Arusha vs dar es salaam

Arusha vs dar es salaam

images

Mie ni huyo wa Kati Kati, mwenye nguo Nyeusi nyeusi, Nakufaa?
Naitwa Madame B.
Nina Shemeji zangu watano.......... watu8, Nicas Mtei, Judgement, Mungi na Filipo.
Somo wangu ni gfsonwin, Kungwi wangu ni snowhite na Nyakanga wangu ni Lisa.
Nina Shosti zangu wa Ukwenhe....hatuogopi Mvua wala jua.......Popote tunalianzisha.. Paloma, Raiza, mwaJ, Mamndenyi, Evelyn Salt, dadawhite.
Nina wa Kunyumba wangu......... TA moja hiyo, stendi ya kwanza Korogwe Hoteli... King'asti.
Nina kaka zangu humu........ Mtambuzi, Mjeda, Erickb52, Mwanyasi, MziziMkavu, Mshuza2 na Tuko.
Nina Mjukuu mwenzangu mtukutu kama mimi....... Kongosho, Tuko na Babu yetu Dark City.
Nina wapenzi wangu humu... Chimbuvu, Chilli, tedo, Ben Saanane.......bila kuwasahau waliopita wakiongozwa na wa sasa Arushaone.
Nina wifi zangu humu....... charminglady, marejesho, Lily Flower na measkron.........japo mdogo wangu beibe nasty Judgement amembania.
Nina wanywaji wenzangu humu..... tukiongozwa na Asprin,... Bujibuji,... manoah,... Kipaji Halisi,... KakaKiiza,... cacico,... Paloma,... Mtambuzi, figganigga,..
Nina Kundi langu la MKODOBWE INC.COM....
Na vile vile tuna Pub yetu Maarufu ya kukutana iitwayo LEO TUPO HAPA PUB pale Mny'amala A au BRAJEC pale Survey.

Baada ya kusema yote hayo.............. Je, Utapenda kuwa na Mimi?
Tuma maombi yako hapa.

CC: asakuta same, Shark na bacha, Baba V na Nitonye

Ha ha ha ha....Dah bonge ya Intro...
 
Kama kudrive itakupa shida ita teks fasta uje nikukamue... Maana kulala umevimbiaa mijuice itakuwa ngum

kuna mtu yeye ndiye huita teks na huja kwangu fasta kunikamua!!! niko mwepesiiiiiiii!!!
cc darling sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Dogo angalia utabemendwa..... Sio badae uanze kulalamika oooh sasa naomba ushauri
 
Kabla sijakupigia debe hebu niondoe kwenye hili kundi la kaka zako. Kwa sasa niweke hapo kwa akina Asprin wakati nikifanya mchakato wa kupanda hapo walipo kina Chimbuvu

Na wewe unataka kufunga tela!? kweli u bushoke kipaji, unataka uwe mume wa kumi na tatu na nusu!??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Baba V naona kama unaniota kwenye ndoto zako wakati umelala na mkeo Mama v

Au ulikuwa unanitumia PM ukiwa umelewa..!?? wewe si ndo ulisema unahitaji kuonana na mimi this week end eti kisa Mr Rocky tangu alivyoondoka ijumaa kuu hujamuona..!!? na kuwa aliondoka na hela zako za upatu...!?? namuona hapa chini anachungulia, ngoja ajibu
 
Last edited by a moderator:
Baba V siamini kama unao ujanja wa kunipa pesa
hela ya Mr Rocky inanitosha tu jamani.

Au ulikuwa unanitumia PM ukiwa umelewa..!?? wewe si ndo ulisema unahitaji kuonana na mimi this week end eti kisa Mr Rocky tangu alivyoondoka ijumaa kuu hujamuona..!!? na kuwa aliondoka na hela zako za upatu...!?? namuona hapa chini anachungulia, ngoja ajibu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha
haaaa
si umesema hawara hawaachani?

Ndio mahawara hawaachani..... na ninajua kuwa hajaniacha wala nini.
ni majukumu tu ya kujenga nchi ndio yamembana.
Lakini mie na yeye ni mpaka Kifo.
Arushaone ndo jana kaniomba msamaha eti turudiana.............khaaaaaa!!!!!!!
Kumbe bado ananipenda.
 
Last edited by a moderator:
Madame B
weka ile pm ya Arushaone hapa tumsute mwana kusutwa huyu.

Ndio mahawara hawaachani..... na ninajua kuwa hajaniacha wala nini.
ni majukumu tu ya kujenga nchi ndio yamembana.
Lakini mie na yeye ni mpaka Kifo.
Arushaone ndo jana kaniomba msamaha eti turudiana.............khaaaaaa!!!!!!!
Kumbe bado ananipenda.
 
Last edited by a moderator:
Madame B
weka ile pm ya Arushaone hapa tumsute mwana kusutwa huyu.

" Dear zilipendwa wangu Madame B, nadhani kiafya ni mzima, hata nami sijambo.
Dhumuni la waraka huu ni kukuomba mimi na wewe turudiane kwa maana uliyokuwa unanifanyia ni mazito.........
Naamini sitapata mwanamke mwingine kama wewe,
Natumaini Ombi langu litakubaliwa...........nimekuzoea Baby wwangu, nakufa taratibu mwenzio"
Ni mimi niliyewahi kuwa mumeo Arushaone.


2Q==


..... Mamndenyi, hiyo ndio Message aliyonitumia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom