denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,140
- 3,630
Kweli nilikuwa sijachangia bado, unless ungetoa hiyo statistic ya NBS ambayo iko nusu then useme hii mada ni mawazo yako binafsi, hapo ndio ningechangia.Dan! 😀 yani mpaka sasa hujachangia kwakuwa uzi kwakuwa habari iko nusu.. Seriously hii kali sana😀
Naomba nikushauri kitu denoo G ili kuepusha haya malumbano yote hii mada ipuuzie tuu
Hii itatusaidia sote kutopotezeana muda