Makanyagio
Senior Member
- Jun 25, 2009
- 125
- 33
Kuna mpare mmoja yeye ni zilionea we unashangaa na trilionea. anemiliki milima ya usambara, huyu utamlinganisha na nani?
Kuwafananisha matajiri wa Arusha na Bakhresa its not a fair kabisa yaani ni sawasawa ufananishe kichuguu na mlima, Bilionea wa Arusha hafahamiki hadi afaririki au ndo sifa za marehemu tu zle?
Kwa hiyo chusa sio bilionea?alokwambia Chusa nae n bilionea nan? mbona mnawapamba watu ivo jamani,,,, chusa tunamfaham! hana lolote ni murere wa atar! bora ata mareemu....
Matajiri Wote ubabe umeisha awamu hii sana sana wahindi wenye makampuni, walikuwa wamejisahau kwani ilikuwa hakuna MTU wa kuwauliza chochote