Arusha na mabilionea majambazi

Arusha na mabilionea majambazi

Kwa mtaji huu ndio maana majority of of Tanzanians are tired of CCM, but at the same time are very cautious and skeptical when it comes to embrace CHADEMA because of this stupid "Kaskazini" ego.
It makes CCM becomes the lesser of two devils!

Huu ndio ukweli ila ni ngumu kumesa.
 
Nini inaniuma? Kusema kwamba reckless and divisive talk is ignorant ndiyo kuonyesha kuumwa? It takes some intelligence for something to be a justifiable thorn, idiocracy has never made me lose sleep, I just expose it, rightly so.

I am the quitessential Tanzanian, with roots all over Tanzania.Huko kaskazini tumeoa, dada zetu wameolewa, huku Dar nyumbani sio kwa kuja, bali kabla Wanyamwezi hawajajua kuchoma viazi vya kinyasini na wapagazi wa Mjerumani hawajatangaziwa baragumu la kwenda kunya, kabla Azania Front haijajengwa familia zilikuwepo Dar.

Na huko bara nyumbani pia, kabla Stanley hajafika kwa Kabaka!

Sasa apart from utani wa Wabara na wa Pwani ambao some of these eighties babies may not be familiar with, kwa watu ambao hawana tatizo la "inbreeding" ambalo linaweza kusababisha nerotic conditions, nani atamcheka nani? Wakati hao wa Pwani wamechanganyika na Wanyamwezi. Karume Mnyasa.Mapuri Mnyamwezi. Kuna familia gani ya Pwani ambayo inaweza kusema haina ties na bara Tanzania? Labda uniambie wa uraia wa kujiandikisha.

Hakuna mtoto wa Mzizima kuliko mimi, mtoto wa Pazi.Kamuulize Mwinyi Chamgui Kiranga wa Mkuranga nani.

Lakini hata mie Mzizima kwetu, nitakwambia ukisema Dar mji kwa standards za bongo labda, kimataifa unacheza.Kwa hiyo badala ya kuangalia Dar na Arusha angalieni majiji makubwa labda.

Ligi ya wabara na wamkoa iko mpaka kwenye utani wa makabila, ambao wewe usiyeuelewa utaweza kuona "nawadharau".

Umeona hapo tu? Hujaona thread nilizotema Kisukuma mpaka watoto wakashindwa kuelewa hapa?

Wasukuma watu wa pwani? Hapo napo nilipokuwa nakitukuza kisukuma nilikuwa nawadharau wa bara?

Nitawadharau vipi watu wa bara wakati mimi najihesabu Mtanzania mbaye nipo kote?

Kati yangu ninayetetea umoja wa kitaifa na wewe unayeleta mgawanyiko usio na kichwa wala mguu kwa watu wa nchi moja, waliochanganyika, nani ana akili ndogo?

Wewe unataka CHADEMA kiwe chama cha kitaifa, kishike hatamu nchi nzima, halafu unaanza habari za ubaguzi dhidi ya watu wa Dar? Una akili kweli wewe?

Nimeongelea CHADEMA kwa sababu ni chama chako, ni chama chenye a minimally realistic chance. Ningeongea TADEA ningekuwa naongea nadharia zaidi.

Au CHADEMA si chama chako?

Au CHADEMA hakina chance?

Ahsante, wengine wehu sifa kwetu.If you are not living on the edge, you are taking too much space.And if you are, simpletons are bound to call you "mwehu".

Chickenheads are always challenged when it comes to forward vision.Why, they are one track minded by virtue of the direction of their eyes.

Mimi nimekemea the useless dichotomy ya "Dar vs Arusha", nika cite mfano wa "Benghazi vs. Tripoli" jinsi nchi inavyoweza kumomonyoka kwenye civil war kirahisi hivihivi. If you don't have the vision to appreciate that, you just can't.

But don't exalt your idiocratic notions za watu wa Dar na wa Arusha wakati watu ni wa nchi moja.

Sumu ya ubaguzi itakumaliza, acha kuropoka, unashindwa hata kujieleza.

Hata baada ya twisheni hujaelewa somo.

Sihitaji kusubiri network za Ikulu, nimetembea corridors of power Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu.Na sasa hata kwa nje sitaki kuiona. Unaniambia nisubiri network za Ikulu leo?

"Mvune" kina nani? Unaniweka kundini na nani mie?

Jifunze kuandika kwanza.Dara ndiyo kitu gani?

The most populous town in Tanzania unasema hamna kitu in terms of watu? Are you serious?

Mpaka sasa ushajionesha wewe ndiye unahitaji shule, ya chekechea, kujifunza kuandika upya.Halafu unataka kujadili some lofty economic subjects?

Kwa nini wa nje waone umuhimu wa kuleta driving force yao sasa? You are shooting yourself in the foot.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Chickenheads mara zote lazima waone kila kitu ni CCM vs CHADEMA tu.

