Arusha vs dar es salaam

Arusha vs dar es salaam

Madame B ntakusutaaa na unafanyaje kimyakimya? Haki ya mama ngoja nkutaftie jisongi la kukusasambulie wewe!
CC yako nimeipata na imetue mezani kwangu.
Msinione kimya jamani...........napanga mipango ya Ndoa yangu.
 
Last edited by a moderator:
Madame B ntakusutaaa na unafanyaje kimyakimya? Haki ya mama ngoja nkutaftie jisongi la kukusasambulie wewe!

......He!!!!!! Shost, ina maana Raiza hajakupa taarifa?
Naolewa mwezi huu........... msimamizi wangu ni Evelyn Salt na King'asti.

Hapa tunachukua zoezi lakutoa aibu kwanza huku tukiwa ndani ya mashela ili tusiaibike siku hiyo.
images
 
Last edited by a moderator:
Bora kunywa maji! Juice nitamwachia mtoto walah! Arushaone hamna kitu naweza kuingiza kwa tumbo!

Unatia huruma ila sina cha kukusaidia tofauti ya kukuambia kesho yaja, utakuwa fresh best.
 
Last edited by a moderator:
........... Yaani nataka ajue kabisa kuwa akinioa mimi, basi ameuoa na huo ukoo mzima.
Shemeji hebu fanya ukalale! Ulizokwishabugia huoni zinavyokutesa? Afu bado mwenzio hom anasubiri finyango!
Chezeiya leta tutigite weyee!
 
images

Mie ni huyo wa Kati Kati, mwenye nguo Nyeusi nyeusi, Nakufaa?
Naitwa Madame B.
Nina Shemeji zangu watano.......... watu8, Nicas Mtei, Judgement, Mungi na Filipo.
Somo wangu ni gfsonwin, Kungwi wangu ni snowhite na Nyakanga wangu ni Lisa.
Nina Shosti zangu wa Ukwenhe....hatuogopi Mvua wala jua.......Popote tunalianzisha.. Paloma, Raiza, mwaJ, Mamndenyi, Evelyn Salt, dadawhite.
Nina wa Kunyumba wangu......... TA moja hiyo, stendi ya kwanza Korogwe Hoteli... King'asti.
Nina kaka zangu humu........ Mtambuzi, Mjeda, Erickb52, Mwanyasi, MziziMkavu, Mshuza2 na Tuko.
Nina Mjukuu mwenzangu mtukutu kama mimi....... Kongosho, Tuko na Babu yetu Dark City.
Nina wapenzi wangu humu... Chimbuvu, Chilli, tedo, Ben Saanane.......bila kuwasahau waliopita wakiongozwa na wa sasa Arushaone.
Nina wifi zangu humu....... charminglady, marejesho, Lily Flower na measkron.........japo mdogo wangu beibe nasty Judgement amembania.
Nina wanywaji wenzangu humu..... tukiongozwa na Asprin,... Bujibuji,... manoah,... Kipaji Halisi,... KakaKiiza,... cacico,... Paloma,... Mtambuzi, figganigga,..
Nina Kundi langu la MKODOBWE INC.COM....
Na vile vile tuna Pub yetu Maarufu ya kukutana iitwayo LEO TUPO HAPA PUB pale Mny'amala A au BRAJEC pale Survey.

Baada ya kusema yote hayo.............. Je, Utapenda kuwa na Mimi?
Tuma maombi yako hapa.

CC: asakuta same, Shark na bacha, Baba V na Nitonye
Kabla sijakupigia debe hebu niondoe kwenye hili kundi la kaka zako. Kwa sasa niweke hapo kwa akina Asprin wakati nikifanya mchakato wa kupanda hapo walipo kina Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Bora kunywa maji! Juice nitamwachia mtoto walah! Arushaone hamna kitu naweza kuingiza kwa tumbo!
Kama kudrive itakupa shida ita teks fasta uje nikukamue... Maana kulala umevimbiaa mijuice itakuwa ngum
 
Shemeji hebu fanya ukalale! Ulizokwishabugia huoni zinavyokutesa? Afu bado mwenzio hom anasubiri finyango!
Chezeiya leta tutigite weyee!

brother1.gif


Am missing UUUUUUUUUUUUUU..............!!!!!!!!!!!!!
brotherinlaw4.gif
 
Najuuuta kuja huku lol!
Ngoja nikachungulie kwenye siasa kuna jipya gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom