Nini inaniuma? Kusema kwamba reckless and divisive talk is ignorant ndiyo kuonyesha kuumwa? It takes some intelligence for something to be a justifiable thorn, idiocracy has never made me lose sleep, I just expose it, rightly so.
ila wenzio dar wenyewe wanawacheka wa mkoni kwa kuwaita majina yote wapendwayo km waruga ruga, wa mkoa, mangi..sijui nini na nini.
I am the quitessential Tanzanian, with roots all over Tanzania.Huko kaskazini tumeoa, dada zetu wameolewa, huku Dar nyumbani sio kwa kuja, bali kabla Wanyamwezi hawajajua kuchoma viazi vya kinyasini na wapagazi wa Mjerumani hawajatangaziwa baragumu la kwenda kunya, kabla Azania Front haijajengwa familia zilikuwepo Dar.
Na huko bara nyumbani pia, kabla Stanley hajafika kwa Kabaka!
Sasa apart from utani wa Wabara na wa Pwani ambao some of these eighties babies may not be familiar with, kwa watu ambao hawana tatizo la "inbreeding" ambalo linaweza kusababisha nerotic conditions, nani atamcheka nani? Wakati hao wa Pwani wamechanganyika na Wanyamwezi. Karume Mnyasa.Mapuri Mnyamwezi. Kuna familia gani ya Pwani ambayo inaweza kusema haina ties na bara Tanzania? Labda uniambie wa uraia wa kujiandikisha.
.huku wkaijisifia kuwa watoto wa mjini ..wana mzizima...
Hakuna mtoto wa Mzizima kuliko mimi, mtoto wa Pazi.Kamuulize Mwinyi Chamgui Kiranga wa Mkuranga nani.
Lakini hata mie Mzizima kwetu, nitakwambia ukisema Dar mji kwa standards za bongo labda, kimataifa unacheza.Kwa hiyo badala ya kuangalia Dar na Arusha angalieni majiji makubwa labda.
Hiyo hijataka ona...halfu hata nikisearch jina yako na maneno machache naweza kdaka na wewe ukiwadharau wa mkoa, ambao si muda wanashika space Dar...
Ligi ya wabara na wamkoa iko mpaka kwenye utani wa makabila, ambao wewe usiyeuelewa utaweza kuona "nawadharau".
Umeona hapo tu? Hujaona thread nilizotema Kisukuma mpaka watoto wakashindwa kuelewa hapa?
Wasukuma watu wa pwani? Hapo napo nilipokuwa nakitukuza kisukuma nilikuwa nawadharau wa bara?
Nitawadharau vipi watu wa bara wakati mimi najihesabu Mtanzania mbaye nipo kote?
UKiwauliza wenyewe wanakubalia hat indirectly kuwa Kuna kadha hawatai ziona Dar kwa wingi kwani zitawabana....na ndio maana hata wewe , unajibaraguza kuwa sijui "kuna habari CDM....hakina mvuto..na kushinikizwa na agenda ya watu wa kaskazini.." zinaonyeha jinsi ulivyo na akili ndogo.Unaweza fuata vitu usivyo vijua ukawa na wewe mhubiri km akina Ponda wanavyoharibu nchi wakijidai kuwa dini yao ni ya kweli na hakuna nyingine n amafundisho yao ndio sahihi..wakati maandishi anayoyasema yanamkana.
Kati yangu ninayetetea umoja wa kitaifa na wewe unayeleta mgawanyiko usio na kichwa wala mguu kwa watu wa nchi moja, waliochanganyika, nani ana akili ndogo?
Wewe unataka CHADEMA kiwe chama cha kitaifa, kishike hatamu nchi nzima, halafu unaanza habari za ubaguzi dhidi ya watu wa Dar? Una akili kweli wewe?
Wewe Ksakazini unaijua....unjua makabia ya Kaskazini na choices zao au unaharisha tuu..kwa kuswing ktk ustaarabu na ushenzi ........Kaskazini kuna makabila Mengi mengine ndio hayo yanayo mdefine Lowasa, Mengine yaliyomto ambatia, mrema, na Shayo, chami, Mbowe, na yule kichaa wa CCM wa Tamisemi ambaye ndio jembe lenu...so what?Kwanini uwaone CDM ndio wa Kaskazini tuu? Kwani nani anaweza shika madaraka bila yataka...?Kwani JK au Zitto, LIpumba au Maalimu,LOwasa au Membe, wao hawataki?Kwanii unadhania waka skazini hawatakiwi taka utawala?NAni anastahili?Whaat if Wanataka sasa iwe zamu yao?
Nimeongelea CHADEMA kwa sababu ni chama chako, ni chama chenye a minimally realistic chance. Ningeongea TADEA ningekuwa naongea nadharia zaidi.