Mie line ya Mwinyi Pazi, kabla Stanley hajafika Matadi, Lumumba chamtoto.

Kitu illogical ni kutaka watu wawapigie kura halafu hapohapo mnawabagua. Hivi wewe CHADEMA unataka kura za Dar, sehemu yenye watu wengi kuliko zote Tanzania, halafu hapo hapo unawatukana kama si lolote. Wakikunyima kura 2015 utawalaumu kwamba hawakukupigia kura wakati hata kuwatongoza tu kabla ya uchaguzi kwa boilerplates za "umoja wa kitaifa" unashindwa?

Mpaka hapo ushajichanganya in a logical contradiction. Kama hakuna vitu vinavyofanyiwa biashara ni nini?

Na kwa nini soko liwe hapo?

Ukishakuwa na haja ya kwenda sehemu tu, huwezi kusema "hakuna kitu" hapo.Umefuata nini sasa?

Ile magnetism tu ya kuvuta watu ni kitu tayari, whatever the reason.

Hata wewe umekufa kiakili, ndo maana unaongelea wafu katika hesabu za uchumi endelevu.

Na wewe umefilisika kiakili, ndo maana unataka kuleta maneno ya kugawanya watu kwa kanda bila msingi wakati nchi moja.

Wewe ni mbaya kuliko anayehamisha fedha, unataka kugawanya ndugu wagombane, unaweza hata kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa upuuzi wako.

Hueleweki, mara Dar hakuna kitu, mara Dar kituo cha biashara, which is which now?

You don't say? How banal could you get? Is this the best you can do?

Hata kama yote haya yangekuwa kweli - kitu ambacho si kweli- bado ungekuwa -------- kusema hivi.

Kwa sababu ungekuwa unazidi kudhihirisha kwamba "watu wa kaskazini wanataka kututawala". Na ku unermine the whole effort.

Loose lips sinks ships.Wewe huna hata intelligence ya kufikiri mbele ya pua yako.Baki na fantasies zako.

You don't know me boy, much less my destiny. Grab a book learn to spell or something. See a psychiatrist, it seems you have some mental condition.

Wachaga shemeji zangu, nawaheshimu wananiheshimu. Acha kuwaharibia jina kwa upumbavu wako.

Freaking all over the map with your neurotic jibbyjabba.the word focus does not mean anything to you.

Dhambi ya ubaguzi haitaisha kwa kubagua wa DAR TU.

Ukishaanza kubagua wa Dar na kumaliza utaanza kubagua mpaka koo na familia huko kwenu.

Kama Somalia.

Nyerere warned us.
Naona umejielezea sana..uchafu wote huu naweza reduce into hapa:
-Unadhani mimi nawakilisha CDM na unalazimisha hilo hilo kuhalalisha upuuzi wako.
-Hizo corridor za ikulu unazojifagilia ni wazi kuwa wewe bado ni gamba, kwani ungeanzia huko kuwaambia na is pumba hapa JF.

-Tone yako kwa CDM ni wazi unaongea kwa fikra za CCM.

-HIyo mifano yako yote ni m y akusikia kwa wengine imehama hama sana bila patterns za kueleweka kwa kiasi cha kufanya iwe mifano ya mwomba chai au favour too,ila ikifika zamu yake ya kutoa haki basi ubaguzi unakuwepo.Sijui "Utani" hiyo ni gear aya mswahili kujiingiza kwa wengine anapotaka kitu....ila the reverse is not that true.Ndio maana wajanja huwahonga tuu wether nyie mnataka au mwingine anataka kitu......ili pasiwe na kudaiana.Hadi Leo mna mdai Nyerere Matunda ya uhuru wakati mmeshayala sana.Ni kwa vile Nyerere aliwachukulia kuwa partners wakati mna slave mentality.

KWA JINSI UNALZIMISHA KUMUONA KILA MTU AMBAYE ANASUPPORT CDM KWA JICHO LA UKASKAZINI, KWA JICHO LA KUWA NI MWAKILISHI WA CDM NI USHUHUDA HALISI WA UBAGUZI NA UMBEA WA CCM.UMEKUWA MWEPESI SANA KUKIMBILIA HIYO MITAZAMO YA CCM NA MAJUNGU YAKE.

Hizi ndizo fikra za kibaguzi za watu weusi wanaodhani kuwa ubaguzi wa rangi umeumbwa km silaha yao kujilinda na kudeka,silaha ya kuficha udhaifu na uvivu wao kwa kiasi cha kufanya kilekile wanachomsutumu nacho mwingine.Ndio maana wameishia kuwabagua wanaowaita wabaguzi.Ndicho mnachofanya mnaojiita wana mzizima, chenu ni chenu, na cha mwingine ni chenu....pelekeni ujing wenu huko.huwezi kuwa makabila yote nchini halafu bado ukabaki wa kisarawe na Dar.
 
