mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
- Thread starter
- #61
mbona billionere wa mega hujamtaja?
mega complex ni Salim ally yeye aliwekwa ndani kwa tuhuma za biashara ya kuuza watu kama zamani za utumwa
mbona billionere wa mega hujamtaja?
we mpingauonevu ni ---- sana, kwani udogo wa Arusha na sifa za Arusha zinahusianaje? I think your stupidity is beyond repair, chuki zimekujaa. Arusha was a top town toka tunapata uhuru, the town is not only lucky!!!!? but it is blessed tooo. we don't want it biiiig, we want it small and beautiful as it is.
Kwa sababu magoroya ya Arusha yanahesabika tuanze kutaja moja baada ya jingine na mmiliki wake tutajikuta tunazungukia hapo hapo.Nadhani umeichukulia Arusha kama nchi, hao wote uliowataja ni kwa upeo wako mdogo wewe kijana mchumia jf kwa post karibu Arusha.
Unapokuja na haya maneno ninashindwa kuamini kama hawa uliowataja wanajulikana ni majambazi na ninavyojua nchi hii inasifika kuwa na Polisi na jeshi Imara wameshindwaje kuwakamata? na je hayo mabilioni waliyonayo wamemuibia nani hadi kuwa na utajiri wa kutisha kiasi hicho? tusikimbilie kusema ni majambazi labda ungekuja na hoja ya kuwa wanauza SEMBE ningekuamini kwani tumeshuhudia wafanya biashara hii ndiyo wanaotesa kwa sasa nchi hii hadi Serikali inaogopa kuwakamata kwa kusema Nchi itateteleka.
When we discuss against CCM we are great thinkers but discussing threats in our society we are simple minded!
Halafu by default CCM huwaita wawekezaji wazama lazima walindwe...unakumbuka bifu la manji na jitu ktk tender za kilimo kwanza?mtrekta feki kinondoni kwajili ya kuzoa taka, maishu ya NSSF, akina mama, now Azam TV? NSSF kuna hela safi ya nchi hii..dogo inaelekea amechota hela kuliko baba yake alivyoweza chukua enzi ya Mwinyi....enzi ya mkapa quality gorup haikuwa kitu tenawatu walishaachana na body zao...
mbona billionere wa mega hujamtaja?
nadhani ni huyo ila huyu mleta mada anadai mjengo wa mega ni wa salim ally? mi nilidhani ni wa huyo mchaga muzeehivi huyo megatrade ndo anaehusika na vijogoo na k vant? Na jengo la parking stend kubwa au ni majina tu kufanana?
Mbona wewe hukuachiwa? Mo fedha ipo tokea miaka hiyo ya baba yake mzee gulam ndo walikuwa wafanyabiashara wakubwa. Unategemea utaachiwa mashamba makubwa bure na serikali maskini kama wewe ukalime na jembe la mkono?
Mabilionea wa dar si akina Papa Msofe?Mbona wewe hukuachiwa? Mo fedha ipo tokea miaka hiyo ya baba yake mzee gulam ndo walikuwa wafanyabiashara wakubwa. Unategemea utaachiwa mashamba makubwa bure na serikali maskini kama wewe ukalime na jembe la mkono?
Kwani tuko Zimbabwe hapa?
Unakutana na mtu Mererani, Arusha vijijiji huko, anakwambia sina kitu, nina elfu moja mfukoni, unamuuliza elfu moja dollar elfu moja kwacha???
Unaongelea madola madola madola mara sijui Bill Gates..... Warren Buffet...kwani tuko Marekani hapa? Hizi mindset za kikoloni mamboleo zitaisha lini?
Umetaja aga khan name jubilee insurance moyo ukapasuka hivi unajua biashara ya hawa with kwa kina?Unamejiuliza kwa mini mwaka huu rais aligoma kukutana na mkuu wao alipokuja nchini?These dudes ukijua yao hutowasifia
mega complex ni Salim ally yeye aliwekwa ndani kwa tuhuma za biashara ya kuuza watu kama zamani za utumwa
nadhani ni huyo ila huyu mleta mada anadai mjengo wa mega ni wa salim ally? mi nilidhani ni wa huyo mchaga muzee
akajipange upya .....hajui mji huyu atuulize kina sisi maghorofa ni ya kina nani?...mega sio la salim ally ni la yule mchanga wa megatrademkuu una uhakika na unacho kinena?
Kuwafananisha matajiri wa Arusha na Bakhresa its not a fair kabisa yaani ni sawasawa ufananishe kichuguu na mlima, Bilionea wa Arusha hafahamiki hadi afaririki au ndo sifa za marehemu tu zle?