Arusha na mabilionea majambazi

Arusha na mabilionea majambazi

Yaaaani huu ni utandawazi kabisa....nakumbuka mwaka 2007 mimi na mshua tulikwenda hapo kwa hako kamji na Honda letu bana......teh teh teh ilitubidi tuondoke usiku kurudi kwetu Dar mji wa raha maana walikuja eti kuchukua Honda lao ...hali ni la kwetu
 
Mimi nadhani hao si mabilionea ni watu corrupt au nitumie neno mafisadi wanaojua kutumia vizuri fursa za mfumo uliopo wa nchi na wa dunia kiujumla.
Mfumo au system ikiwa mbovu isiyo na maadili na haki hutengeneza watu wa aina hiyo.
Ni sawa na kuwaita BARRICK GOLD kuwa ni majambazi eti kwa kuwa wanaiba au kunyonya madini yetu kwa hiari yenu ya kimangungo wa Msovero. Vilevile nadhani mabilionea wa EPA ni wabaya kuliko akina Nyari na Mrema.
 
1. Kwamba Tanzania inasifika kwa polisi na jeshi imara sijui kama unafanya mzaha au uko serious. Mimi na wewe tunajua jeshi letu lina risasi za kuwalenga CDM na PONDA. Zaidi ya hapo ni kupambana na raia waliojichikea na sio majambazi wakubwa.
2. Neno ujambazi linamaana pana sana. Hata kuuza sembe ni ujambazi. Mantiki nzima ni kwamba mzunguko wa fedha Arusha unashikwa na fedha chafu.

Ngoja nikusaidie mleta mada...

Nafikiri jambo la msingi umeleta hii mada hapa ili tupate kujua vyanzo halisi vya mapato vya watu hawa.

Inaweza kuwa sio majambazi, lakini vyanzo vyao vya mapato ni vipi??$

NA JE NI VYA UHALALI!

Naanza kukubaliana na usemi wa Sugu bungeni kwamba serekali inataka kuwaaminisha vijana kwamba hakuna namna mtu unaweza kutoka(kutusua) bila kufanya biashara/dili zisizohalali.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Safi sana ....ndo dawa yake ......unadharau chako??? acheni ujinga
 
Huyo Mwarabu kama ndie yule aliyekuwa anamiliki yale mabasi ya Born city yawezekana ikawa ni kweli maana nilisikia kuwa ni mtu wa front sana... ila front yake nyingi ni Kenya na anakuja kulia A town.... zamani hizo nilisikia alikuwa mtu wa Pembe sana
 
Huu mjadala wa 'mabilionea' unachekesha sana. Hivi defination ya 'bilionea' iko kwenye specific currency? Kwamba ukiwa wa Shilingi za kitanzania bilioni 2,3, 5, au hata 10 wewe sio bilionea? Kwa maneno mengine ili uwe bilionea ni lazima hizo 'bilioni' zako ziwe kwa fedha za kigeni?

Yes, thamani ya shilingi ya kitanzania iko chini, lakini mtu ukiwa na Tshs 10 bilioni utasema una kiasi gani cha fedha?
 
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.
Thread too general, analysis too shallow!!
 
Hi thread imekua mno ya kijumla (general) Arusha wapo matajiri wa ukweli na wapo wa njia za panya. Nimetumia tajiri hapa kwa kuwa Bilionea kwingine ni kipimo cha utajiri. Kwetu kama baadhi ya wachangiaji walivyosema bado mfumo umekaa vibaya sasa hivi nchi nzima kuna hao tuwaite bilionea wa unga, pembe za ndovu, madini ya wizi, wizi wa fedha za umma nk. Wote hawa pamoja na kwamba wanaweza kuwa ni bilioneas lakini ni masikini tu na ubilionea wao hauna mashiko (impact) kwa jamii.
 