Kwa mtaji huu ndio maana majority of of Tanzanians are tired of CCM, but at the same time are very cautious and skeptical when it comes to embrace CHADEMA because of this stupid "Kaskazini" ego.
It makes CCM becomes the lesser of two devils!

Oh yeah.....kwa vile hata wewe ndivyo ulivyo, kaa mkao wa kusubiri wengine waitoe CCM ndio muingie,for the time being endeleeni kujiweka mguu mmoja ndani mkidhnia mtakula na kufaidi.

Acheni wehu nyie vilaza, mimi ni mkaskazini km mimi na nina hizo haki....wala simumunyi maneneo, na na suppot CDM ktk common universal values....ila mimi si msemaji wa cdm wala mwanachama wa cdm.Its very unlucky kwa CCM kwani wao ndio wamefikisha hali ilipo watu wasiotaka CCM wana vingi vya kupenda ktk CDM.

Wepesi wenu wa kukimbilia excuse za kijinga ni kwa vile bado hamjapa gia halisi ya ku kumbatia CCM bila aibu.

MIMI NI MKASKAZINI TENA VERY SERIOUS KWA KIASI AMBACHO HATA CDM WANAWEZA WASINIPE KADI BUT IN THIS SURVIVAL KIT ,TUTAPEANA MAJUKUMU TUU YA KUIONDOA CCM BILA KUWA SAWA.NI WEWE NA WENZIO KUONYESHA JINSI MLIVYO VILAZA VYA KUTAKA NIONA MIMI BADALA YA CDM, HII NI ISHARA KUWA KUNA HIYO SENSE KTK MINDSETS ZENU MUDA WOTE....NDIO MAANA SIWEZI BADILI MITAZAMOA YANGU.NAJUA MNAWACHUKIA SANA WA KASKAZINI NDIO MAANA KILA MAHALI MNAWAHESABU KM VILE MNATAKA KWENDA KUTAMBIKA,SISI HUWA TUNATAMBIKA BILA KUHESABU WENGINE.UNAOGOPA CDM KUWA NA MAFANIKIO HUKU IKIWA NA WA KASKAZINI,KWANIA CHAMA GANI HAWAPO?AU KWA AVILE HAO WENGINE MMEBANA VYAMA VYAO.
 
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.
Dar na mabilionea wa unga, orodha ni ndefu inawaogopesha mpaka wanene huko juu.
 
Yani now days ukishakuwa bilionea tu na haijalishi umeupataje huo ubilionea wako unakuwa Mungu na watu wanakutukuza vibaya sana. Sasa kama huyu bilionea wetu (sasa marehemu) kama sio wenyewe kwa wenyewe, kwenye shughuli zao za kijambazi mwisho wa siku wakamuua. Pia inasemekanas jamaa alikuwa anakula wake za watu vibaya mno (pia ni chanzo cha kifo chake) hasa wadada wa wa Mabenki, mfano mzuri kuna dada mmoja Manager wa Benki ya Stanbic apa Arusha na alijiona ni mke wa marehemu bilionea jambazi, na mwingine benki ya Exim kwa kweli wako wengi tu aliowapitia. Hayo ndio mambo ya mabilionea majambazi wetu wa Arusha.
 
Acheni kutetea aibu! Wengi wa hao mamilionea wa Arusha kweli ni majambazi. Lakini kama ilivyo kwa wachawi, mwenye nazo hawi jambazi ama mchawi!
 
Oh yeah.....kwa vile hata wewe ndivyo ulivyo, kaa mkao wa kusubiri wengine waitoe CCM ndio muingie,for the time being endeleeni kujiweka mguu mmoja ndani mkidhnia mtakula na kufaidi.

Acheni wehu nyie vilaza, mimi ni mkaskazini km mimi na nina hizo haki....wala simumunyi maneneo, na na suppot CDM ktk common universal values....ila mimi si msemaji wa cdm wala mwanachama wa cdm.Its very unlucky kwa CCM kwani wao ndio wamefikisha hali ilipo watu wasiotaka CCM wana vingi vya kupenda ktk CDM.

Wepesi wenu wa kukimbilia excuse za kijinga ni kwa vile bado hamjapa gia halisi ya ku kumbatia CCM bila aibu.

