Arusha na mabilionea majambazi

Arusha na mabilionea majambazi

Na wengine mna tu Changanya, kwani mtu ili aitwe bilionear anatakiwa awe na sh ngapi? Kama mtu ana zaidi ya b 3 kwenda juu si ni bilionear au? Kwa mfano mtu anayeweza kumiliki naura spring au sg resort hiyo ni hotel za ml 500 au ni bilion? Acheni wivu aliyenacho anacho na aliye kutangulia katangulia. Halafu hawa watu wanaajiri watu wengi tuwape ni heshima na tutambue mchango wao kwenye jamii
 
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.

Decent people shouldn't live here (in Arusha). They'd be happier someplace else!
 
Naona umekula ban.

Cooler heads prevail.

Need I say more?

Enjoy your day.....kwangu wala si issue.Issue ni kwamba ilifanyika ili kuua thread zangu na zikafungwa na kufutwa hapo hapo...

Nashukuru km imekupa furaha na afya kidogo.

I have a great spirit with unshakable personality.JF is funny forum..when invisible become visible.Nakumbuka hizo siku watanzania waliweza kunyima nunua kitu kwa sababu hujasalimia, hizo siku unaweza nyimwa nunua chumvi kwa vile umeita chumvi saa mbaya...nakumbuka CCM walivyokuwa wakimaliza kazi za mahakama....

Once Tanzania you will always seek to fall back to Tanzanian dark golden age.
 
Jamani mods wa JF wekeni button ya "DISLIKE". Na ingekuwepo post ya huyo buku 7 ingepata "dislike(s)" zaidi ya 800!
Mbona ipo! Bofya like theni fungua uzi tena, ukifika kwenye button ya like utaona imeandikwa dislike,kwaio bonya tena dislike.HAPO ITAMPATA Dislike
 
Enjoy your day.....kwangu wala si issue.Issue ni kwamba ilifanyika ili kuua thread zangu na zikafungwa na kufutwa hapo hapo...

Nashukuru km imekupa furaha na afya kidogo.

I have a great spirit with unshakable personality.JF is funny forum..when invisible become visible.Nakumbuka hizo siku watanzania waliweza kunyima nunua kitu kwa sababu hujasalimia, hizo siku unaweza nyimwa nunua chumvi kwa vile umeita chumvi saa mbaya...nakumbuka CCM walivyokuwa wakimaliza kazi za mahakama....

Once Tanzania you will always seek to fall back to Tanzanian dark golden age.

There is a reason you were banned, and I was not.
 
alokwambia Chusa nae n bilionea nan? mbona mnawapamba watu ivo jamani,,,, chusa tunamfaham! hana lolote ni murere wa atar! bora ata mareemu....
Kumpamba ampambe yeye halafu asingizie watu wa arusha ndio wanawaita watu mabilionea kumbe yeye mwenyewe ndie katoa orodha yake, mi naona kama vile moyo wako umeipenda arusha ila unashindana na akili yako,
?
 
There is a reason you were banned, and I was not.

Oh yeah..Do you think i doubt about the existence of any reason?The correct thing is the reason might be too embarrassing...to hear, without even think about the ugly motivation behind.

I normally lough, sarcastically....wondering if all these funny projects out of African can stand the test of time, the test of integrity, the test of responsibility can simply end up as a total compromise.
 
Hao mabilionea wako worth mabilioni mangapi? Maana kila mara tunasikia mabilionea hususan hao wa Arusha lakini hata makisio ya mabilioni waliyonayo hakuna. Kwa nini?

...kwa sababu ni majambazi.......
 
You normally "lough".

The joke is on you jack!
 
HIVI KWANINI WATU MNAJIFANYA MNAWAJUA WATU WENGINE SAANA? SASA CHUSA KUUA MGODONI KWENYE MPARANGANYO WA RIZIKI UNAMUUNGANISHAJE KWENYE UJAMBAZI WA ARUSHA? PESA YAKE ALIPATA KWA JASHO LAKE,PIA ERASTO HAKUWA JAMBAZI WATU WAMEPAMBANA KUPATA RIZIKI NYIE MNAKUJA KUTOA TASMINI AMBAZO HAZINA MASHIKO HAPA.MXXXXXXX!=mpingauonevu;7106455]Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.[/QUOTE]
 
Tanzanite ndiyo mhimili wa matajiri wengi wa arusha. Mambo ya visasi ni nje kabisa ya utajiri wa watu. Sana sana wengi wamepata bahati ya kuuziwa madini na wachimbaji wadogo kwa bei chee na kusafirisha nchi za nje na kupata faida kubwa. Hao mnaowataja ni kwa sababu wanajulikana kwa ushirikiano wao na watu wengine.

Kuna vijana wengine wengi tu wanaojishughulisha na shughuli za madini wanafedha balaa lakini hata majina yao hayatajwi.
Acheni kudhania dhania mambo na kuyafanya fact kwa feeling tu. Watanzania wengi wanapenda maneno ya kijiweni kuyafanya TOPIC bila kujua undani wa matukio mbali mbali.

Tuache kuropoka. Tusome tuelimike. Tujikombone na fikra hafifu za kimtazamo.
 
Hao mabilionea wako worth mabilioni mangapi? Maana kila mara tunasikia mabilionea hususan hao wa Arusha lakini hata makisio ya mabilioni waliyonayo hakuna. Kwa nini?

Nadhani ni kwa sababu hayo mabilioni ni ya wizi
 
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.

Wewe inaonekana ni wale mojawapo ya watu ambao awaipendi arusha.kwanza ujue salim ally ni marehemu alipata ajali uko kwao oman akafa yeye na mke wake mdogo na mwanawe wa kiume.
 
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.
Bahati nzuri majina yote ni watu wa hukohuko kwa wajanja aka Wakikuyu wa Tanzania. Hakuna comment hapa historia inaruhusu,waache waibe lkn ikulu ng'o.
 
Back
Top Bottom