Huyu Alex Masawe hapa Dar,majumba yote anayomiliki aliyapata kwa dhurma,akitaka kununua nyumba,pesa anaipeleka jioni kwa mwenyenyumba,baadae usiku anatuma vijana wake kuja kuchukua pesa yake kwa mtutu,Anastahili kifungo cha muda mrefu sana.
 
haha........mkuu umeuwa...Mbona pia kuna Dar....mwanza...moro..shinyanga....tabora, Dodoma etc...Arusha, pia wapo akina Saba General, kuna utalii km Akina Leopard, ranger, abacrombie, kuna Agha khan....wana hospital wanajenga university, wana DTB bank, wana Jubilee insurance, kuna Madini yenyewe ambayo yanahitaji watu wa kuyashika, kuna Dili za mpakani amabpo maccm hawachukui Kodi, kuna uwindaji, kuna mlima kilimanjaro na Meru, kuna viwanda na watu wa kutumia na kuzungusha hela, by the way..Nyari si aliwashinda Masisiem.....?

Umetaja aga khan name jubilee insurance moyo ukapasuka hivi unajua biashara ya hawa with kwa kina?Unamejiuliza kwa mini mwaka huu rais aligoma kukutana na mkuu wao alipokuja nchini?These dudes ukijua yao hutowasifia
 
Africa’s Secret Millionaires: The 5 Richest Tanzanians You’ve Never Heard Of


Posted on November 23, 2012 01:35 pm under Entrepreneurs, Players
Enlarge image

VENTURES AFRICA – Here’s an interesting statistic: There are over 4,800 Africans spread across 17 African countries who are individually worth $100 million or more in tangible assets.

It’s a fascinating dynamic. That’s 1,523 percent more African centi-millionaires than global wealth intelligence firm, Wealth-X acknowledges in its ridiculously flawed wealth report on Africa. In the report (see page 28 for more insight), Wealth-X spuriously claims there are a mere 315 centi-millionaires in Africa. Absolutely false; it’s more like 4,800. And these ultra-high net worth individuals have an aggregate net worth of over $1.2 trillion.

As from next week, the Ventures Africa wealth team will uncover, identify and profile these African centi-millionaires through Africa’s Secret Millionaires- an illuminating new weekly feature on Ventures Africa.

The idea behind Africa’s Secret Millionaires is quite simple. We will traverse across the continent seeking out immensely successful, yet low-key tycoons and business leaders who have been largely under-reported, and then tell their stories. We will look through financial reports, track equity holdings around stock markets, identify specific shareholding structures in privately-held companies and consult with everyone from fund managers to investment bankers, realtors and financial analysts to find information that was has not been made public, and then we will place accurate values on the assets of these ultra-high net worth individuals.

We will deliver stories you’ve never heard of, from Senegal to South Africa, from Namibia to Nigeria and Kenya to Togo. And we won’t just write shallow, pedestrian profiles like other magazines do. No. We’ll break down the figures just for you, using comparators and case studies to explain the rationale for our valuations, all along the way. We will account for shares in private and public companies, income sources, residential and investment properties, art collections, jets, cash and other investible assets. It will be wealth reporting like never before.

And then we will present it at your table.


Through the stories of these wealthy ones, Ventures Africa hopes to lay credence on Africa’s prosperity, its growing attractiveness, its imminent socio-economic revolution and its contemporary renaissance while celebrating African success, the entrepreneurial spirit, and the rewards of hard work.


Ahead of the launch of our Africa’s Secret Millionaires feature, here’s a teaser:


Meet five low-key, ultra-wealthy Tanzanian tycoons, entrepreneurs and business leaders. Each of them is worth more than $100 million at the very least, but you’ve probably never heard about them.


Said Salim Bakhresa

Net Worth: $620 million

Source: Manufacturing
Unarguably Tanzania’s richest man, Bakhresa dropped out of school at the age of 14 to launch his own business. He started out selling potato mix and subsequently opened a small restaurant in Dar es Salaam in the 1970s. As the restaurant operation expanded, Bakhresa used his profits to found a grain milling and food production company which formed the flagship for the Bakhresa group, a multinational manufacturing conglomerate which manufactures everything from maize flour and confectionaries to chocolates, ice cream, soft drinks and paper bags. Annual sales: $800 million. The group has manufacturing operations in Tanzania, Uganda, Malawi, Rwanda and Mozambique and employs over 2,000 people.