Au CHADEMA si chama chako?
Au CHADEMA hakina chance?
Ahsante, wengine wehu sifa kwetu.If you are not living on the edge, you are taking too much space.And if you are, simpletons are bound to call you "mwehu".
hujaona thread imeandikwaje?Ni kuwaita mabillionea wa Arusha Majambazi, as if wajinga wa Dara hawajui watu wa Arusha km sehemu nyingine duniani wana watu wana ofight na kuingiza hela ambayo kwa wengi wa dar hata matajiri ni ndoto..
Chickenheads are always challenged when it comes to forward vision.Why, they are one track minded by virtue of the direction of their eyes.
Mimi nimekemea the useless dichotomy ya "Dar vs Arusha", nika cite mfano wa "Benghazi vs. Tripoli" jinsi nchi inavyoweza kumomonyoka kwenye civil war kirahisi hivihivi. If you don't have the vision to appreciate that, you just can't.
But don't exalt your idiocratic notions za watu wa Dar na wa Arusha wakati watu ni wa nchi moja.
kwao kuiba ndio solution.Michango ya watu ni evelution ya michango..sasa wewe umerukia tuu pale unapopenda sikia km wenzio magamba, ambao walishajiaminisha kuwa arusha hakuna wasomi,ila wanasahau kuwa Ar.ina Universities nyingi tuu......pengine ndio ya pili nchini.Ndio ujinga wa watuwa Dar..ni wepesi kudhani kaskazini ni ya wachaga, wansahau hata usambara sehemu nyingi ni kaskazini....wengine wakisikia Arusha wanafikiria kutosoma, madini, ujambazi etc..sasa msomi wa nchi hii hujui mambo kiasi hicho hadi uaminishwe na Nape ambaye Arusha haijui zaidi ya kupelekwa na chama nakuishia ona ona mambo tuu kw amacho ya dar....na power ya CCM iliyomfikisha hapo.
Sumu ya ubaguzi itakumaliza, acha kuropoka, unashindwa hata kujieleza.
Who benefit?Bado wanaofaidi ni wale mnaowapiga vita kila siku, na wengine walioweza kuwa aggressive na realistic enoough...wengine
Hata baada ya twisheni hujaelewa somo.
subirini Network za ikulu
Sihitaji kusubiri network za Ikulu, nimetembea corridors of power Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu.Na sasa hata kwa nje sitaki kuiona. Unaniambia nisubiri network za Ikulu leo?
li mvune msichopanda...ni zamu yenu kula na si KUzalisha ...huo ujinga mwingi kawape Lumumba.
"Mvune" kina nani? Unaniweka kundini na nani mie?
Jifunze kuandika kwanza.Dara ndiyo kitu gani?
hamna kitu in terms of watu
The most populous town in Tanzania unasema hamna kitu in terms of watu? Are you serious?
...na mengine utajisemea sana il aykipimwa kwa vigezo vyake utajikuta nayo unapewa shule...
Mpaka sasa ushajionesha wewe ndiye unahitaji shule, ya chekechea, kujifunza kuandika upya.Halafu unataka kujadili some lofty economic subjects?
hayo mengine ya Bab kubwa kawape lumumba....Mtafanya san mamabo ya kichinga..driving force ya dara itatoka nje ya dara always....
Kwa nini wa nje waone umuhimu wa kuleta driving force yao sasa? You are shooting yourself in the foot.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
sijui hata kama unajua unaongea nini hapa..Lumumba ndio shida yenu..
Chickenheads mara zote lazima waone kila kitu ni CCM vs CHADEMA tu.
Mie line ya Mwinyi Pazi, kabla Stanley hajafika Matadi, Lumumba chamtoto.
huwa mafanya vitu vigumu, na illogical kwanza ndipo mjaribu vitafuti amajibu....
Kitu illogical ni kutaka watu wawapigie kura halafu hapohapo mnawabagua. Hivi wewe CHADEMA unataka kura za Dar, sehemu yenye watu wengi kuliko zote Tanzania, halafu hapo hapo unawatukana kama si lolote. Wakikunyima kura 2015 utawalaumu kwamba hawakukupigia kura wakati hata kuwatongoza tu kabla ya uchaguzi kwa boilerplates za "umoja wa kitaifa" unashindwa?
Nikusaidie Tuu wewe garasha....SOKONI HUWA HAKUNA VITU ILA NDIPO VITU HUFANYIWA BIASHARA...
Mpaka hapo ushajichanganya in a logical contradiction. Kama hakuna vitu vinavyofanyiwa biashara ni nini?
Na kwa nini soko liwe hapo?
