Arusha na Moshi kuna shida gani hasa kiroho?

Arusha na Moshi kuna shida gani hasa kiroho?

Daah umenikumbusha aisee kipindi nasoma Arusha kuna story nilizisikia za wazungu kuuwawa na raia kikatili maeneo ya Tengeru(sadec)sababu ikiwa raia wanataka kurudisha maeneo hali hiyo ilipelekea mpaka muwekezaji kukimbia kuna baadhi ya wazungu nasikia hadi uume walinyofolewa serikali nasikia iliingilia kati kupitia tukio hilo wanasemaga kuna laana na mikosi inawakutaga sana.nafikiri kuna baadhi ya member humu wanaweza kuuleza story hii vzr
 
Hii ripoti nayo haijielezi vizuri, mkoa wa Arusha uliongoza ukifuatiwa na mkoa upi wenye matukio mangapi?

Hiyo jumla waliyoiweka hapo bado haitoi majibu ya uhakika ili tuthibitishe hii hoja.
Ukitaka ithibati zaidi ni rahisi sana unaingia NBS.. Nadhani tujifunze kuepuka kulishwa kutafuniwa kisha kimezeshwa.. Kujisomea kunakupa maarifa ya ziada
Ukiona hujaridhika ni kilichoandikwa popote unatafuta taarifa zaidi kwenye vyanzo tajwa na vingine
 
Daah umenikumbusha aisee kipindi nasoma Arusha kuna story nilizisikia za wazungu kuuwawa na raia kikatili maeneo ya Tengeru(sadec)sababu ikiwa raia wanataka kurudisha maeneo hali hiyo ilipelekea mpaka muwekezaji kukimbia kuna baadhi ya wazungu nasikia hadi uume walinyofolewa serikali nasikia iliingilia kati kupitia tukio hilo wanasemaga kuna laana na mikosi inawakutaga sana.nafikiri kuna baadhi ya member humu wanaweza kuuleza story hii vzr
Hizo hasira zilichanganyikana na vingi vya kitambo
 
Matukio yanayotokea Arusha yanatokea nchi nzima na duniani kote, viwango tu ndio vinatofautiana, Fuatilia Mexico, Haiti, South Africa.

Hakuna mambo ya kiroho wala nini, tatizo ni utawala tu, uchumi na mambo mengine yanaweza kuthibitishwa na criminology.
Wabongo wanapenda kuhusisha kila kitu na imani zao za kiroho.

Huu ujinga sijui utaisha lini.
 
Ukitaka ithibati zaidi ni rahisi sana unaingia NBS.. Nadhani tujifunze kuepuka kulishwa kutafuniwa kisha kimezeshwa.. Kujisomea kunakupa maarifa ya ziada
Ukiona hujaridhika ni kilichoandikwa popote unatafuta taarifa zaidi kwenye vyanzo tajwa na vingine
Ukija na uzi uwe umejitosheleza, tafuta taarifa kwenye vyanzo vilivyokamilika usimpe kazi msomaji akatafute, vitatafutwa vingapi humu ndani.. kama ikiwa hivyo hii JF itageuka homework.

Acha "dhana" njoo na facts.
 
Nadhani nimeandika kwa muktadha wangu na sikupangiwa dodoso namna ya kuandika.. Kwahiyo silazimiki kufuata matakwa ya mtu ambaye hajaridhishwa na kile nilichoandika
 
Wabongo wanapenda kuhusisha kila kitu na imani zao za kiroho.

Huu ujinga sijui utaisha lini.
Binadamu anayekuzwa kwenye dini/ superstitions ni vigumu sana kumtenga na mambo hayo, ila sasa hivi engalical christians ndio wamezama kabisa katika superstitions kwa kila jambo.
 
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti

imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia.

Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia, ikiwemo mauaji ya kutumia silaha kali kama visu, visasi vya kinyama, na ukatili wa kijinsia.
Ripoti za hivi karibuni za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) hata zinautaja mkoa huo kuongoza kwa matukio ya ukatili kwa watu wazima.

Ninini kinachoendelea nyuma ya matukio haya?

Ukigawanywa katika mitazamo ya kiroho na uhalisia wa kijamii Utagundua yafuatayo..

1. Mtazamo wa Kiroho na Imani za Giza
Katika fikra za wenyeji na watu wengi wa kiroho, mfululizo wa matukio ya kinyama Arusha unahusishwa na mambo yafuatayo:
"Roho ya Umwagaji Damu" (Laana ya Ardhi)
Kuna imani kwamba baadhi ya maeneo yana vizuizi au "madhabahu za giza" zilizojengwa kutokana na historia ya visasi au umwagaji damu wa tangu zamani.

Damu inayomwagika inatajwa "kuisumbua ardhi" na kuvuta roho za hasira na ukatili.
Ushirikina na Kupatwa na Pepo
Baadhi ya mauaji ya ajabu (kama ya ndugu wa karibu au watu kukatwa viungo) mara nyingi huhusishwa na imani za kishirikina za kusaka utajiri wa haraka au nguvu za giza.

Mmomonyoko wa Hofu ya Mungu
Viongozi wa dini mkoani humo wanasisitiza kuwa jamii imegeuka nyuma na kuacha misingi ya kiroho, jambo linalofungua milango kwa nguvu za uovu kutawala akili za vijana.
Wanasema palipo na uovu mwingi kuna Neema pia.
 
Nadhani nimeandika kwa muktadha wangu na sikupangiwa dodoso namna ya kuandika.. Kwahiyo silazimiki kufuata matakwa ya mtu ambaye hajaridhishwa na kile nilichoandika
Muktadha ukidhi vigezo kumpa mchangiaji uhuru wa kutoa maoni yake, sio muktadha wa kumuachia mchangiaji homework.

Mpaka sasa bado sijachangia uzi coz umeqndika habari nusu, next time uje na taarifa kamili, uipime ikikidhi vigezo ndio ipandishwe hapa, sio kuipandisha kisha mchangiaji akatafute added informotion!.
 
Dan! 😀 yani mpaka sasa hujachangia kwakuwa uzi kwakuwa habari iko nusu.. Seriously hii kali sana😀
Naomba nikushauri kitu denoo G ili kuepusha haya malumbano yote hii mada ipuuzie tuu
Hii itatusaidia sote kutopotezeana muda
 
Back
Top Bottom