Mimi najiuliza baad ya miaka 10 nchi yetu itakuwaje...
Watu ni kama wanaacha njia sahihi wameamua kujiamulia mambo..hakuna wa kuonya tena taifa...
Kule juu hakuna command ya makatazo ya ukali..yanaytoka makatazo kilaini laini sana..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.