Kwani kwa shilling ni uongo..?Pamoja na kwamba akina Bakhresa wamefaidi sana kuwapa tende nyie, mamnji nanai hajui dili zake na CCM?Masiafa yake kuwa tangu babu yake ,km vile babu yake naye hakuwapa tende.
Kina Mohamed Enterprise na Bakhresa walitajirikia mali za saeriakli, wameachiwa mashamba na magodown yote yaliyojengwa enzi za "kilimo ni uti wa mgongo".