MIMI NI MKASKAZINI TENA VERY SERIOUS KWA KIASI AMBACHO HATA CDM WANAWEZA WASINIPE KADI BUT IN THIS SURVIVAL KIT ,TUTAPEANA MAJUKUMU TUU YA KUIONDOA CCM BILA KUWA SAWA.NI WEWE NA WENZIO KUONYESHA JINSI MLIVYO VILAZA VYA KUTAKA NIONA MIMI BADALA YA CDM, HII NI ISHARA KUWA KUNA HIYO SENSE KTK MINDSETS ZENU MUDA WOTE....NDIO MAANA SIWEZI BADILI MITAZAMOA YANGU.NAJUA MNAWACHUKIA SANA WA KASKAZINI NDIO MAANA KILA MAHALI MNAWAHESABU KM VILE MNATAKA KWENDA KUTAMBIKA,SISI HUWA TUNATAMBIKA BILA KUHESABU WENGINE.UNAOGOPA CDM KUWA NA MAFANIKIO HUKU IKIWA NA WA KASKAZINI,KWANIA CHAMA GANI HAWAPO?AU KWA AVILE HAO WENGINE MMEBANA VYAMA VYAO.

Naona umekula ban.

Cooler heads prevail.

Need I say more?
 
Mkuu nimekusikia. I'm non patisan and an independent swing voter.
 
hivi mtu mpaka uitwe bilionea unatakiwa uwe na shilingi ngapi? pesa taslimu za kwako au za mkopo?
 
Nishawahi kuuliza hapa ni mabilionea wa shilingi za Tanzania, Weimar Republic Marks au dola za Zimbabwe? Matajiri wa Tanzania wanaojulikana, wanacheza na a couple of hundred million USD. Hakuna rekodi za bilionea wa kitanzania in USD.

Maana kuna watu wanaweza kupiga mahesabu full portfolio iliyo Tanzania na kujiita mabilionea (in TZS terms), wakati for all intents and purposes wanasaga lami tu.

Kuna muhindi,Mukesh Ambani, trillionea huko, in Indian Reals.

Anaweza kuwatambia kina Bill Gates na Warren Buffet kwamba wao ni Billionaires na yeye ni Trillionaire.

usiende mbali sana ndugu, only 800,000 USD tayari ni billion in tshs, na mtu kumiliki mgodi wa tanzanite yupo na uwezekano wa kuwa bilionea in tshs...kwani mapato ya kila mwaka kwa mgodi unaozalisha vizuri ni zaidi ya 800,000 USD, hivyo ni sahihi kuwaita mabilionea...tatizo liko wapi ndugu zetu..
 
Tatizo "mabilionea" ina maana nyingi kama haijawa qualified, kwa sababu kama hivyo mtu anaweza kujiita bilionea wa senti.Ukiwa na shilingi milioni kumi tu ni bilionea wa senti.

Neno "billionaire" inabidi lifafanuliwe.Kwa sababu hawa mabilionea wenye USD 800,000 (ambayo ni hela ya kununua nyumba ya kawaida tu in a decent world class metropolis) huwezi kuwaweka kundi moja na "bilionea" wa kweli Aliko Dangote mwenye USD 20,000,000,000.
 
Hao mabilionea ni mabilionea uchwara tu! Mnataka titles ambazo hamqualify wala hamziwezi. Meaning hamna wealth ya kufikia about a Billion $$$$$$ au the equivalent in TZS Madafu.
Bilionea anaenda porini sijui mbugani kupiga deal na furushi la minoti.
Bilionea hana hata chauffeurs wa kumpeleka anaenda mwenyewe.
Bilionea hana hata bodyguards mbuzi.
 
alokwambia Chusa nae n bilionea nan? mbona mnawapamba watu ivo jamani,,,, chusa tunamfaham! hana lolote ni murere wa atar! bora ata mareemu....
 
Hao mabilionea ni mabilionea uchwara tu! Mnataka titles ambazo hamqualify wala hamziwezi. Meaning hamna wealth ya kufikia about a Billion $$$$$$ au the equivalent in TZS Madafu.
Bilionea anaenda porini sijui mbugani kupiga deal na furushi la minoti.
Bilionea hana hata chauffeurs wa kumpeleka anaenda mwenyewe.
Bilionea hana hata bodyguards mbuzi.

huwafahamu ndiyo maana unalopoka lakini serikali yako inawatambua pesa waliyonayo mpaka huko uswiss..ujue jamaa wanajua kuweka pesa banki lakini kuna benki hawahawahi kutoa na kila baada ya siku mbili wanapeleka mafulushi ya pesa achana na biashara ya magimashi..
 
Wewe ni -------- na huna huna unachokijua. Umenunuliwa kuchafua watu majina. Ooo majambazi, ooo wanawala wake za watu na kuwapiga pc uliwashika mguu wakitombana? Ulishawahi kuona picha akiwa anamtomba mama ako? Tuwekee ushahidi wa hayo unayo sema. Wanadam ni wanyama mnasengenya hadi Marehem atawajibu? Mbona akiwa hai hamkuandika? Na hawa majambazi mnatusaidiaje? Katoeni basi ushahidi mahakamani
 
Back
Top Bottom