Cc huku tanesco kama kawa!
 
Beleave you me Basilio Matei was a real professional. This guy calling himself Tobias Andengenye sijua hata kama anajua kazi zake vizuri au ni maelekezo ya aliyemteu kuwa anaweza ku-behave anyhow. Mimi namfahamu toka akiwa Morogoro kuwa ni mtu wa kupigana na wake zake kila kukicha, nahofia hiyo altitude yake ya ugomvi (confrontation) will never work for him in Arusha.

Nasema Basilio was professional kwa sababu alikuwa anatumia resources alizopewa vizuri kwa maana ya kulinda usalama/utulivu na sio kuvuruga usalama/utulivu. Imagine RPC Tobias kama ndio angekuwa anasimamia mkoa wa Arusha wakati wa uchanguzi mkuu. Sidhani kama uchaguzi ungefanyika kwa utulivu/amani. Mtu anashindwa kusimamia uchaguzi wa umeya tu!!.

Leo kulikuwa kufanyike mkutano wa CDM maeneo ya uwanja wa NMC, badala ya RPC kutimia resources alizonazo kulinda mkutano ufanyike kwa amani yeye anaupiga marufuku nakutoka sababu kibao ambao actually zinamfanya yeye kuoneka si professional au hata kuwa hajua kazi yake vizuri, unless ametumwa na viongozi wake.

Katika kauli ya RPC (Triple A radio) ya kufuta mkutano huo pamoja na aliyosema ni kuwa maombi ya Kibali yalikuwa yametolewa siku 29 kabla ya mkutano badala ya siku 48, pili sababu za mkutano huo hazikutolewa!! sababu nyingine ni taarifa za ki-intelligence kuna vijana watafanya fujo kwa kubomoa maduka na kuwa wenye maduka hawatakubali nao itabidi wajitetee na hivo kuvuruga amani. Kutokana na sababu hizo anafuta mkutano.

Great thinkers hivi huyu Tobia Andengenye anataka kutuambia kuwa aliyapokea maombi ya CDM au aliyakataa in the first place? Je wakati CDM wanafanya matangazo ya huo mkutano walikuwa na kibali cha polisi au la. Je hayo mapungufu aliyosema alishauriana na CDM? au aliona kuwa ni sababu nzuri kwake za kusitisha mkutano siku ya mkutano? Najiuliza maswali mengi lakini nachoona ni unafiki mkubwa tu ambao RPC anajaribu kuuonyesha kwa kudhania kuwa huenda anawaimpress wakuu wake. Kwa maelezo yake mwenyewe kwa vyombo vya habari ni wazi kuwa hakuwashauri CDM kuwa maombi yao yana mapungufu bali alitoa kibali na baadae kukipinga!!

Nionavyo mimi kwanza behavior ya RPC Tobias inaharibu utulivu wa mji wa Arusha pia sina hakika sana kama RPC Tobias anaelewa implications ya shughuli zake. Pili Arusha si kama Morogoro au Pwani hulka na tabia za watu wa mkoa huu ni tofauti sana na mikoa mingine. Kwa tabia ya RPC huyu ni wazi kuwa kikazi hatadumu mkoa wa Arusha na ambao anadhani kuwa anawafurahisha watakuwa wa kwanza kumtimua mkoani Arusha. Kwa ushauri ni kwamba Arusha haitawaliwi kwa nguvu bali ni kwa hekima zaidi kama anataka kujifunza awaulize ma-RPC waliomtangulia!
 
huyu rpc kwa kweli kazi imemshinda.
 
Unajua hii TZ ni ya ajabu sana. Mji wa Arusha ni TOURIST town, sasa hizi tishia tishia za polisi hawaoni kuwa kuna impact kubwa kwenye sector ya utalii. Hamna njia nyingine mbadala ya kuhakikisha usalama pasipo hii aina ya vitisho?? Huu ni upuuzi afu eti tunasema tuna taka vutia watalii kwa namna hii jamani??

Hwana akili hio mkuu wao vichwa maji.
 
Mie nafikiri majeshi yetu ,yana upungufu ktk mafundisho yao. huko sijui wananyweshwa BANGE wakidhani watakuwa wakakamavu ama vipi? maana hawa jamaa hata watoto wa chekechea wakigoma watawapa kichapo watoto hao kipigo cha mbwa mwizi.

Kifupi kuna tatizo kubwa sana ktk systems zetu zote za elimu na mafunzo.

you are a good thinker!! The problem ni mfumo wa elimu.
 
polisi kwanza sijui kama wanasoma alama za nyakati
pili sijui kama wanaitaji pilisi jamiitena
sijui kama wanajua wanachunguria kaburi baada ya wananchi kuchoka na siasa za majitaka yao na ssm
 
Back
Top Bottom