Kabla IMF na world bank hazijaweka vikwazo vyao, vilivyopelekea thamani ya bidhaa za kilimo kushuka sana Tanzania, hawa jamaa walikuwa bado malofa tu, tena nasikia walikuwa wanafanyaga kazi tu kwenye wizara ya kilimo. During that time pato linalotokana na kilimo likuwa kubwa sana, inawezekana hata pato litokanalo na madini hivi sasa halijaweza kulifikia. Ukipata kazi wizara ya kilimo ilikuwa kama umeajiriwa BOT au TRA hivi sasa.
Mohamed enterprise na kina Bakresa, hawa na wenzao, wameachiwa mali zote za wizara ya kilimo ya kipindi kile.