Gulam Dewji


Net Worth: $560 million

Source: Manufacturing
Reclusive tycoon started out in the 70s importing key commodities into Tanzania. He grew the small trading operation into Mohammed Enterprises Tanzania, one of East Africa’s largest conglomerates. Key assets include 21[SUP]st[/SUP] Century Textiles, one of the largest textile producers in Sub-Saharan Africa. The company’s four textile mills in Tanzania and Mozambique produce 100 million running meters of fabric annually. The group also manufacturesPride, Tanzania’s leading fruit beverage and everything from edible oils, toilet soaps, and artificial sweeteners to bicycles and motorcycles. The group also owns an insurance firm, container depots, a petroleum marketing company, a logistics outfit and a retail concern with over 100 outlets across Tanzania. Gulam’s son, Mohammed is a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

Rostam Aziz


Net worth: $420 million

Source: Telecoms, Mining, Shipping
A politician and businessman of Middle East origin, Rostam Aziz is one of Tanzania’s richest men. He was elected into parliament in 1993 and went on to win 2 consecutive terms as an MP. He quit politics in 2011 to focus exclusively on his businesses. Aziz’s family businesses include a 19 percent stake in Vodacom Tanzania, the country’s leading cellular network with over 8 million subscribers, Caspian – the country’s largest contract mining company and the Dar es Salaam Port which it owns in partnership with Hong Kong conglomerate Hutchison Whampoa.

Reginald Mengi


Net worth: $280 million

Source: Media, Coca-Cola Bottling, Gold Mining
Mengi, a trained Chartered accountant is one of Africa’s most revered media moguls, and one of Tanzania’s wealthiest men. After practicing accounting, he ventured into private business by manufacturing and assembling ballpoint pens and selling to large retailers. Today, the IPP Group which he founded and chairs, owns 10 national newspapers (including Tanzania’s Financial Times, ThisDay and The Guardian), two of East Africa’s most popular Television stations (EATV and ITV), and about ten radio stations. He also owns a Coca-Cola bottling plant in Dar-es Salaam as well as two gold mining companies, IPP Gold and Handeni Gold in Tanzania.


Ali Mufuruki


Net worth: $110 million

Source: Retailing, Venture capital
Mufuruki is the founder and Executive chairman of Tanzania’s Infotech Investment Group. The group holds the Tanzanian and Ugandan franchise for South African retail giant Woolsworth. Infotech also has interests in property development and leasing, hospitality, advertising and mobile telecommunications. Mufuruki is also a co-founder and partner at East Africa Capital Partners, a technology, media and telecommunications sector focused Venture Capital Fund Manager investing in the greater Eastern Africa region. Also a prominent board room guru, Mufuruki sits on the boards of the Nation media group, East Africa’s largest media conglomerate and Stanbic bank Tanzania. He is also the chairman of Africa Leadership Initiative East Africa Foundation which aims to develop a new generation of values-based community spirited leaders in Africa.

Follow Ventures Africa on Twitter @VenturesAfrica

Last edited by nngu007; 26th November 2012 at 23:24.​
hapo kuna billionare wa arusha???maanake hawa ni millionares tu....wengine wameanza kutafuta hela tangu 1970s!!!.
 
Yaaaani huu ni utandawazi kabisa....nakumbuka mwaka 2007 mimi na mshua tulikwenda hapo kwa hako kamji na Honda letu bana......teh teh teh ilitubidi tuondoke usiku kurudi kwetu Dar mji wa raha maana walikuja eti kuchukua Honda lao ...hali ni la kwetu

hao walikuwa ni wanafunzi. vinginevyo msingerudi nalo dar, na hata nyinyi msingetoka salama.
 
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.

They say simple mind discusses what??
 
we mpingauonevu ni ---- sana, kwani udogo wa Arusha na sifa za Arusha zinahusianaje? I think your stupidity is beyond repair, chuki zimekujaa. Arusha was a top town toka tunapata uhuru, the town is not only lucky!!!!? but it is blessed tooo. we don't want it biiiig, we want it small and beautiful as it is.

His/her stupidity is total loss.. LOL
 
Back
Top Bottom