laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
we si ulisema dada yake ndio dem wako,..acha kutafuta sifa za kijingaNamjua na ndo alikua demu wangu, acha upuuzi wewe kushobokea usivyovijua
we si ulisema dada yake ndio dem wako,..acha kutafuta sifa za kijingaNamjua na ndo alikua demu wangu, acha upuuzi wewe kushobokea usivyovijua
Doh Depression ni ugonjwa hatari sana. Apumzike kwa amani. [emoji144]Ndio hivo arobaini toka kuzaliwa mtoto wake nilienda tukala msosi fresh ghafla mwezi wa tatu likizo napata taarifa yule mtoto ameumwa kafarik, Juz juzi Tu hapo nmewazungusha mjini na kuwarudisha hpa makumira , JAna nae ametuacha alikuaga hana shida na mtu uyu dada,
Stress si kitu kizuri.Hakuna sbb ni msongo wa mawazo mtoto wake alifariki na baba watoto aliyekataa mimba ambaye ata kwenye msiba wa mwanae hakwenda na kusikia anaoa mwanamke mwingine ndipo msongo wa mawazo yalipozidi !!
Kweli mkuu....tena nyingine haziongeleki kabisa.....lakini tunakaza moyo...Kama huyo mtoto ni wakwake, amemuacha kwenye mazingira magumu.
Kujiua ni uamuzi mbaya kuliko wote katika maisha
Kama ni changamoto sote tunazo.
Au stress za Malecturer huko vyuoni, maana walimu wa vyuo nao pasua kichwa , wengine huwa wanaona kama wako kwenye kitengo cha kugawa pepo!duu hadi mtu kifikia uamuzi wa kiinyonga ni kuwa ameona hana umuhimu wwte hapa duniani
Vp mbona bwana haonekani?RIP Mwanafunzi
Uchunguzi muhimu
Haha hahaBaba mtoto ni mimi hapa
hebu acha ujinga..huyo mtt ni wa lucy..na alifariki mwanzon mwa mwka huu..na ndo tangu hapo lucy akanza kufanya majaribio ya kujiua...Kiumbe sio wa kwake, alipiga nae selfie tu!
kanywa sumu mara 2 tangu mwanae afariki akaokolewa...hii ya 3 akaamua akajinyonge..Ooh maskini, kama ndo hivyo basi labda alipata stress za kumpoteza mtoto wake. Nafuta kauli yangu...R.i.p dada
Kuna mengi hatuyajui na hayo mwombe sana Mungu yasikukutekanywa sumu mara 2 tangu mwanae afariki akaokolewa...hii ya 3 akaamua akajinyonge..
by the way huyo binti ni yatima pia
mtoto alifariki march....Labda baba wa mtoto bado yu hai, hivyo anaweza asiwe yatima!
muongo huyoUmejibu kisomi.....hongera
Kisa kufiwa tu na Mtoto!???? Mmh labda kuna kingne aiseekanywa sumu mara 2 tangu mwanae afariki akaokolewa...hii ya 3 akaamua akajinyonge..
by the way huyo binti ni yatima pia
chanzo cha kujiua kilianza baada ya kufiwa...few days baada ya kuzika akanywa sumuKisa kufiwa tu na Mtoto!???? Mmh labda kuna kingne aisee
Duuh hii nayo nomaa sanaa...chanzo cha kujiua kilianza baada ya kufiwa...few days baada ya kuzika akanywa sumu
Vp mbona bwana haonekani?