Dara ni soko kubwa kwa macho ya Wakaskazini...dar ni soko kubwa sana.Na porini kondeni..si sahihi kwao kuzikwa,, si sahihi kwao kufanya yaliyo asili.....kwao nisoko, la pombe, huduma, bishara, soko la elimu, soko la free labour na sehemu ya kukuta wajinga wakigawa vitu kw abei ya chee ili uwasaidie kuuza na kuwapa hela yeoyote au ukitaka uwape tende, uji, gahawa na sifa.......
Ukishakuwa na haja ya kwenda sehemu tu, huwezi kusema "hakuna kitu" hapo.Umefuata nini sasa?
Ile magnetism tu ya kuvuta watu ni kitu tayari, whatever the reason.
Watu wanakwenda mikoani ..kwa vile una akii mgando ndio maana unaona watu dar..mikoani wanarudi wengi tuu wengine wamekufa,
Hata wewe umekufa kiakili, ndo maana unaongelea wafu katika hesabu za uchumi endelevu.
Na wewe umefilisika kiakili, ndo maana unataka kuleta maneno ya kugawanya watu kwa kanda bila msingi wakati nchi moja.
wengine wanahamisha fweza...
Wewe ni mbaya kuliko anayehamisha fedha, unataka kugawanya ndugu wagombane, unaweza hata kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa upuuzi wako.
wengine wanakwenda hadi nchi jirani kutafuta utajiri na kuja utuliza Dar km kituo cha bishara
Hueleweki, mara Dar hakuna kitu, mara Dar kituo cha biashara, which is which now?
...kwa taarifa yako Dar ni soko kubwa..kuazia la wmajinga, malaya, pombe, ujinga wenyewe una soko dar, ni mahali unaweza tawala nchi kwa kuamua staili yoyote, kuamua tawala kwa kujifanya mnyonge wakubwa wajilipue wenyewe, au kutawala nchi kwa kuwaonyesha ukubwa wako ...
You don't say? How banal could you get? Is this the best you can do?
Mengi anakwenda Low wakati anatawala Dar na nchi...he is as powerful as president himself at minimum....anaweza kemea mafisadi papa, wauza unga, na wengine kuliko rais, ana hela halali kuliko rais, ana akili kuliko rais wako, serikali za nje zinamtambua km huyo raisi wako...mabalaozi na wageni wengine huripoti ikulu tuu..il kwa Mengi huripoti ktk kila ofice yake ...., Shirima wa Precision Air ameanza tawala anga kutokea arusha....sasa kahamia rasmi na kuwiata KQ ili wajinga wa Dar wasiopenda wazawa wa Kaskazini wadhani wanatawaliwa na wageni km kawaida yao....Magamba wamelia sana ,kukubali kuwa sasa km ATC ndio ndio imekufa kwa Ngoma na wana wake na wajukuu wake wote wana ngoma,kwanini wasiwape precisionair Approval kuwa National Carrier..kwa vile wanona kuna mkaskazini watu wenye Akili za kuchagua mtumwa wa pwani wakanuna..ila Bkhresa akiingia atapewa hiyo.Ndio maana anaweza tengeneza mabehewa na treni ili atumie halafu serikali bado ikaita ni Reli ya taifa.
Hata kama yote haya yangekuwa kweli - kitu ambacho si kweli- bado ungekuwa -------- kusema hivi.
Kwa sababu ungekuwa unazidi kudhihirisha kwamba "watu wa kaskazini wanataka kututawala". Na ku unermine the whole effort.
Loose lips sinks ships.Wewe huna hata intelligence ya kufikiri mbele ya pua yako.Baki na fantasies zako.
You are doomed to be ruled
You don't know me boy, much less my destiny. Grab a book learn to spell or something. See a psychiatrist, it seems you have some mental condition.
...na CDM haiwezi kuwa sehemu ya nyie kuwa doomed..ni ujinga wenu tuu..wapi hakuna mchaga.
Wachaga shemeji zangu, nawaheshimu wananiheshimu. Acha kuwaharibia jina kwa upumbavu wako.
Mosha mlipiga ktk hizo timu zenu za kijinga, mengi mkamkimbiza kwa kushirikiana na wahindi na waarabu ili asilete ustaarabu mnaougopa ktk timu za wachezaji wenye viburi vya kijinga km madume ya nyani ..sijui chuji, sijui boban..kazi kutembelea majin ya watu....
Freaking all over the map with your neurotic jibbyjabba.the word focus does not mean anything to you.
Dhambi ya ubaguzi haitaisha kwa kubagua wa DAR TU.
Ukishaanza kubagua wa Dar na kumaliza utaanza kubagua mpaka koo na familia huko kwenu.
Kama Somalia.
Nyerere warned us.